RAIS DK. MAGUFULI ATEUA MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO NA MABALOZI WAWILI, LEO


CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

CCM Blog

RAIS DK MAGUFULI ATEUA MABALOZI 15 LEO, LUHWAI NA DK PINDI CHANA WAMO

Na Bashir Nkoromo, CCM Blog, DarNaibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajabu Luhwavi na Kaimu Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk Pindi Chana wameondoka Rasmi katika Utumishi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufuatia Rais Dk. John Magufuli kuwateua kuwa Mabalozi watakaoiwakilisha Tanzania katika nchi za nje watakazopangiwa baadaye.
Rais wa Dk. Magufuli amefanya uteuzi huo leo Desemba 3, 2016, Luhwavi na Dk. Pindi Chana wakiwa miongoni mwa Mabalozi 15 walioteuliwa ili kujaza nafasi zilizo...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA MHE ANNA ELISHA MGHWIRA KUWA MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Anna Elisha Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Anna Elisha Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Ikulu jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu...

 

2 years ago

Dewji Blog

News Alert: Rais Magufuli ateua Mkuu mpya wa mkoa Arusha

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko madogo ya uongozi na kumteua Bw. Mrisho Gambo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha kuanzia leo (Alhamisi, Agosti 18,2016).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Bw. Gambo anachukua nafasi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo, Bw. Felix Kijiko Ntibenda ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

Amesema Bw. Ntibenda anahamishiwa Ofisi ya Waziri Mkuu ambako atapangiwa majukumu mengine.

Kabla ya uteuzi huo, Bw. Gambo alikuwa Mkuu wa...

 

2 years ago

Habarileo

Rais Magufuli ateua mabalozi 15

Rais John Magufuli, leo amefanya uteuzi wa Mabalozi 15 ili kujaza nafasi zilizo wazi katika Balozi za Tanzania zilizopo katika nchi mbalimbali.

 

11 months ago

CCM Blog

AMIRIJESHI MKUU RAIS DK. MAGUFULI ATEUA MNADHIMU MKUU MPYA WA JWTZ, AWAPANDISHA VYEO MABRIGEDIA JENERALI KUMI, LEO

IKULU, DAR ES SALAAM
Amirijeshi Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Dk John Magufuli leo amemteua Meja Jenerali Yakub Hassan Mohammed kuwa Mnadhimu Mkuu mpya wa Jeshi la Ulinzi la wananchi wa Tanzania (JWTZ).

Taarifa iliyotolewa na Ikulu jijini Dar es Salaam, imesema, pamoja na uteuzi huo amempandisha cheo kutoka Meja Jenerali na Luteni Jenerali  na mteule huyo anachukua nafasi aliyokuwa nayo Luteni Jenerali Aloyce Mwakibolwa ambaye amestaafu.

Aidha, Rais Magufuli amewapandisha vyeo...

 

2 years ago

Bongo Movies

Rais Magufuli Amteua Anna Mghwira Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro

Dar es Salaam. Rais John Magufuli amemteua Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.

Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari Ikulu leo Jumamosi imesema kuwa Mgwira amechukua nafasi iliyoachwa wazi na Saidi Meck Sadiki.

Katika taarifa hiyo Rais Magufuli pia amewateua Meja Jenerali Issah Suleiman na Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi(DIGP), Abdlrahman Kaniki kuwa mabalozi.

Mwananchi

 

2 years ago

Zanzibar 24

Rais Magufuli amteua Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro

The post Rais Magufuli amteua Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro appeared first on Zanzibar24.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani