RAIS DK. SHEIN AFANYA UZINDUZI WA SKULI YA SEKONDARI KWARARA 2

 Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa  Balozi wa Korea Kusini Bw.Song Geumyoung wakati wa sherehe za uzinduzi wa Skuli ya Sekondari ya Kwarara na Kituo cha Elimu ya Habari,uliofanyika leo Skulini hapo, Ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar, ambapo ujenzi wake umejengwa kwa Ushirikiano  wa Serikali na Shirika la Kimataifa la Maendeleo kutoka Korea (KOICA)Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa Hutuba yake katika sherehe za uzinduzi wa Skuli ya Sekondari ya Kwarara na Kituo cha Elimu ya Habari, aliyoizindua rasmi  leo ,Ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar,ujenzi wa Skuli hiyo umejengwa kwa ushirikiano wa  Serikali ya Mapinduzi na Ushirikiano  wa Serikali ya Mapinduzi na Shirika la Kimataifa la Maendeleo kutoka Korea (KOICA). (Picha  na Ikulu). Chumba cha Kompyuta katika Skuli ya Sekondari ya Kwarara iliyozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambayo imejengwa na  Ushirikiano  wa Serikali ya Mapinduzi na Shirika la Kimataifa la Maendeleo kutoka Korea (KOICA), Ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar  Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia)  akifuatana na   Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Prof.Joyce Lazaro Ndalichako (katikati) na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali (kulia) wakati alipotembea katika madarasa mbali mbali ya  Skuli ya Sekondari ya Kwarara na Kituo cha Elimu ya Habari ,iliyoizindua rasmi leo, iliyojengwa kwa Ushirikiano  wa Serikali ya Mapinduzi na Shirika la Kimataifa la Maendeleo kutoka Korea (KOICA), Ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipanda mti aina ya muembe baada ya kuizindua Skuli ya Sekondari ya Kwarara na Kituo cha Elimu ya Habari,aliyoizindua rasmi  leo, Ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar, ujenzi wa Skuli hiyo umefadhiliwa na Serikali ya Mapinduzi na Ushirikiano  wa Serikali ya Mapinduzi na Shirika la Kimataifa la Maendeleo kutoka Korea (KOICA)

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

12 months ago

Michuzi

Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika Viwanja vya Baraza la Wawakilishi la Zamani Mnanzo Mmoja Mjini Zanzibar katika Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na  Sekondari za Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika Viwanja vya Baraza la Wawakilishi la Zamani Mnanzo Mmoja Mjini...

 

3 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AFUNGUA MAONESHO YA MIAKA 90 YA SKULI YA SEKONDARI BENBELLA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapnduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kufungua maonesho ya maadhimisho ya kutimia miaka 90 ya Skuli ya sekondari ya Benbella leo Skulini hapo(kushoto) ni Dk.Yussuf Nuhu Pandu Mwenyekiti wa Maonesho na (kulia) Rais wa Wanafunzi wa Skuli ya Benbella Awatif Duchi.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapnduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiangalia maonesho ya maadhimisho ya kutimia miaka 90 ya Skuli ya sekondari ya Benbella leo...

 

1 year ago

Mwananchi

Ujenzi wa barabara kutoka Kwarara Skuli- Kwangurwanga waanza

Ujenzi wa barabara kutoka Kwarara Skuli hadi Kwangurwanga yenye urefu wa kilomita mbili,zimeanza chini ya Idara ya Barabara ya Serikali ya Zanzibar (UUB).

 

2 years ago

Michuzi

Balozi Seif aweka jiwe la msingi ujenzi wa skuli ya ghorofa kwarara

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiweka jiwe la msingi la Ujenzi wa Skuli ya Ghorofa na Kituo cha Habari na Mawasiliano cha Tumaini hapo Kwarara Wilaya ya Magharibi. Msimamizi wa Ujenzi wa Skuli mpya ya Ghorofa ya Kwarara Mhandisi Ali Mrabouk akimfahamisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif ramani ya ujenzi wa majengo ya Skuli ya Ghorofa ya Kwarara pamoja na Kituo cha Habari na Mawasiliano cha Tumaini. Mandhari ya eneo linalojengwa Skuli ya Ghorofa ...

 

1 year ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR AONGEA NA WALIMU WAKUU WA SKULI ZA SEKONDARI UNGUJA LEO

 Baadhi ya Walimu wa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa Mkutano na Walimu wa Skuli za Sekondari za Mikoa mitatu ya Unguja,uliofanyika leo katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja Baadhi ya Walimu wa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa Mkutano na Walimu wa Skuli za Sekondari za...

 

3 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AFANYA UZINDUZI WA MRADI WA (HIMA) MAKANGALE, PEMBA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi wakati wa sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa (HIMA) katika hifadhi ya Misitu asili kituo cha Jamii Makangale ndani ya  Msitu wa Ngezi Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,(kulia) Balozi wa Norway Trygve Bendiksby.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia)akiuliza suala kwa Afisa wanyamapori Idara ya Misitu salum Khamis (kushoto) wakati alipotembelea maonesho ya...

 

2 years ago

Michuzi

Dkt. Shein afanya Uzinduzi wa Sherehe za Mapinduzi kwa Usafi wa Mazingira Kitaifa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizoa taka katika zoezi la Usafi wa mazingira uliofanyika leo eneo la Soko la Mbogamboga Mombasa Mjini Zanzibar ikiwa ni Uzinduzi wa Sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akibeba taka katika zoezi la Usafi wa mazingira uliofanyika leo eneo la Soko la Mbogamboga Mombasa Mjini Zanzibar ikiwa ni Uzinduzi wa...

 

4 years ago

Michuzi

Dkt. Shein afanya Uzinduzi wa mtadi wa SAEMAUL UDONG KIJIJI CHA CHEJU,UNGUJA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.ALi Mohamed Shein akipata maelezo kutoka Naibu katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na Maliasili Nd,Juma Ali Juma wakati alipotembelea kituo cha kukausha Embe Dodo katika Kijiji cha Cheju kibonde maji leo kilichojengwa na Shirika la misaada la Koika nchini Korea kupitia Mradi wa SAEMAUL UDONG. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.ALi Mohamed Shein na Balozi wa Korea Bw.IL Chung (katikati) wakiangalia embe zilizokaushwa...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT SHEIN AFUNGUA SKULI YA MNARANI WILAYA MICHEWENI PEMBA

WA2 Rais wa Zanzbar na Menyekiti wa Baraza la Mapiduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa Skuli ya Msingi Mnarani leo Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba iliyojengwa  kwa  Nguvu za wananchi na Ufadhili ya Shirika la Milele Foundation la Zanzibar,ufunguzi huo ikiwa katika shamra shamra za kusherehekea miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Katibu Mkuu Wizra ya Elimu na Mafunzo ya Amali Bi.Khadija Bakari na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani