Rais Dkt John Pombe Magufuli amefanya ziara ya kushitukiza Benki Kuu ya Tanzania (BOT) na haya ndio aliyoamua yatendeke

Rais Dkt Magufuli akizungumza na Uongozi wa juuu wa Benki Kuu

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

7 months ago

Ippmedia

Rais Dkt. John Pombe Magufuli afanya ziara ya kushitukiza katika ofisi za gazeti la Uhuru DSM.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 19 septemba, 2016 amefanya ziara ya kushitukiza katika ofisi za gazeti la Uhuru zilizopo mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam na kuzungumza na wafanyakazi.

Day n Time: Jumatatu Saa 2:00 Usiku Station: ITV

 

7 months ago

Channelten

Rais John Magufuli amefanya ziara ya kushitukiza katika Ofisi za Gazeti la Uhuru

gari3

Rais John Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)  leo amefanya ziara ya kushitukiza katika Ofisi za Gazeti la Uhuru zilizopo Mtaa wa Lumumba Jijini Dar es Salaam na kuzungumza na wafanyakazi.

Katika Mazungumzo hayo, wafanyakazi wa Gazeti la Uhuru linalomilikiwa na CCM wamelalamikia kutolipwa mishahara yao kwa miezi saba, kutotolewa kwa michango ya wafanyakazi kwa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kuuzwa kwa mtambo wa kuchapisha magazeti katika hali ya kutatanisha,...

 

1 year ago

Mufindiradio

Rais Magufuli kafanya tena ziara ya kushitukiza Benki Kuu ya Tanzania

Leo March 10 2016 Rais John Pombe Magufuli alifanya ziara ya kushitukiza katika Benki Kuu ya Tanzania (BOT), ambapo pamoja na mambo mengine ameiagiza Benki hiyo kusitisha mara moja ulipaji wa malimbikizo ya malipo ambayo tayari yalishaidhinishwa (Ex-Checker) na badala yake yarejeshwe Wizara ya fedha na Mipango kwa ajili ya kufanyiwa uhakiki.

Taarifa za awali zinaonyesha kuwa Benki Kuu ya Tanzania ilikuwa katika mchakato wa kufanya malipo ya shilingi Bilioni 925.6, ambazo Wizara ya Fedha...

 

1 year ago

MillardAyo

Rais Magufuli kafanya tena ziara ya kushitukiza Benki Kuu ya Tanzania leo na kutoa maamuzi haya….(+Pichaz)

1

Leo March 10 2016 Rais John Pombe Magufuli alifanya ziara ya kushitukiza katika Benki Kuu ya Tanzania (BOT), ambapo pamoja na mambo mengine ameiagiza Benki hiyo kusitisha mara moja ulipaji wa malimbikizo ya malipo ambayo tayari yalishaidhinishwa (Ex-Checker) na badala yake yarejeshwe Wizara ya fedha na Mipango kwa ajili ya kufanyiwa uhakiki. Taarifa za awali zinaonyesha […]

The post Rais Magufuli kafanya tena ziara ya kushitukiza Benki Kuu ya Tanzania leo na kutoa maamuzi haya….(+Pichaz)...

 

8 months ago

Channelten

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amefanya Uteuzi mwingine tena

magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 21 Agosti, 2016 amemteua Bw. Gabriel Fabian Daqarro kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha.

Bw. Gabriel Fabian Daqarro anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Mrisho Mashaka Gambo ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

Uteuzi wa Bw. Gabriel Fabian Daqarro unaanza mara moja.

 

1 year ago

Global Publishers

Rais Dk Magufuli afanya ziara ya kushitukiza BoT

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwasili makao makuu ya Benki Kuu ya Tanzania alikofanya ziara ya kushtukiza leo Machi 10, 2016. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na uongozi wa juu wa Benki Kuu ya Tanzania ambao ameupa maelekezo mbalimbali katika kuboresha utendaji  wao wa kazi wakila siku. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. John Pombe Magufuli akikagua CV za wafanyakazi...

 

1 year ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA GHAFLA BENKI KUU (BOT) JIJINI DAR ES SALAAM LEO.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongozana na Naibu Gavana wa BOT Dkt. Natu Mwamba akiwasili makao makuu ya Benki Kuu ya Tanzania alikofanya ziara ya kushtukiza leo Machi 10, 2016 .

 

7 months ago

Ippmedia

Rais Dkt John Pombe Magufuli afanya ziara bandari ya Dar es Salaam.

Rais Dkt John Pombe Magufuli ameiagiza mamlaka ya bandari nchini TPA kukutana na kampuni ya upakuaji wa makontena bandarini TICTS ili kupitia upya mkataba baina yao ambapo pia amebaini baadhi mashine za kukagulia makontena (SCANER) bandarini hapo zina kasoro na kuagiza kununuliwa mashine nne mpya ndani ya miezi miwili.

Day n Time: Jumatatu Saa 2:00 Usiku Station: ITV

 

1 year ago

MillardAyo

Rais Magufuli amefanya mabadiliko Benki Kuu ya Tanzania leo Jan 28 2016

Rais John Pombe Magufuli leo amefanya mabadiliko ya uteuzi na kumtea Julian Banzi Raphael kuwa  Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania akichukua nafasi ya Juma Reli ambaye muda wake umeisha. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili […]

The post Rais Magufuli amefanya mabadiliko Benki Kuu ya Tanzania leo Jan 28 2016 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani