RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA ZIARA KATIKA WILAYA YA KILOLO MKOANI IRINGA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Luhota pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi  Kalambo zilizopo Iringa vijijini wakati alipokuwa njiani kuelekea Wilayani Kilolo kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la Msingi la Hospitali ya Wilaya ya Kilolo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Iringa vijijini katika eneo la Ndiwili (hawaonekani pichani) wakati alipokuwa njiani...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS KATIKA SIKU YA PILI WILAYA YA KILOLO MKOANI IRINGA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Iringa B. Amina Masenza wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa jengo la Utawala la shule ya sekondari ya Kilolo mkoani Iringa Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Mhe. Asia Juma Abdallah akisoma taarifa ya wilaya yake mbele ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati ziara ya Makamu wa Rais wilayani Kilolo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

 Makamu wa Rais wa...

 

3 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AENDELEA NA ZIARA YAKE KATIKA WILAYA ZA IGUNGA NA NZEGA MKOANI TABORA

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 30 Julai, 2016 ameendelea na ziara yake katika Mkoa wa Tabora akitokea Mkoa wa Singida.

Kabla ya kuingia Mkoani Tabora, Rais Magufuli amezungumza na wananchi wa Mji wa Misigiri katika Wilaya ya Iramba ambapo amemuagiza Meneja wa Wakala wa Barabara katika Mkoa wa Singida kuhakikisha mkandarasi anayejenga daraja la Sibiti anarejea kazini mara moja kukamilisha ujenzi wa daraja hilo.

Rais Magufuli amesema ...

 

3 years ago

Michuzi

Mkuu wa Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa Mhe. Asia Juma Abdallah atembelea zahanati ya Kilolo

Mkuu wa Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa Mhe. Asia Juma Abdallah leo ametembelea zahanati ya Kilolo mapema asubuhi kwa lengo la kujionea mazingira ya zahanati hiyo. Akiwa hapo alikutana na Daktari mfawidhi Dkt.  Selemani Jumbe ambapo pamoja na mambo mengine alimwambia kuwa  wanatamani sana kuwa na vifaa vya kufanyia kazi kama vile Full Blood Picture Machine, Ultra Sound, Na X-ray ambavyo anasema kwa wilaya nzima hakuna huduma ya X-ray hivyo inawawia vigumu kukamilisha tiba kwa wagonjwa wenye...

 

11 months ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA KILOLO, ATEMBELEA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA UALIMU CHA MKWAWA MJINI IRINGA

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine akipatiwa maelezo kutoka kwa msimamizi wa ukandarasi wa TBA  juu ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa kabla ya kuweka jiwe la msingi la mradi huo leo Mei 2, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine akipiga makofi baada ya uwekaji wa jiwe la msingi la  ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa leo Mei 2, 2018*
 Rais...

 

2 years ago

Channelten

Vijana katika wilaya ya Kilolo mkoani Iringa wana nafasi nzuri zaidi ya kuondokana na changamoto ya umasikini

download

IMEELEZWA kuwa vijana katika wilaya ya Kilolo mkoani Iringa wana nafasi nzuri zaidi ya kuondokana na changamoto ya umasikini wa kipato ikilinganishwa na vijana wenzao katika maeneo mengine nchini kutokana na wilaya hiyo kuwa na maeneo mengi yaanayofaa kwa kilimo cha mbogamboga na matunda msimu mzima wa kilimo.

Vionjo ktk wimbo huo wa msanii Prof Jay wa ‘KAZI KAZI’ vinakumbusha umuhimu wa vijana kufanya kazi. Vijana ni nguvu kazi muhimu nchini lakini upo ushahidi ktk sehemu nyingi nchini wa...

 

2 years ago

CCM Blog

RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHITUKIZA KATIKA SHULE YA MSINGI CHATO


chato-2Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika benchi la kibanda cha kupigia kiwi (Shoe Shine) pamoja na wakazi wengine wa Chato katika eneo maarufu kama Stendi za zamani Chato mkoani Geita. Kibanda hicho cha Kiwi ndicho Rais Dkt. Magufuli alichokuwa akisafishiwa viatu  vyake kabla ya kuwa Rais, pia ni sehemu ambayo alikuwa akipenda kukaa na  kubadilishana mawazo na wakazi wa Chato wakati akiwa mapumzikoni kipindi cha Nyuma. chato-3chato-5 Rais wa Jamhuri ya Muungano...

 

3 years ago

Zanzibar 24

video: RAIS DKT MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KATIKA OFISI ZA GAZETI LA UHURU NA MZALENDO

The post video: RAIS DKT MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KATIKA OFISI ZA GAZETI LA UHURU NA MZALENDO appeared first on Zanzibar24.

 

3 years ago

Ippmedia

Rais Dkt. John Pombe Magufuli afanya ziara ya kushitukiza katika ofisi za gazeti la Uhuru DSM.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 19 septemba, 2016 amefanya ziara ya kushitukiza katika ofisi za gazeti la Uhuru zilizopo mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam na kuzungumza na wafanyakazi.

Day n Time: Jumatatu Saa 2:00 Usiku Station: ITV

 

1 year ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AFANYA MAJUMUISHO YA ZIARA YAKE MKOANI IRINGA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka Viongozi wa mkoa wa Iringa kushirikiana ili kuweza Kuwasaidia wananchi.Makamu wa Rais ameyasema hayo wakati wa kutoa majumuisho ya ziara yake ya kuhamasisha shughuli za maendeleo mkoani Iringa.
Makamu wa Rais alitembelea wilaya ya Iringa, Kilolo na Mufindi ambako kote alishiriki shughuli za kimaendeleo ikiwa kuzindua Vituo vya Afya Kising’a wilaya Iringa, Jengo la Utawala na Madarasa katika Shule ya ...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani