RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI (EALA) KATIKA UKUMBI WA MSEKWA MKOANI DODOMA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Martin Ngoga mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Bunge kwa ajili ya kuhutubia Bunge la Afrika Mashariki linalofanyika kwa mara ya kwanza katika makao makuu ya Serikali mjini Dodoma.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika ukumbi wa Bunge wa Msekwa kwa ajili ya kuhutubia Bunge la Afrika Mashariki mjini Dodoma. Rais wa Jamhuri ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA MKUTANO MKUU WA TISA WA CCM KATIKA UKUMBI WA JAKAYA KIKWETE CONVETIONAL CENTRE MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia kwa kugonga mkono pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM kwa upande wa Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein wakati wakijiandaa kupiga kura za kumchagua Mwenyekiti wa CCM katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convetional Centre Mjini DodomaMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Makamu Mwenyekiti wa...

 

4 years ago

Michuzi

BUNGE LA VIJANA LAANZA VIKAO VYAKE KATIKA UKUMBI WA MSEKWA BUNGENI DODOMA

Picha na habari na  Owen Mwandumbya, Dodoma  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeandaa Bunge la Vijana linalofanyika Mjini Dodoma kwa siku tatu, ikiwa ni jitihada la kuwajengea uwezo vijana wa vyuo vikuu nchini. Bunge hilo liloanza vikao vyake juzi linalojumuisha Vijana kutoka Vyuo Vikuu 15 vya hapa Nchini vinavyozunguka mkoa wa Dodoma.  Bunge hilo linalotarajiwa kumalizika tarehe 3 Desemba, 2014, ni sehemu ya Mpango wa Elimu kwa Umma ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

3 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA WAFANYAKAZI KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI ZILIZOFANYIKA KITAIFA MKOANI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia mamia ya Wafanyakazi katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani zulizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshikana mikono na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi TUCTA wakati wakiimba wimbo wa Mshikamano Daima katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani...

 

3 years ago

Michuzi

RAIS DKT JOHN MAGUFULI AHUTUBIA MKUTANO WA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JIJINI ARUSHARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Mkutano wa 17 wa kawaida wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki uliyofanyika Ngurdoto nje kidogo ya jiji la Arusha.

 

9 months ago

Michuzi

RAIS MHE. DKT MAGUFULI AHUTUBIA KATIKA SHEREHE ZA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI MEI MOSI ZILIZOFANYIKA KITAIFA MKOANI IRINGA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wafanyakazi katika Maadhimisho ya Sherehe ya Mei Mosi Kitaifa zilizofanyika katika uwanja wa Samora mkoni Iringa. Wafanyakazi mbalimbali wakipita kwa maandamano katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe ya Mei Mosi Kitaifa zilizofanyika katika uwanja wa Samora mkoni Iringa. Sehemu ya Wafanyakazi waliohudhuria katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe ya Mei Mosi Kitaifa zilizofanyika katika uwanja...

 

5 years ago

Dewji Blog

Tamko la wabunge Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki EALA TZ

IMG_0041

Mwenyekiti wa wabunge wa Tanzania katika bunge la Afrika Mashariki(EALA) Mh. Adam Kimbisa akitoa tamko la wabunge wa Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu sakata la kumvua madaraka spika wa bunge hilo wakati wa Mkutano uliofanyika katikamukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO).Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Bw. Assah Mwambene.

IMG_0017

Katibu wa wabunge wa Tanzania katika bunge la Afrika Mashariki(EALA) Mh. Shy-rose Bhanji akieleza...

 

3 years ago

Dewji Blog

Waziri Dkt.Augustine Mahiga akutana na Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki, EALA kutoka Tanzania

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Dkt. Augustine Mahiga, (wanne kutoka kushoto), Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Dkt. Susan Kolimba, (watatu kutoka kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki, EALA, kutoka Tanzania, Mh. Shy-Rose Bhanji, (wa kwanza kushoto), Mh. Makongoro Nyerere (wapili kushoto), Mh. Angella Kizigha, (Wasita kutoka kushoto), na Mh. Bernard Murunya. Wabunge hao walikwenda kumsalimia...

 

8 months ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AWAPONGEZA WABUNGE STEPHEN MASELE (MAKAMU WA RAIS BUNGE LA AFRIKA) PAMOJA NA MBONI MHITA (RAIS WA CAUCUS YA VIJANA YA BUNGE LA AFRIKA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM)

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wabunge, wa kwanza kushoto Stephen Masele ambaye amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika aliyeambatana na Mbunge mwingine Mboni Mhita (kulia) ambaye pia  amechaguliwa kuwa Rais wa Caucus ya vijana ya Bunge la Afrika katika uchaguzi uliofanyika Afrika ya Kusini wiki iliyopita.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari mara baada...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA SHEREHE ZA MEI MOSI ZILIZOFANYIKA KITAIFA MKOANI KILIMANJARO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitabasamu wakati Wafanyakazi wa Taasisi mbalimbali za Umma na Binafsi wakiwa katika maandamano ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ambayo nchini yamefanyika Kitaifa katika Chuo cha Ushirika, Moshi Mkoani Kilimanjaro. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono wakati Wafanyakazi wa Taasisi mbalimbali za Umma na Binafsi wakiwa wanapita mbele yake kwa njia ya  maandamano ya Siku ya Wafanyakazi...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani