RAIS DKT MAGUFULI APOKEA UJUMBE TOKA KWA RAIS KAGAME WA RWANDA IKULU DAR ES SALAAM LEO


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Dkt. Musafiri Papias, Waziri wa Elimu wa Rwanda na Mjumbe maalumu wa Rais Paul Kagame alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 20, 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Dkt. Musafiri Papias, Waziri wa Elimu wa Rwanda na Mjumbe maalumu wa Rais Paul Kagame alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 20, 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Dkt. Musafiri Papias, Waziri wa Elimu wa Rwanda na Mjumbe maalumu wa Rais Paul Kagame alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 20, 2017. Wengine ni Balozi wa Rwanda nchini Mhe. Eugene Kayihura na Afisa Mwandamizi wa Ubalozi Bw. Issa Mugabutsinze. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais Paul Kagame wa Rwanda uliowasilishwa kwake na kt. Musafiri Papias, Waziri wa Elimu wa Rwanda  alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 20, 2017
PICHA NA IKULU

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI SITA WA NCHI MBALIMBALI IKULU DAR ES SALAAM LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa Mhe. Laszlo Eduard Mathe Balozi wa Hungary nchini mwenye makazi yake jijini Nairobi Kenya leo Machi 23, 2017 Ikulu jijini Dar es salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa Mhe. Sidibe Fatoumata Kama, Balozi wa Guinea  nchini mwenye makazi yake jijini Addis Ababa, Ethiopia, leo Machi 23, 2017 Ikulu jijini Dar es salaam.Rais...

 

3 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE APOKEA KOMBE LA KAGAME TOKA KWA AZAM FC IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO Rais Jakaya Mrisho kikwete pozi na mabingwa Kombe la Kagame na mabingwa wa Tanzania Azam FC walipofika Ikulu jijini Dar es salaam kumkabidhi kombe hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015. Azam ambao pia ni mabingwa wa soka wa Tanzania Bara walishinda kombe hilo katika michuano ya Shirikisho la soka kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati yaani CECAFA hivi karibuni

 

3 years ago

Michuzi

JK APOKEA KOMBE LA KAGAME TOKA KWA AZAM FC IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais Jakaya Mrisho kikwete pozi na mabingwa Kombe la Kagame na mabingwa wa Tanzania Azam FC walipofika Ikulu jijini Dar es salaam kumkabidhi kombe hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015. Azam ambao pia ni mabingwa wa soka wa Tanzania Bara walishinda kombe hilo katika michuano ya Shirikisho la soka kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati yaani CECAFA hivi karibuni

 

4 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE APOKEA UJUMBE TOKA KWA RAIS WA SUDANI YA KUSINI MHE SALVAR KIIR JIJINI DAR ES SALAAM

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha mjumbe malumu wa Rais Salvar Kiir Mayardit wa Sudani Kusini,Jenerali James Kok Ruea alieleta Ujumbe maalum toka kwa Rais huyo wa Sudan Kusini Jumamosi September 14, Ikulu jijini Dar es salaam. Mjumbe huyo aliongozana pia na Mkuu wa Kituo cha Martti Ahtisari (Martti Ahtisari Centre) kwa nchi za Afrika chini ya Jangwa la Sahara, Bw. Itonde Kakoma.Rais Jakaya Mrisho Kikwete amekisoma ujumbe maalumu toka kwa Rais Salvar Kiir Mayardit wa Sudani Kusini ...

 

3 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI WA USWISI NA UTURUKI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Saluti na wimbo wa Taifa kwa Balozi mpya wa Uswisi nchini Bi. Florence Tinguely Mattli, alipofika kuwasilisha hati zake za Utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015.  Balozi mpya wa Uswisi nchini Bi. Florence Tinguely Mattli, akiongea na Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipofika kuwasilisha hati zake za Utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015.  Balozi mpya wa Uturuki nchini Bi. Yasemin...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA RAIS KABILA WA DRC KWA MAZUNGUMZO RASMI IKULU DAR ES SALAAM LEO


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpatia zawadi ya kinyago cha UMOJA Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)  Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 4, 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishukuriwa na  Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)  Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 4, 2016
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zawadi ya kinyago toka kwa Rais wa Jamhuri...

 

6 months ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WA NCHI TATU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 25 Oktoba, 2017 amepokea hati za utambulisho za Mabalozi watatu waliopangiwa kuziwakilisha nchi za Oman, Uholanzi na China hapa nchini.
Waliowasilisha hati zao kwa Mhe. Rais Magufuli, Ikulu Jijini Dar es Salaam ni Mhe. Ali Abdullah Al Mahruqi – Balozi wa Oman hapa nchini, Mhe. Jeroen Verheul – Balozi wa Uholanzi hapa nchini na Mhe. Wang Ke – Balozi wa China hapa nchini.
Mhe. Rais Magufuli amewapongeza Mabalozi...

 

1 year ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimlaki Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein alipowasili Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 19, 2017 kwa mazungumzo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongozana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein alipowasili Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 19, 2017 kwa mazungumzo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani