RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA MAJAJI WATATU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Ferdinand Wambali kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani, Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Mwanaisha Athuman Kwariko kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani, Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi  kuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Majaji...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MWANASHERIA MKUU, NAIBU WAKE NA MAJAJI WAWILI LEO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimwapisha  Mwanasheria Mkuu wa Serikali mpya, Dkt. Adelardus Kilangi  Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 3, 2018. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akimwapisha  Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Paul Joel Ngwembe Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 3, 2018. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akimwapisha, Mhe. Gerson J. Mdemu kuwa Jaji wa Mahakama...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA MABALOZI SITA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akimuapisha Dkt. Emanuel Nchimbi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Brazili, Ikulu jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Januari 20, 2017. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. James Msekela  kuwa Balozi wa Tanzania Geneva –Umoja wa Mataifa, Ikulu jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Januari 20, 2017. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Mbelwa Kairuki...

 

2 years ago

Ippmedia

Rais Dkt. Magufuli awaapisha mabalozi wapya sita Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amewaapisha mabalozi sita watakaoiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali duniani huku akiwaambia mabalozi hao kuwa litakuwa jambo la fedheha kwa taifa endapo mabalozi hao watashindwa kufanya jambo la kukumbukwa katika taifa katika kipindi chao cha uwakilishi.

Day n Time: Ijumaa Saa 2:00 UsikuStation: ITV

 

3 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI LEO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Mhongo katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, leo katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii na Jinsia, wazee na watoto, Ummy Mwalimu katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri , leo katika ukumbi wa Ikulu...

 

3 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA MAKATIBU TAWALA WAPYA WA MIKOA 10 IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu Jumanne Abdallah Sagini kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Ikulu jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu Selestine Muhochi Gesimba kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Geita, Ikulu jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu Amantius Casmiri Msole kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera, Ikulu...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWAAPISHA MAJAJI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA WAPYA 20 IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete,  Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda,  Waziri wa Sheria na Katiba Dkt Asha-Rose Migiro, Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu,  Katibu Mkuu Kiongozi  Balozi Ombeni Sefue, Mwanasheria Mkuu Jaji  Frederick Werema, Mtendaji Mkuu wa Mahakama Mhe Hussein kattanga  katika picha ya pamoja na Majaji wa Mahakama kuu ya Tanzania baada ya kuapishwa leo Ikulu jijini Dar es salaam.

 

3 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AAPISHA WAKUU WA MIKOA WATATU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Charles Mlingwa kuwa mkuu wa mkoa wa Mara Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Zainab Telack kuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Binilith Satano Mahenge kuwa mkuu wa mkoa wa Ruvuma Ikulu jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

3 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WATATU KUTOKA NCHI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mgeni wake Balozi wa Vatican hapa nchini anayemaliza muda wake nchini Francisco Montecillo.  Balozi wa Algeria hapa nchini Belabed Saada akikabidhi ujumbe uliotoka kwa Rais wa Algeria kuja kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Balozi wa Canada hapa nchini Alexandre...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani