RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA RASMI DARAJA LA KIGAMBONI, ALIBATIZA JINA LA DARAJA LA NYERERE. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akikata utepe huku viongozi wengine wakiushikilia kuashiria uzinduzi rasmi wa Daraja la Kigamboni katika wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam leo Aprili 19, 2016.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipata picha ya kumbukumbu viongozi wengine baada ya  uzinduzi rasmi wa Daraja la Kigamboni katika wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam leo Aprili 19, 2016. Rais wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Picha: Magufuli azindua daraja la Kigamboni, alibatiza jina la ‘Daraja la Nyerere’

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Jumanne hii amezindua daraja Kigamboni na kulibatiza jina la Daraja la Nyerere.
_K0A5734
Magufuli akipongezana na baadhi ya viongozi baada ya uzinduzi

Akizungumza na wananchi waliyojitokeza katika uzinduzi huo, Magufuli amewata wananchi kulitumia kwa makini daraja hilo, ili kukuza uchumi wao.

“Hili daraja itawanufaisha watu wengi sana, huu ni wakati wa mji wa Kigamboni kujitanua kibiashara zaidi, wafanyabiashara wadogo wadogo, Mama...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA RASMI DARAJA LA KIGAMBONI LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniam Dkt. John Pombe Magufuli, akitembea kwenye Daraja la Kigamboni mara baada ya kulizindua mapema leo, Jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniam Dkt. John Pombe Magufuli, akiangalia mandhari ya daraja la Kigamboni mara ya kulizindua mapema leo, Jijini Dar es Salaam.Umati wa wananchi wa Mji wa Kigamboni uliofika kushuhudia uzinduzi wa Daraja la Kigamboni.

 

2 years ago

Dewji Blog

Rais Magufuli amelipendekeza Daraja la Kigamboni lipewe jina la Nyerere

Rais wa Tanzania John Magufuli amependekeza daraja mpya la Kigamboni lipewe jina la mwanzilishi wa taifa hilo Mwalimu Julius Nyerere. Akiongea muda mfupi kabla ya kuzindua rasmi daraja linafaa kupewa jina la Mwalimu Julius Nyerere kutokana na mchango wake kwa nchi hiyo. Daraja la Kigamboni lilianza kutumika tarehe 16 Aprili, 2016 kwa kuanza na majaribio ambapo wananchai walianza kupita bure huku likiwa lina urefu wa mita 680 na barabara unganishi upande wa Kurasini na Kigamboni zenye urefu...

 

2 years ago

Global Publishers

Rais Magufuli Azindua Rasmi Daraja la Kigamboni

k2Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Joseph Magufuli akikata utepe huku viongozi wengine wakiushikilia kuashiria uzinduzi rasmi wa Daraja la Kigamboni katika wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam leo Aprili 19, 2016. 

k6Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Joseph Magufuli na viongozi wengine wakitembea juu ya Daraja la Kigamboni baada ya kulizindua katika wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam leo Aprili 19, 2016.

  k3Rais wa Jamhuri ya...

 

5 months ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI,AFUNGUA DARAJA KUBWA MTO KILOMBERO LILOLOPEWA JINA NA DARAJA LA MAGUFULI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa kuashiria ufunguzi wa Daraja kubwa la Magufuli lenye urefu wa mita 384 linalopita katika mto Kilombero mkoani Morogoro. DCIM100MEDIADJI_0568.JPG
2Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Mkewe Mama Janeth Magufuli, Viongozi mbalimbali wa Dini,...

 

2 years ago

Channelten

Rais Magufuli azindua Daraja la Kigamboni

Screen Shot 2016-04-19 at 5.08.07 PM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta JOHN POMBE MAGUFULI, amezindua daraja  refu la kisasa la Kigamboni, lenye urefu wa mita 680 na barabara unganishi zenye urefu wa kilometa mbili na nusu, daraja linalotajwa kuwa la kipekee katika ukanda wa Afrika Mashariki na kati, ambalolimegharimu shilingi bilioni 254.

Katika tukio hilo Rais amewataka wakazi wa jiji la Dar es Salaam hususani wa Kigamboni kulitunza kwa hali na mali daraja hilo ili liweze kuchochea  uchumi wa mwananchi mmoja...

 

2 years ago

CCM Blog

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA DARAJA LA KIGAMBONI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 19 Aprili, 2016 amefungua rasmi Daraja la Kigamboni linalounganisha usafiri wa barabara kati Kigamboni na Kurasini Jiji la Dar es salaam na amependekeza Daraja hilo liitwe Daraja la Nyerere (Nyerere Bridge). RAIS MAGUFULI AFUNGUA DARAJA LA KIGAMBONI

 Rais John Magufuli akizungumza na wananchi  na viongozi  wakati wa uzinduzi wa Daraja la Kigamboni Jijini Dar es Salaam leo. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
 Wanahabari...

 

2 years ago

Habarileo

HABARI ZA HIVI PUNDE: Rais Magufuli alifungua rasmi daraja la Nyerere

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Joseph Magufuli hivi punde tu amelifungua rasmi Daraja la Nyerere ambalo lilikuwa likijulikana kama daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam.

 

2 years ago

Dewji Blog

Rais Dk. Magufuli azindua rasmi daraja la Kimataifa la Rusumo Nchini Rwanda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Aprili 6, 2016 amezindua daraja la kimataifa la Rusumo na Kituo cha Huduma kwa Pamoja Mpakani (OSBP) cha
Rusumo.  Zoezi hili la uzinduzi  limefanyika kwa pamoja kwa husisha  Rais Mhe. Dkt. Magufuli wa Tanzania na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame, pia tukio hili limehudhuriwa na viongozi wa ngazi za
juu serkalini kutoka Nchi zote mbili, Mabalozi, na Viongozi wa Taasisi mbambali za Kitaifa na Kimataifa.

Daraja la...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani