RAIS DKT. SHEIN AANDAA HAFLA YA CHAKULA KWA UJUMBE WA SERIKALI YA OMAN

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiwa na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt.Mohammed Bin  Hamed Al Ruhmi katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja wakati  hafla ya Chakula cha jioni alichowaandalia Ujumbe wa Serikali ya Oman uliotembelea Zanzibar kwa ziara ya siku tatu Nchini iliyofanyika jana.  Baadhi ya Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi na Ujumbe wa Serikali ya Oman wakiwa katika hafla ya Chakula cha jioni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN MGENI RASMI KATIKA HAFLA YA CHAKULA CHA MCHANA KWA WAPIGANAJI WALIOFANIKISHA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA MAPINDUZI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Brigedia Jenerali Sharif Sheikh Othman,pamoja na viongozi wengine alipowasili viwanja vya Kambi ya JKU kama katika hafla ya Chakula cha mchana kwa Maaskari na Makamanda wa Vikosi vya Ulinzi waliofanikisha katika sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi...

 

11 months ago

Zanzibar 24

Tafrija ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Dk Shein kwa Waziri wa Oman

KIKUNDI cha Taarab cha Taifa kimekonga nyoyo za hadhira iliyohudhuria katika hafla ya Chakula maalum cha usiku kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein kwa ajili ya wageni kutoka Serikali ya Oman ambao walikuwepo nchini kwa ziara maalum ya kuimarisha uhusiano na ushirikiano.

Hafla hiyo ambayo mgeni rasmi alikuwa Rais Dk. Shein, ilifanyika hapo jana katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni mjini Zanzibar ambapo Makamo wa...

 

4 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI CHA HISANI KUCHANGIA MFUKO WA KAMPENI WA JITOLEE KWA AJILI YA KINAMAMA WA AFRIKA, JIJINI DAR

 Makamua wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya Chakula cha Hisani kwa ajili ya kuchangia Mfuko wa Kampeni ya Jitolee kwa ajili ya Akinamama wa Afrika, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Serena jana usiku Oktoba 9, 2014 jijini Dar es Salaam. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti, Mkurugenzi Mtendaji wa Push Mobile, Freddie Manento, wakati wa hafla ya Chakula cha Hisani kwa...

 

3 years ago

Michuzi

RAIS SHEIN AANDAA FUTARI KWA VIONGOZI NA WAWAKILISHI IKULU ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein akiwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad na  Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi wakiwa katika viwanja vya Ikulu Zanzibar kujumuika katika futari ya pamoja iliyoandaliwa kwa viongozi mbali mbali wakiwemo , Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Pandu Ameir Kificho na Wawakilishi wa CCM. Hafla imefanyika punde baada ya kuvunjwa Baraza la Wawakilishi jana jioni Sehemu ya waalikwa katika futari ya pamoja...

 

4 years ago

Michuzi

Ujumbe wa IFAD wakutana na Rais wa Zanzibar,Dkt. Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Dr.Yaya Olaniran,Kiongozi Ujumbe wa Bodi tendaji ya Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi na kufanya mazungumzo na Rais. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Bw.Rasit Peter (kushoto) baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Bodi tendaji ya Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD)...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA KOICA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)  akisalimiana na Makamo wa Rais wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Korea  KOICA Bw.Wooyong Chung   akiwa na ujumbe aliofuatana nao walipofika Ikulu Mjini  ZanzibarRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa  akizungumza na  Ujumbe wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Korea  KOICA unaoongozwa na Makamo wa Rais wa Shirika hilo Bw.Wooyong Chung (wa pili...

 

3 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA AWAMU YA SABA WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR DKT. ALI MOHAMED SHEIN

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono mamia ya wananchi wa Zanzibar mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mama Fatma Karume mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Amaan kisiwani Zanzibar.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein katika...

 

1 year ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK. ALI MOHAMED SHEIN AONGOZA HAFLA YA UCHANGIAJI VIFAA VYA MICHEZO SKULI ZA SERIKALI (1)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) na Mkewe  Mama Mwanamwema Shein (kushoto) pamoja na Mshauri wa Rais Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Uchumi pia Mwenyekiti wa Kamati ya Uchangiaji Vifaa vya Michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar Mhe.Mohamed Ramia wakiangalia picha ya zamani wakati Dk.Shein alivyokuwa akishiriki mchezo wa Riadha katika Skuli ya Lumumba picha hiyo iliyofikishwa katika hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya...

 

1 year ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR, DKT. SHEIN AKUTANA NA Ujumbe wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Bw.Alvero Rodriguez Mratibu wa Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini pia Mwaklilishi Mkaazi wa Shirika la Maendeleo la Umoaja wa Mataifa (UNDP) Nchini Tanzania akiongoza Ujumbe wa Wawakilishi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa yanayofanyia kazi zake Nchini walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Ujumbe wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani