RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO ZANZIBAR IKULU NDOGO KIBWENI ZANZIBAR

Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa uchumi wa Zanzibar umeendelea kuimarika sambamba na ukusanyaji mzuri wa mapato na matumizi yake.

Hayo aliyasema leo, katika ukumbi wa Ikulu ndogo Kibweni mjini Zanzibar alipokutana na uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango wakati ilipowasilisha taarifa ya utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyo kwa Kipindi cha Julai 2018 hadi Machi 2019.

Katika maelezo yake Rais Dk. Shein...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

6 days ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA BIASHARA NA VIWANDA ZANZIBAR IKULU NDOGO KIBWENI ZANZIBAR


 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua wa Utekelezaji wa Mpango Kazi Wiizara ya Biashara Viwanda Zanzibar, katika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.(Picha na Ikulu) IMG_6629WAZIRI wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salum Ali kulia na kushoto Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar Ndg. Ali Khamis wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzu Mhe.Dk. Ali ...

 

4 days ago

Michuzi

RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA HABARI UTALII NA MAMBO YA KALE IKULU NDOGO KIBWENI ZANZIBAR


 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni, wakati wa mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyokwa mwezi Julai 2018 hadi March2019.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, kushoto Mhe,. Mahmoud Thabit Kombo...

 

4 days ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA HABARI UTALII NA MAMBO YA KALE IKULU NDOGO KIBWENI RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni, wakati wa mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyokwa mwezi Julai 2018 hadi March 2019.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, kushoto Mhe,. Mahmoud Thabit Kombo...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Rais Dkt Shein azungumza na watendaji wa wizara ya fedha Ikulu Zanzibar

402Viongozi katika Wizara ya Fedha na Mipango wakiwa katika kikao siku moja cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika jana katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] 18/10 /2016.404Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Nd,Khamis Mussa (kushoto) akitoa ufafanuzi wa vifungu wakati wa kikao siku moja cha Mpango...

 

1 week ago

Michuzi

RAIS DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA AFYA ZANZIBAR


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar , wakati wa Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Afya Zanzibar kwa Kipindi cha Julai 2018 -Marchi 2019.(Picha na Ikulu) KATIBU Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Bi. Asha Ali Abdalla akiwasilisha Mpango Kazi wa Wizara ya Afya Zanzibar kuazi Julai 2019 hadi Marchi 2019, uliofanyika katika ukumbi wa mkutano Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.kulia Mshauri wa...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Rais Dkt Shein azungumza na Watendaji wa Wizara ya Ardhi Ikulu Zanzibar

42Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiongoza kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2017-2017 cha Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 17/10 /2016.43Baadhi ya Viongozi wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira wakiwa katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2017-2017 katika...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA BIASHARA,VIWANDA NA MASOKO

 Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),alipozungumza na Uongozi wa Wizara hiyo leo katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe.Amina Salum Ali (kulia) akiwasilisha taarifa ya  Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo...

 

5 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA ELIMU,ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai hadi Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar jana jioni. Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali wakiwa katika kikao cha utekelezaji wa mpamgo wa kazi kwa kipindi cha robo mwaka kutoka Julai -Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu...

 

5 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI IDARA MAALUM ZA SMZ IKULU ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dkt.Ali Mohamed Shein(katikati) akizungumza na Uongozi wa Idara Maalum za SMZ katika mkutano wa utekelezaji mpango kazi wa robo tatu ya mwaka Julai-Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Unguja leo asubuhi. Baadhi ya makamanda wa Idara maalum za SMZ wakimsikiliza Waziri wa Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ,Mhe,Haji Omar Kheri (hayupo pichani) alipokuwa akiwasilisha taarifa ya utekelezaji mpango...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani