RAIS KENYATTA ASAINI SHERIA KALI KWA WANAOSAMBAZA HABARI ZA UZUSHI MTANDAONI


Haki miliki ya picha
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameidhinisha Mswada wa Sheria za Uhalifu wa Kompyuta na Mtandaoni wa 2018 kuwa Sheria, hatua itakayotoa adhabu kali kwa watakaopatikana na makosa ya mtandaoni.

Sheria hiyo inatoa adhabu ya faini ya Sh5 milioni (dola 50,000 za Marekani) au kifungo cha miaka miwili jela, au adhabu zote mbili, kwa atakayepatikana na kosa la uenezaji wa habari za uzushi.
Mtu atakayepatikana na kosa la kueneza taarifa ambazo zinaweza kuzua taharuki au kuzua vurugu...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

CCM KUWACHUKULIA HATUA KALI WANAOSAMBAZA HABARI ZA UZUSHI HASA WANAOWANIA NAFASI YA URAIS.

Mwaka huu 2015 ni mwaka wa uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge, Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Jamhuri ya Muungano. Hii ni kwa mujibu wa katiba ya nchi. Ratiba ya mchakato wa kuwapata wagombea wa CCM kwa nafasi hizo haijatolewa bado.


Itakumbukwa Kamati Kuu iliyopita ya tarehe 13/01/2015, iliyoketi Kisiwandui Zanzibar ilipitisha ratiba ya shughuli za kawaida za Chama kwa mwaka 2015 na kupanga kushughulikia ratiba ya mchakato wa uteuzi wa wagombea wa CCM vikao vijavyo.


Pamoja...

 

4 years ago

BBCSwahili

Kenyatta asaini sheria kali ya usalama

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, ameidhinisha sheria kali ya usalama ambayo ilizua vurugu kati ya wabunge wa upinzani na wa serikali bungeni Alhamisi

 

4 years ago

Mwananchi

Rais Uhuru Kenyatta asaini sheria ya Usalama

Pamoja na kuwapo kwa vuta nikuvute jana katika Bunge la Kenya Rais Uhuru Kenyatta, amesaini na kuiidhinisha sheria mpya ya usalama.

 

2 years ago

Channelten

Rais Asaini Sheria ya Huduma ya Habari

mina13

Rais John Pombe Magufuli ametia saini Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016 iliyopitishwa na Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wake wa 5 Mjini Dodoma.

Kwa mujibu ya Taarifa kwa vyombo vya Habari kutoka Ikulu jijini Dar es salaam, Rais Magufuli amesaini Sheria
Rais Magufuli amesaini Sheria hiyo tarehe 16 Novemba, 2016.
Dkt. Magufuli amewapongeza wadau wote kwa kufanikisha kutungwa kwa Sheria hiyo.
“Naamini kuwa Sheria hii itasaidia kuboresha sekta ya habari kwa...

 

2 years ago

MillardAyo

Rais Magufuli asaini Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016

mahgi

Taarifa iliyotolewa leo November 17 2016 kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, imeeleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametia saini Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016 iliyopitishwa na Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wake wa 5 Mjini Dodoma. Rais Magufuli amesaini […]

The post Rais Magufuli asaini Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016 appeared first on millardayo.com.

 

8 months ago

VOASwahili

Kenyatta asaini sheria ya mitandaoni

Rais Uhuru Kenyatta ametia saini sheria mpya ya makosa ya jinai ya mitandaoni iliyopitishwa na Bunge la Kenya 2017.

 

2 years ago

RFI

Hakuna siri tena, Kenyatta asaini kuwa sheria muswada wa haki ya kupata taarifa

Muswada wa haki ya kupata taarifa nchini Kenya wa mwaka 2015, hatimaye umetiwa saini na Rais kuwa sheria, ukiruhusu raia wa Kenya kupata taarifa kwa uhuru kutoka Serikalini pamoja na ofisi nyingine za uma.

 

9 months ago

Malunde

RAIS ASAINI SHERIA YA PEDI BURE KWA WANAFUNZI WA KIKE SHULENI

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amesaini muswada wa sheria ambao sasa utakuwa kamili, inayoitaka serikali kugawa pedi bure kwa wanafunzi wa kike nchini humo.Rais Kenyatta amesaini sheria hiyo jana Aprili 10, ambayo pia inaitaka serikali kuweka mazingira salama kwa wanafunzi hao kuweza kuhifadhi pedi zao.
“Sheria ya Marekebisho ya Elimu ya Msingi, kuweka wajibu wa kutoa taulo za usafi (pedi) za kutosha na za ubora kwa kila mtoto msichana aliyesajiliwa na kujiandikisha katika taasisi ya elimu ya...

 

9 months ago

Malunde

POLISI YAWAFUNGULIA JALADA LA WATU WANAOSAMBAZA PICHA ZA VITABU MTANDAONI

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema jalada la uchunguzi wa watu wanaosambaza vitabu mitandaoni limefunguliwa.
Akizungumza jana Ijumaa Mei 4, 2018 katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Kamanda Sirro amesema wamepokea maelekezo yaliyotolewa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako.

"Tumepokea maelekezo na tayari tumefungua jalada na tutakapowapata tutawapeleka mahakamani," alisema IGP Sirro.

Kuhusu watu wanaovunja sheria ya mitandao, IGP Sirro...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani