Rais Kiir amfuta kazi kiongozi wa juu wa jeshi na Waziri wa fedha

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir, amemfuta kazi mmoja wa viongozi wa juu wa jeshi nchini humo Luteni Jenerali Marial Chanuang Yol Mangok.

RFI

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

BBCSwahili

Rais Zuma amfuta kazi waziri wa elimu ya juu

Kiongozi wa chama cha Communist Blade Nzimande, ambaye amekosoa ufisadi mkubwa ndani ya serikali alifutwa kutoka wizara ya elimu ya juu

 

9 months ago

RFI

Rais Museveni amfuta kazi Mkuu wa Jeshi la Polisi na Waziri wa Usalama

Rais wa Uganda amemfuta kazi Waziri wa usalama Henry Tumukunde na Mkuu wa Jeshi la Polisi Janerali Kale Kayihura, ambaye amekuwa akiongoza kikosi cha polisi muda mrefu.

 

2 years ago

RFI

Rais Kiir amfuta kazi Mkuu wake wa Majeshi Paul Malong

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir ametangaza kumfuta kazi mkuu wake wa majeshi na mtu wake wa karibu Paul Malong, imesema taarifa ya ikulu ya Juba.

 

4 years ago

Mwananchi

Rais Museveni amfuta kazi Waziri mkuu

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amemfuta kazi waziri mkuu, Amama mbabazi na kumteua Dk Ruhakana Rugunda kushika wadhifa huo .

 

2 years ago

Channelten

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amemwachisha kazi mkuu wa Jeshi Paul Malong

2015_10largeimg219_Oct_2015_125451850-703x422

Taarifa kutoka mjini Jumba imeleza kwamba Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir ametangaza kumfuta kazi mkuu wake wa majeshi na mtu wake wa karibu Paul Malong,

Jenerali Paul Malong aliyekuwa akitajwa kama kinara wa ukabila kutoka kwenye kabila la rais Kiir la Dinka, sasa nafasi yake imechukuliwa na Jenerali James Ajongo Mawut.

Msemaji wa rais Kiir, Ateny Wek Ateny amesema kuwa hatua hii ni katika muendelezo wa mabadiliko ambayo yanafanywa na rais Kiiri na kwamba nafasi ya ukuu wa majeshi inaweza...

 

2 years ago

RFI

Rais Magufuli amfuta kazi Waziri wake wa Habari Nnape Nauye

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli, amemfuta kazi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini humo Nape Nnauye.

 

2 years ago

Channelten

Rais Korea Kusini Amfuta Kazi Waziri Mkuu wake na Mawaziri Wawili

pm

Rais wa Korea Kusini Park Geun-Hye amemfuta kazi waziri wake mkuu pamoja na mawaziri wengine wawili katika jitihada zake za hivi karibuni za kukabiliana na kashfa za kisiasa zinazomwandama.

Hatua hiyo ni sehemu ya mkakati wa kulifanyia mabadiliko baraza lake la mawaziri na watumishi wa umma waandamizi katika kupunguza hasira za wananchi dhidi ya rais na utawala wake.

Park amekumbwa na dhoruba ya kashfa ya kisiasa kwa madai ya kumruhusu rafiki yake wa siku nyingi ambaye hana nafasi yoyote ya...

 

2 years ago

BBCSwahili

Ban Ki-Moon amfuta kazi kamanda wa jeshi Sudan Kusini

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amemfuta kazi kamanda wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani