RAIS KIKWETE AMTEUA MKURUGENZI MKUU WA TAASISI YA TEA

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TEA), Ndugu Joel Laurent. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Joel Laurent kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TEA). Uteuzi huo ulianza Oktoba 18, mwaka huu, 2015. Kabla ya uteuzi wake, Ndugu Laurent alikuwa Katibu wa Taasisi hiyo ya TEA na ndiye amekuwa anakaimu nafasi ya Mkurugenzi Mkuu. Imetolewa na: Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, DAR ES SALAAM. 26 Oktoba,…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AMTEUA MKURUGENZI MKUU WA TAASISI YA TEA


THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Joel Laurent kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TEA).  Uteuzi huo ulianza Oktoba 18, mwaka huu, 2015.


Kabla ya uteuzi wake, Ndugu Laurent alikuwa Katibu wa Taasisi hiyo ya TEA na ndiye amekuwa anakaimu nafasi ya Mkurugenzi Mkuu.


Imetolewa na:

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,

Ikulu,

DAR ES...

 

2 years ago

Dewji Blog

JK amteua Joel Laurent kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TEA)

IMGS3953

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Joel Laurent kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TEA).  Uteuzi huo ulianza Oktoba 18, mwaka huu, 2015.

Kabla ya uteuzi wake, Ndugu Laurent alikuwa Katibu wa Taasisi hiyo ya TEA na ndiye amekuwa anakaimu nafasi ya Mkurugenzi Mkuu.

Imetolewa na:

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,

Ikulu,

DAR ES SALAAM.

26 Oktoba, 2015

 

2 years ago

Bongo5

Rais Magufuli amteua Mkurugenzi Mkuu wa TCRA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amemteua Mhandisi James Mitayakingi Kilaba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ambapo hapo mwazo alikuwa akiikaimu nafasi hiyo baada ya Dkt. Ally Yahaya Simba aliyekuwa akishikilia nafasi hiyo kutenguliwa.

magufuli (1)

Soma taarifa hii kutoka Ikulu.

whatsapp-image-2016-10-09-at-15-15-46-1

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali...

 

8 months ago

Michuzi

Rais Magufuli amteua Dkt. Hassan Abbas kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari, Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali

 Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Seriakli Dkt.Hassan Abbas.

 

3 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete amteua Diwani Msuya kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai

DSC00265

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani  Athumani Msuya (pichani), kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai (Director of Criminal Investigation).

Kabla ya uteuzi huu CP Msuya alikuwa Kaimu Kamishna wa kamisheni ya Intelijensia ya Jinai. CP Msuya anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Robert S. Manumba ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria.

Rais Kikwete pia amemteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino...

 

2 years ago

Dewji Blog

Rais Dkt.Magufuli amteua rasmi Mkurugenzi Mkuu wa TCRA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua rasmi  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mhandisi James Mitayakingi Kilaba, uteuzi huo umeanza rasmi jana Oktoba 8.2016.

TCRA

The post Rais Dkt.Magufuli amteua rasmi Mkurugenzi Mkuu wa TCRA appeared first on DEWJIBLOG.

 

3 years ago

Michuzi

Rais Kikwete amteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai, pia amteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola kuongoza Idara ya Intelijensia ya Jinai

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani  Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai (Director of Criminal Investigation).
Kabla ya uteuzi huu CP Msuya alikuwa Kaimu Kamishna wa kamisheni ya Intelijensia ya Jinai. CP Msuya anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Robert S. Manumba ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria.
Rais Kikwete pia amemteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola...

 

2 years ago

Global Publishers

Rais JPM Amteua Dk. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa

Rais Magufuli

Rais Dk. Magufuli.

Rais Dk. John Pombe Magufuli leo amemteua Dk. Modestus Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Rashid Othman aliyestaafu.

Dk. Modestus Kipilimba ataapishwa leo Ikulu jijini Dar es Salaam. 

Kipilima

Dk. Modestus Kipilimba, Mkurugenzi Mkuu mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa.

Usalama wa taifa

 

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani