Rais Magufuli afanya uteuzi Majaji wa Mahakama Kuu 10, Naibu AG, Naibu DPP, Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 months ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA MAJAJI 10, Naibu MWanasheria Mkuu, Wakili Mkuu wa Serikali, Naibu Wakili Mkuu na Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka

KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Simu: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: press@ikulu.go.tzTovuti : www.ikulu.go.tz               Faksi: 255-22-2113425
OFISI YA RAIS,      IKULU, 1 BARABARA YA BARACK OBAMA,   11400 DAR ES SALAAM.Tanzania.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 20 Aprili, 2018 amewaapisha Majaji 10 wa Mahakama Kuu, Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Wakili Mkuu wa Serikali, Naibu Wakili Mkuu wa...

 

12 months ago

Malunde

RAIS MAGUFULI AMWAPISHA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI NA NAIBU WAKE,MAJAJI WAWILI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewaapisha Majaji 2, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali aliowateua tarehe 01 Februari, 2018.
Walioapishwa kuwa Majaji ni Mhe. George Mcheche Masaju na Mhe. Gerson John Mdemu.
Mhe. Rais Magufuli amemuapisha Mhe. Dkt. Adelardus Lubango Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Mhe. Paul Joel Ngwembe kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Matukio yote mawili yamehudhuriwa na Makamu wa Rais Mhe....

 

2 years ago

Zanzibar 24

Rais Dkt. Magufuli afanya uteuzi wa Naibu Kamishna Mkuu TRA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bw. Adolf Hyasinth Mohondela Ndunguru kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Uteuzi wa Bw. Adolf Hyasinth Mohondela Ndunguru umeanza leo tarehe 22 Mei, 2017.

Kabla ya uteuzi huo Bw. Adolf Hyasinth Mohondela Ndunguru alikuwa Kamishna wa Sera, Wizara ya Fedha na Mipango.

Bw. Adolf Hyasinth Mohondela Ndunguru anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Charles Edward Kichere ambaye hivi karibuni...

 

3 years ago

Global Publishers

Rais Magufuli Afanya Uteuzi wa Naibu Gavana wa Benki Kuu

Magufuli3 (1)Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, amemteua Ndugu Julian Banzi Raphael, kuwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania.

Kabla ya uteuzi huu Ndugu Julian Banzi Raphael alikuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Biashara na Viwanda, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

Ndugu Julian Banzi Raphael anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Juma RELI ambaye muda wake umemalizika tarehe 12 Julai, 2015.

1

 

2 years ago

Zanzibar 24

Rais afanya uteuzi wa Naibu Kamishna Mkuu TRA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli,amemteua Bw. Charles E. Kichere kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

uteuzi

The post Rais afanya uteuzi wa Naibu Kamishna Mkuu TRA appeared first on Zanzibar24.

 

3 years ago

Dewji Blog

Rais Dk. Magufuli ateua Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, ameziba nafasi iliyokuwa wazi ya Naibu Mwanasheria Mkuu, Katika taarifa kwa vyombo vya Habari leo imefafanua.

WhatsApp-Image-20160523 (2)

Taarifa ya Ikulu.

8E9U6081Naibu Mwanasheria wa Serikali, Bwana Gerson Mdemu (katikati) Picha ya Maktaba wakati Bwana Mdemu akifuatilia kuapishwa kwa Mawaziri. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakati huo.

The post Rais Dk. Magufuli ateua Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali appeared first on...

 

3 years ago

Global Publishers

Rais Magufuli Amuapisha Naibu Mwanasheria Mkuu Wa Serikali

1  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Gerson John Mdemu kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ikulu jijini Dar es Salaam. 

2...Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Gerson John Mdemu kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ikulu jijini Dar es Salaam. 

3Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Gerson John Mdemu wa pili kutoka...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Rais Dkt. John Pombe Magufuli afanya uteuzi wa Naibu Magavana wawili wa Benki Kuu ya Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 31 Mei, 2017 amefanya uteuzi wa Naibu Magavana wawili wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT).

Mhe. Rais Magufuli amemteua Dkt. Yamungu Kayandabila kuwa Naibu Gavana anayeshughulikia Uchumi na Fedha (Economic and Financial Policies – EFP).

Kabla ya uteuzi huu Dkt. Yamungu Kayandabila alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazina anachukua nafasi iliyoachwa na Dkt. Natu E. Mwamba ambaye amemaliza...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani