RAIS MAGUFULI : SHETANI ANATUCHEKA KWA UMASKINI WA KUJITAKIA


Rais John Pombe Magufuli amesema hata shetani huko alipo atakuwa anawacheka Watanzania kutokana na umaskini wa kujitakia.

Amesema Mungu amelibariki taifa kuwa na kila aina ya madini lakini umaskini umeendelea kuwatafuna Watanzania.
Kauli hiyo ameitoa jana baada ya kupokea ripoti ya kamati ya pili ya kuchunguza kiwango cha madini yaliyomo katika mchanga wa madini .
Kamati hiyo inaongozwa na Mwenyekiti wake, Profesa Nehemiah Osoro, imewasilisha ripoti hiyo ikiwa ni siku 18 baada ya kamati ya...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

JPM: Shetani anatucheka kwa umaskini wa kujitakia

Rais John Pombe Magufuli amesema hata shetani huko alipo atakuwa anawacheka Watanzania kutokana na umaskini wa kujitakia.

 

3 years ago

MillardAyo

AUDIO: Rais Magufuli ‘huyu Shetani aliyetulaani Watanzania kwanini asife?’

Rais Magufuli

Ni hotuba ya Rais Magufuli akiwa Arusha kwenye kuweka baraka zake kwenye majengo mapya ya PPF ambapo kwenye hotuba yake iliyochekesha watu wengi aliongelea pia ishu ya madini ya Tanzanite yanayopatikana Tanzania pekee lakini nchi zinazotambulika kuyauza duniani ni India na Kenya. President Magufuli alisema >>> ‘Siku nyingine hakuna ubaya hata NSSF mkawa ndio wawekezaji […]

The post AUDIO: Rais Magufuli ‘huyu Shetani aliyetulaani Watanzania kwanini asife?’ appeared first on...

 

2 years ago

Mwananchi

Wabunge wageuzwa ATM kwa kujitakia

Dodoma. Wakati wabunge wakionyesha kukerwa na kugeuzwa ATM majimboni kwao, Katibu wa Spika, Saidi Yakubu amewaeleza kuwa wao ndio chanzo hivyo wakiamua tatizo hilo litakwisha.

 

3 years ago

Michuzi

UVCCM KIGOMA WAMPONGEZA RAIS DKT MAGUFULI,WAMTAKA MKUU WA MKOA KWENDA NA KASI YAKE ILI KUIKOMBOA KIGOMA NA UMASKINI

Mwenyekiti wa umoja wa vijana(UVCCM) Mkoa wa Kigoma peter Msanjilla akiongea na mwandishi wa habari hii ofisini kwake(hayupo pichani) baada ya kikao cha kamati ya  utekelezaji umoja wa vijana wa CCM mkoa wa Kigoma
Na Editha Karlo wa blog ya jamii Kigoma. 
UMOJA wa vijana wa chama cha Mapinduzi(CCM)mkoa wa Kigoma wamempongeza Rais John Pombe Magufuli kwa kazi yake nzuri anayofanya ya kuwatumikia wananchi tangu alipoingia madarakani. 
Mwenyekiti wa umoja huo wa UVCCM Mkoa wa Kigoma Peter...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Tunapouanza mwaka mpya kwa maumivu ya kujitakia

NIMEPIGIWA simu nyingi na kuandikiwa ujumbe wa maandishi na baadhi ya watu waliosoma makala yangu Jumatano wiki iliyopita, iliyokuwa ikijadili namna mbunge wa CCM alivyofanya dhihaka katika msiba. Naambiwa wananchi...

 

3 years ago

Habarileo

Magufuli: watumishi hewa ni ‘heri’ ya shetani

RAIS John Magufuli amesema nafuu ya shetani kuliko watumishi hewa na kubainisha kuwa mpaka juzi, imebainika kuwapo kwa watumishi hewa 10,295 serikalini.

 

3 years ago

Raia Mwema

Lowassa vs Magufuli:Yupi ni shetani nafuu tumpe kura?

PAPA Francis – Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani aliwahi kusema hivi: “This is me, a sinner on

Mwandishi Wetu

 

2 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS APOKEA UJUMBE MAALUM KWA NIABA YA RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI KUTOKA KWA RAIS WA CONGO BRAZZAVILLE


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea ujumbe maalum kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli kutoka kwa Rais wa Congo Brazavile Mhe. Denis Sassou Nguesso uliowasilishwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchi hiyo Mhe. Jean Claude Gakosso (kushoto), Ikulu jijini Dar es salaam.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa...

 

2 years ago

MillardAyo

Ujumbe alioupokea Rais Magufuli kutoka kwa Rais Salva Kiir na Rais Nkurunziza

10

Rais wa Jamhuri ya Sudan Kusini Salva Kiir Mayardit amemtumia ujumbe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki akimuarifu kuwa hali ya usalama katika nchi hiyo imeanza kutengemaa. Rais Salva Kiir Mayardit amewasilisha ujumbe huo kupitia kwa Mjumbe wake Maalum Aggrey Tisa […]

The post Ujumbe alioupokea Rais Magufuli kutoka kwa Rais Salva Kiir na Rais Nkurunziza appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani