Rais Magufuli afanya uteuzi leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. William Anangisye  kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB).

Prof.  Anangisye ni Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE).

 

The post Rais Magufuli afanya uteuzi leo appeared first on Zanzibar24.

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

CCM Blog

3 years ago

Channelten

2 years ago

Zanzibar 24

Rais Magufuli afanya uteuzi mwengine leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli leo tarehe 17 January, 2017 amemteua Jaji Prof. Ibrahim Juma kuwa kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania na hiyo ni kuchukua nafasi ya Jaji Mohamed Chande Othman ambaye amestaafu.

Kabla ya kuteuliwa kushika nafasi ya kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, Jaji Prof. Ibrahim Juma alikuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa Tanzania ambapo sasa atakaimu nafasi ya Jaji Mkuu wa Tanzania mpaka hapo Rais Magufuli atakapofanya uteuzi wa Jaji Mkuu wa Tanzania.

Uteuzi wa...

 

3 years ago

Michuzi

Rais Dkt. Magufuli afanya uteuzi mwingine leo


 Jaji Shaban Ali Lila Mh. Anne Semamba MakindaProf. Apollinaria Elikana Pereka

 

3 years ago

MillardAyo

Rais Magufuli afanya uteuzi Muhimbili leo October 3 2016

jpm66666

Leo October 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Lawrence Mujungu Museru kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Ikulu Jijini Dar es Salaam imeeleza kuwa uteuzi wa Prof. Lawrence Mujungu Museru umeanza jana tarehe 02 Oktoba, […]

The post Rais Magufuli afanya uteuzi Muhimbili leo October 3 2016 appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Dewji Blog

BREAKING NEWS: Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine leo 7 Desemba

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 07 Desemba, 2016 amefanya uteuzi wa Katibu Mkuu mmoja na Mkuu wa Mkoa mmoja na pia amefanya mabadiliko madogo katika Wizara na Mikoa kama ifuatavyo;

Dkt. Magufuli amemteua Prof. Faustin Kamuzora kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais.
Kabla ya uteuzi huo, Prof. Kamuzora alikuwa Katibu Mkuu Mawasiliano.

Rais Magufuli amemteua Mhandisi Mathew Mtigumwe kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Uvuvi na Mifugo...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Rais Magufuli afanya uteuzi na kuapisha wengine watano leo hii

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Thobias Andengenye kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Pindi Chana kuwa Balozi wa Tanzania nchini Kenya, tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Silima Kombo Haji kuwa...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Rais Dkt Magufuli Afanya uteuzi mwengine leo tarehe 24 Agosti 2016

hqdefault_0Dk. Modestus Kipilimba, Mkurugenzi Mkuu mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa.

jk

 

The post Rais Dkt Magufuli Afanya uteuzi mwengine leo tarehe 24 Agosti 2016 appeared first on Zanzibar24.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani