Rais Magufuli afanya Uteuzi Mwingine Leo

whatsapp-image-2016-10-03-at-1-06-54-pm

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

Rais Dkt. Magufuli afanya uteuzi mwingine leo


 Jaji Shaban Ali Lila Mh. Anne Semamba MakindaProf. Apollinaria Elikana Pereka

 

2 years ago

Dewji Blog

BREAKING NEWS: Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine leo 7 Desemba

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 07 Desemba, 2016 amefanya uteuzi wa Katibu Mkuu mmoja na Mkuu wa Mkoa mmoja na pia amefanya mabadiliko madogo katika Wizara na Mikoa kama ifuatavyo;

Dkt. Magufuli amemteua Prof. Faustin Kamuzora kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais.
Kabla ya uteuzi huo, Prof. Kamuzora alikuwa Katibu Mkuu Mawasiliano.

Rais Magufuli amemteua Mhandisi Mathew Mtigumwe kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Uvuvi na Mifugo...

 

3 years ago

Mwananchi

Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine

Rais wa John Magufuli leo amemteua Eliya  Ntandu kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe.

 

3 years ago

Channelten

3 years ago

Zanzibar 24

Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine mchana huu

14

The post Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine mchana huu appeared first on Zanzibar24.

 

2 years ago

Channelten

Rais Magufuli afanya Uteuzi mwingine Ikulu Jijini DSM

magufulipicha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amefanya uteuzi wa Wenyeviti 7 wa Bodi za Taasisi za Serikali, na pia ameteua Mwenyekiti wa Baraza la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Tanzania na Mjumbe mmoja wa Baraza la Taifa la Biashara.

Taarifa iliyotolewa leo tarehe 19 Desemba, 2016 na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imewataja walioteuliwa kama ifuatavyo;

1. Rais Magufuli amemteua Bw. Ali Mufuruki kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa Dhamana ya...

 

2 years ago

Malunde

RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI MWINGINE..KICHERE ALAMBA DUME

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 25 Machi, 2017 amemteua Bw. Charles Edward Kichere kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Kabla ya Uteuzi huo Bw. Charles Edward Kichere alikuwa Naibu Kamishna Mkuu wa TRA.
Bw. Charles Edward Kichere anachukua nafasi ya Bw. Alphayo Kidata ambaye ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu, Ikulu.
Kufuatia uteuzi huo, nafasi ya Naibu Kamishna Mkuu wa TRA itajazwa baadaye.
Gerson MsigwaMkurugenzi wa Mawasiliano ya...

 

3 years ago

Dewji Blog

News Alert: Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine usome hapa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Makenya Abraham Honoratus Maboko kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS).

Taarifa iliyotolewa leo tarehe 23 Juni, 2016 na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi inasema uteuzi huu umeanza tarehe 21 Juni, 2016.

Prof. Makenya Abraham Honoratus Maboko anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Prof. Cuthbert Mhilu ambaye amemaliza muda wake.

Prof. Maboko ni Mhadhiri wa Jiolojia  katika Chuo Kikuu cha...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine, mara hii ni zamu ya ATCL

atcl

The post Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine, mara hii ni zamu ya ATCL appeared first on Zanzibar24.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani