RAIS MAGUFULI AHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 54 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein katika sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Abeid Amani Karume kisiwani humo.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein pamoja na viongozi wengine wa kitaifa wakiwa wamesimama wakati gwaride la heshma(halionekani pichani) lilipokuwa likipita katika sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Abeid Amani Karume kisiwani humo.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Amani kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mama Fatma Karume mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Amani kisiwani Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akihutubia mamia ya wananchi waliohudhuria katika sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Abeid Amani Karume kisiwani Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akipungia mkono wakati akiwasili katika uwanja wa Amani.
Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la Heshma katika sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zolizofanyika katika uwanja wa Amani.
Rais mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamini Mkapa akifurahia jambo wakati alipokuwa akizungumza na Rais mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume katika sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Abeid Amani Karume kisiwani Zanzibar.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Saluti kutoka kwa Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro mara baada ya kuhudhuria sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Abeid Amani Karume kisiwani Zanzibar.PICHA NA IKULU
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Michuzi
Habari Zinazoendana
2 years ago
Michuzi
RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA AWAMU YA SABA WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR DKT. ALI MOHAMED SHEIN



3 months ago
Michuzi
RAIS DKT MAGUFULI AREJEA DAR ES SALAAM AKITOKEA ZANZIBAR KWENYE SHEREHE ZA MIAKA 54 YA MAPINDUZI


1 year ago
Michuzi
RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA WANANCHI WA SHINYANGA KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MIAKA 53 MAPINDUZI YA ZANZIBAR



3 years ago
Michuzi.jpg)
MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR AHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA CBE LEO
.jpg)
.jpg)
1 year ago
Zanzibar 2412 Jan
Hotuba ya Rais wa Zanzibar katika sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan;
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Majaliwa Kassim Majaliwa;
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Balozi Seif Ali Iddi;
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar,
Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi;
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
wa Awamu ya Pili,
Mheshimiwa Benjamin Wiliam Mkapa;
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
wa Awamu ya Tatu,
Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho Kikwete;
Rais Mstaafu...
3 years ago
Dewji Blog12 Jan
Rais Kikwete katika sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh.Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad katikati ni Waziri Kiongozi Mstaafu wa Zanzibar Mh. Shamsi Vuai Nahodha.(Picha na Freddy Maro wa Ikulu)
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh.Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Rais Mstaafu Mh Benjamin Mkapa wakati wa maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika kwenye uwanja wa Amani, Katikati...
3 years ago
GPL
MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALLY IDD AHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA CBE
3 years ago
Vijimambo22 Jan
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd ahudhuria sherehe za miaka 50 ya CBE


3 years ago
GPL
RAIS DK KIKWETE KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 51 YA MAPINDUZI ZANZIBAR LEO