Rais Magufuli aibuka mshindi Nchini Ghana wa tunzo ya kiongozi bora Barani Afrika

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameshinda tuzo ya The African Prestigious Awards 2017 kwenye kipengele cha kiongozi bora wa bara la Afrika.

Tuzo hizo ambazo zimetolewa Aprili 14, 2018 Wikiendi iliyopita jijini Accra nchini Ghana pia zilishuhudia Watanzania wengine watatu katika tasnia ya filamu wakiibuka washindi.

Waigizaji hao ni Monalisa na Ray Kigosi waliyoibuka washindi kwenye vipengele vya Muigizaji bora wa kike barani Afrika na Muigizaji bora wa...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

GPL

RAIS JAKAYA KIKWETE APOKEA TUZO YA KIONGOZI BORA BARANI AFRIKA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akipokea Tuzo ya Utumishi Bora wa Umma Barani Afrika kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Benard Membe (kulia) kufuatia mchango mkubwa alioutoa  kwa maendeleo ya wananchi wa Tanzania na Bara la Afrika.…

 

9 months ago

Zanzibar 24

Rais Dkt. John Magufuli ameteuliwa kuwania Tuzo ya Kiongozi Bora Afrika

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli ameteuliwa kuwania Tuzo ya Kiongozi Bora Afrika, The African Prestigious Awards zinazotarajia kutolewa nchini Ghana.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe ndiye aliyeweka wazi hilo hapo jana alipokuwa akimkabidhi bendera msanii wa filamu nchini Yvonne Cherrie ‘Monalisa’ anayetarajia kwenda nchini Ghana katika tuzo hizo.

“Tanzania imepata heshima kubwa katika tuzo hizi zenye heshima kubwa katika bara la...

 

3 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKABIDHIWA TUNZO YA MSANII BORA AFRIKA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wasanii wa Film wa hapa Nchini baada ya kukabidhiwa Tunzo ya mshindi Bora wa Film ya Kiswahili East Afrika (AMVCA) na Tunzo ya Kiswahili Afrika iliyofanyika Nchini Nigeria, hafla hiyo iliyofanyika leo March 14,2016 Oysterbay Dar es salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Tunzo ya mshindi Bora wa Film ya Kiswahili East Afrika (AMVCA) iliyofanyika...

 

3 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete atunukiwa Tuzo ya Kudumisha Utawala Bora Barani Afrika

Jakaya-Kikwete1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.

Jitihada za muongo mzima wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kuimarisha na kudumisha Utawala Bora katika Tanzania zimetambuliwa kimataifa kwa Rais kutunukiwa Tuzo la Utawala Bora Barani Afrika mwaka 2015 (Good Governance in Africa.)

Rais Kikwete ametunukiwa Tuzo hiyo na Taasisi ya African Achievers Awards yenye makao yake makuu katika Afrika Kusini kutokana na kutambua mchango...

 

5 years ago

Michuzi

Rais Kikwete achaguliwa Kiongozi Bora Afrika

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe akiongea na maafisa na wageni mbalimbali katika ubalozi wa Tanzania nchini Marekani  mjini Washington DC, Marekani, ambako atapokea tuzo ya Africa’s Most Impactful Leader of the Year kwa niaba ya Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania mjini humo leo April 9, 2014.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amechaguliwa kuwa Kiongozi Mwenye Mchango Mkubwa...

 

5 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ACHAGULIWA KUWA KIONGOZI MWENYE MCHANGO MKUBWA ZAIDI KATIKA MAENDELEO BARANI AFRIKA KWA MWAKA 2013

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe akiongea na maafisa na wageni mbalimbali katika ubalozi wa Tanzania nchini Marekani  mjini Washington DC, Marekani, ambako atapokea tuzo ya Africa’s Most Impactful Leader of the Year kwa niaba ya Mhe. Jakaya Mrisho
Kikwete, Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania mjini humo leo April 9, 2014. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya...

 

3 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE APOKEA TUZO YA KIONGOZI BORA AFRIKA MASHARIKI

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea Tuzo ya Kiongozi Bora Afrika Mashariki kutoka katika taasisi ya East Africa Book of Records yenye makao yake makuu jijini Kampala Uganda.Pichani kiongozi wa Taasisi hiyo Dkt.Paul Bamutize akimkabidhi Rais Kikwete tuzo hiyo wakati wa hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaanm leo asubuhi.Sambamba na Tuzo hiyo Rais kikwete amepokea tuzo ya kuitambua Tanzania kama taifa bora Afrika Mashariki kwa kudumisha Amani na Utulivu,Huduma bora za...

 

4 years ago

Uhuru Newspaper

Dk. Kamani apewa tunzo ya utendaji bora Afrika


Na Mwandishi Wetu
NYOTA ya Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, Dk. Titus Kamani, imeendelea kung’ara kutokana na kuonyesha utendaji bora katika kusimamia sekta ya mifugo nchini.
Kwa hali hiyo, Dk. Kamani, ambaye pia ni mbunge wa Busega, amepewa Tunzo ya Utawala Bora katika kipengele cha Watendakazi Bora Serikalini barani Afrika.
Tunzo hizo ziliandaliwa na Kampuni ya CEO Titans Building Nations ya Afrika Kusini, ambayo imejikita katika kutambua watu na viongozi wanaofanya kazi kwa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani