Rais Magufuli akutana na kuzungumza na Rais Museveni


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKUTANA NA MJUMBE MAALUM WA RAIS WA UGANDA YOWERI MUSEVENI, WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA UGANDA SAM KUTESA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mjumbe maalum wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda Sam Kutesa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mjumbe maalum wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda Sam Kutesa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.  Rais wa...

 

2 years ago

Malunde

Picha: RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA VIKOSI VYA ULINZI NA USALAMA WA SASA NA WASTAAFU


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika chumba cha mkutano kwa ajili ya kuzungumza na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wasasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwakaribisha viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wa sasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI MBALIMBALI WA ULINZI NA USALAMA WASASA NA WASTAAFU IKULU JIJINI DAR

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wasasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika chumba cha Mkutano kwa ajili ya kuzungumza na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wasasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na na viongozi...

 

3 months ago

RFI

Museveni amtaka rais wa Burundi kuzungumza na wapinzani wake

Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametoa wito kwa mwenzake wa Burundi Pierre Nkurunziza kuheshimu Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), mpatanishi katika mgogoro unaondelea kuikabili nchi yake, na kuzungumza na upinzani ulio nje ya nchi.

 

3 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA SEKRETARIETI NA WAFANYAKAZI WA CHAMA DODOMA MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa mara baada ya kuwasili makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma leo.Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akijiandaa kuongea na sekretarieti ya CCM kwa mara ya kwanza katika makuu ya chama hicho mjini Dodoma leo.Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongea na wafanyakazi wa makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma leo.

 

1 year ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA KUU WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Mhandisi Joseph K. Malongo na Naibu Katibu Mkuu Bi. Butamo K. Philip ofisini kwake Ikulu, jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya...

 

3 years ago

Michuzi

Rais Magufuli akutana na kufanya Mazungumzo na Rais Kenyatta na Rais Kagame

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Rwanda Paul Kagame mara baada ya kumaliza mazungumzo yaliyofanyika Ngurdoto nje kidogo ya jiji la Arusha.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais wa Kenya Uhuru Kenyata kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa kawaida wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika...

 

2 years ago

Channelten

Ziara ya Rais Museveni Atua nchini na kufanya mazungumzo na Rais Magufuli

Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museven ameanza ziara ya kikazi ya siku mbili hapa nchini ambapo katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere amepokelewa na mwenyeji wake Rais John Pombe Magufuli na kisha kukagua gwaride maalumu lililoandaliwa kwa ajili yake.

Mara baada ya kuwasili Rais Museveni na mwenyeji wake Rais Magufuli walielekea Ikulu jijini Dar es salaam, ambako kwanza walikuwa na mazungumzo ya faragha, kisha kikao kilichohusisha mawaziri wa nchi hizo mbili, na mwisho...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani