Rais Magufuli amteua Mkurugenzi Mkuu wa TCRA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amemteua Mhandisi James Mitayakingi Kilaba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ambapo hapo mwazo alikuwa akiikaimu nafasi hiyo baada ya Dkt. Ally Yahaya Simba aliyekuwa akishikilia nafasi hiyo kutenguliwa.

magufuli (1)

Soma taarifa hii kutoka Ikulu.

whatsapp-image-2016-10-09-at-15-15-46-1

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Dewji Blog

Rais Dkt.Magufuli amteua rasmi Mkurugenzi Mkuu wa TCRA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua rasmi  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mhandisi James Mitayakingi Kilaba, uteuzi huo umeanza rasmi jana Oktoba 8.2016.

TCRA

The post Rais Dkt.Magufuli amteua rasmi Mkurugenzi Mkuu wa TCRA appeared first on DEWJIBLOG.

 

2 years ago

CCM Blog

RAIS DK MAGUFULI AMTEUA MHANDISI KILABA KUWA MKURUGENZI MKUU MPYA TCRA

Mhandishi James Mtayakingi KilabaDAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli, amemteua Mhandisi James Mitayakingi Kilaba kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

Taarifa iliyotolewa leo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na kusambazwa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu Dar es Salaam, imeeleza kuwa uteuzi wa Mhandisi James Mitayakingi Kilaba umeanza jana, Jumamosi, Oktoba 8, 2016.

Kabla ya uteuzi huo, Mhandisi James...

 

2 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI AVUNJA BODI YA TCRA NA AMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI MKUU TCRARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameivunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na kumsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Dkt. Ally Yahaya Simba kutokana na kutosimamia ipasavyo Mkataba wa utekelezaji wa mfumo wa usimamizi wa mawasiliano ya simu (TTMS), na kusababisha nchi kupoteza mapato ya takriban shilingi bilioni 400 kwa mwaka.Rais Magufuli Avunja Bodi Ya TCRA Na Kumsimamisha Mkurugenzi Mkuu

 

10 months ago

Michuzi

Rais Magufuli amteua Dkt. Hassan Abbas kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari, Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali

 Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Seriakli Dkt.Hassan Abbas.

 

7 months ago

Michuzi

Rais Magufuli amteua Bw. Edwin Rutageruka kuwa Mkurugenzi Mkuu TANTRADE

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) Bw. Edwin Rutageruka

 

2 years ago

Dewji Blog

Rais Magufuli amteua Prof. Yunus D. Mgaya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NIMR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 17 Desemba, 2016 amemteua Prof. Yunus D. Mgaya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR).
Uteuzi wa Prof. Yunus D. Mgaya unaanza mara moja.

Prof. Yunus D. Mgaya anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Dkt. Mwele Malecela ambaye uteuzi wake umetenguliwa.
Taarifa hii ni kwa mujibu wa Gerson Msigwa, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU Dar es Salaam mapema leo 17 Desemba, 2016

prof-_yunus_mgaya

2 years ago

Bongo5

Rais Magufuli amteua Prof Yunus Mgaya kuwa mkurugenzi mkuu NIMR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli amemteua Profesa Yunus Mgaya kuwa mkurugenzi mkuu NIMR.

Hii taarifa yake:

BY: EMMY MWAIPOPO

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani