Rais Magufuli Amtumbua Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Amos Makala

Rais Magufuli amempandisha hadhi aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Juma Homera kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi kuanzia  jana  Mei 14,2019.
Uteuzi huo wa Homera umetokana na uamuzi wa wa Rais kumpumzisha aliyekuwa mkuu wa mkoa huo, Amos Makala.
Taarifa iliyotolewa na mkurugenzi wa kurugenzi ya mawasiliano ikulu, Gerson Msigwa inasema “uteuzi wa mkuu wa Wilaya ya Tunduru utafanywa baadaye.”Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

6 days ago

Malunde

Breaking News ; RAIS MAGUFULI AMTUMBUA MKUU WA MKOA WA KATAVI AMOS MAKALLA


Rais John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Amos Gabriel Makalla na kumteua Mhe.Juma Zuberi Homera kuwa Mkuu wa mkoa wa Katavi.

 

4 days ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AMUAPISHA MKUU WA MKOA WA KATAVI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Juma Zuberi Homera kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi Ikulu jijini Dar es Salaam.. Mkuu wa Mkoa wa Katavi Juma Zuberi Homera akila kiapo cha Uadilifu Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.

 

4 days ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AMUAPISHA HOMEA KUWA MKUU WA MKOA WA KATAVI, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli akimuapisha Juma Zuberi Homera kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi Ikulu jijini Dar es Salaam, leo.

 

4 days ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AMUAPISHA JUMA ZUBERI HOMERA KUWA MKUU WA MKOA WA KATAVI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaDkt. John Pom be Magufuli akimuapisha Mhe. Juma Zuberi Homera kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi Ikulu jijini Dar es Salaam leo Mei 16, 2019.Mkuu wa Mkoa wa Katavi Juma Zuberi Homera akila kiapo cha Uadilifu Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU

 

3 years ago

Habarileo

Rais Magufuli amtumbua Mkurugenzi Mkuu TIC

RAIS John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Juliet Kairuki kwa sababu mbalimbali, ikiwemo kutochukua mshahara wake tangu alipoteuliwa mwaka 2013.

 

2 years ago

Malunde

RAIS MAGUFULI AMTUMBUA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA ELIMU

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Elimu Kibaha Dkt. Crispin Mpemba ili kupisha uchunguzi dhidi ya tuhuma za kiutendaji zinazomkabili ikiwemo uendeshaji wa shirika hilo
Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari Waziri wa nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI George Simbachawene amesema moja ya tuhuma zinazomkabili ni pamoja na kuingia mikataba kiholela.
Shirika la Elimu Kibaha ni Shirika la umma linalotoa huduma mbalimbali likiwa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani