Rais Magufuli amtumbua RC Makalla, Nafasi yake yachukuliwa na DC

Rais Magufuli jana Mei 14, 2019 ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Katavi,Mhe. Amos Makalla na nafasi yake imechukuliwa na aliyekuwa DC wa Tunduru, Juma Homera.


The post Rais Magufuli amtumbua RC Makalla, Nafasi yake yachukuliwa na DC appeared first on Zanzibar24.

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

6 days ago

Malunde

Breaking News ; RAIS MAGUFULI AMTUMBUA MKUU WA MKOA WA KATAVI AMOS MAKALLA


Rais John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Amos Gabriel Makalla na kumteua Mhe.Juma Zuberi Homera kuwa Mkuu wa mkoa wa Katavi.

 

2 years ago

Bongo5

Nape Nnauye atumbuliwa, nafasi yake yachukuliwa na Dk. Mwakyembe

Rais Dkt John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa mheshimiwa Nape Nnauye kama Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.

Badala yake amemtua Dkt Harrison Mwakyembe kushika nafasi hiyo. Chini ni taarifa ya uteuzi huo mpya:

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

 

3 years ago

Bongo5

Rafael Benitez atimuliwa Real Madrid, nafasi yake yachukuliwa na Zidane

2FC5C48900000578-3383931-image-a-52_1451919569762

Uongozi wa klabu ya Real Madrid hatimaye umemfukuza kocha wake Rafael Benitez ambaye amedumu kwa miezi 7 pekee.

2FCC0AEA00000578-3384137-image-m-40_1451939045866

Nafasi ya Benitez imechukuliwa na aliyekuwa mchezaji wa Ufaransa Zinedine Zidane ambaye awali alikuwa kocha wa kikosi B cha Real Madrid.

2FC5C48900000578-3383931-image-a-52_1451919569762

Hii ni kutokana na matokeo mabaya kwa timu hiyo, ambapo ilitoka sare 2-2 na Valencia, katika Mechi ya La Liga, sare ambayo imewaacha vigogo hao nafasi ya 3 wakiwa nyuma ya Atletico Madrid kwa pointi 4.

Tangu atue Madrid, Benitez amekuwa hapendwi...

 

4 years ago

Bongo5

Ajali yamzuia Miss Universe TZ kushiriki mashindano ya kimataifa, nafasi yake yachukuliwa na mshindi wa 2

Kamati ya Miss Universe Tanzania imemteua mshindi wa pili wa Miss Universe 2014, Nale Boniface kwenda kuiwakilisha nchi katika mashindano ya kimataifa ya Miss Universe yatakayofanyika mwanzoni mwa mwezi wa kwa kwanza 2015 Miami, Marekani. Nale Boniface Hatua hii imechukuliwa baada ya mshindi husika Miss Universe Tanzania 2014, Carolyne Bernard kupata ajali na kuvunjika kidole […]

 

2 years ago

Malunde

Breaking News!! WAZIRI NAPE NNAUYE ATUMBULIWA NAFASI YAKE YACHUKULIWA NA HARRISON MWAKYEMBE

Rais Magufuli amefanya mabadiliko katika baraza la mawaziri

 

2 years ago

Malunde

RAIS MAGUFULI AKUBALI YAISHE MKUU WA WILAYA ALIYEJITUMBUA MWENYEWE...NAFASI YAKE KUJAZWA NA MWINGINE

Image result for magufuliRais Magufuli amemkubalia Gabriel Simon Mnyele kujiuzulu nafasi ya ukuu wa wilaya

 

1 year ago

MwanaHALISI

Rais Magufuli amtumbua Mkurugenzi

RAIS John Magufuli ametengua uteuzi wa mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa, Mohamed Maje kuanzia leo kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake. Anaripoti Dany Tibason … (endelea). Akitoa taarifa ya utenguzi huo mjini Dodoma, Katibu Mkuu wa Tamisemi, Alhaji Mussa Iyombe amesema kuwa Maje ameisababishia serikali hasara ikiwemo kushindwa hata kukusanya mapato ya serikali. Utenguzi ...

 

3 years ago

Bongo5

Rais Magufuli amtumbua Mkurugenzi wa Mkinga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga, Emmanuel Mkumbo. Uteuzi wa Mkurugenzi mpya atakayejaza nafasi hiyo utatangazwa hapo baadaye.

Rais-Magufuli

Mkurugenzi huyo aliyetumbuliwa kwa sasa anashikiliwa na polisi kwa kosa la kumtishia bastola askari wa kike wa usalama wa barabarani (Traffic). Soma taarifa hii kutoka Ikulu.

kutengua

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili...

 

2 years ago

Mwananchi

Rais Magufuli amtumbua Profesa Muhongo

Saa chache baada ya Rais John Magufuli  kumtaka Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ajitafakari ikibidi ajiuzulu, tayari Rais ametengua uteuzi wake.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani