Rais Magufuli apigilia msumari kwa wapiga dili nchini

RAIS John Magufuli ameendelea kupigilia msumari kwa watanzania na viongozi wasiopenda kujishughulisha na kuwajibika na kutegemea zaidi fedha za bure za umma.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Global Publishers

Rais Magufuli Apigilia Msumari Vita ya Makonda Dhidi ya Watumiaji na Wauzaji wa Dawa za Kulevya

Rais Magufuliakizungumza baada ya kuwaapisha Mkuu wa Majeshi, Kamishna wa Magereza, Mnadhimu Mkuu na Mabalozi.

DAR ES SALAAM: Siku chache baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kujitosa kwenye vita ya madawa ya kulevya kwa kuagiza wasanii, wafanyabiashara na askari  wanaodaiwa kuhusika na utumiaji na biashara ya madawa ya kulevya wajisalimishe kituo kikuu cha polisi kwa mahojiano, huku wengine wakiwa tayari wameshaanza kuchukuliwa hatua, Rais Magufuli amempongeza kwa hatua...

 

2 years ago

Mwananchi

Graca Machel apigilia msumari kauli ya Magufuli

Serikali imetakiwa kuongeza juhudi katika kukabiliana na wimbi la ongezeko la ndoa na mimba za utotoni linalokatisha ndoto za wasichana kielimu.

 

2 years ago

Mwananchi

Magufuli apigilia msumari ufungaji mashine za EFD vituo vya mafuta

Kwa maagizo haya, ni kama Rais John Magufuli amepigilia msumari wa moto kwenye kidonda cha wafanyabiashara wa mafuta wanaokwepa kufunga na kutumia mashine za kielektroniki za kutoa risiti (EFD) katika vituo vyao.

 

3 years ago

Bongo Movies

Ray Kigosi Apigilia Msumari Mwingine Kwa Batuli

 

ray677

Ray amesema kuwa, filamu hiyo itatoka kama ilivyopangwa licha ya tuhuma za Batuli, akijitetea kuwa, hawezi kushindwa kumlipa mtu mmoja na kufanikisha kuikamilisha kazi hiyo waliyoifanya miaka 3 iliyopita tayari kwa kuiingiza sokoni.

Ray pia akatolea ufafanuzi hisia zilizoanza kujengeka kuwa, wametengeneza ugomvi huo na Batuli ili kuipatia kiki kazi yao, kitu ambacho amekipinga kwa nguvu.

“ Sinema ya Tajiri Mfupi itatoka kama kawaida katika utaratibu wake jinsi ulivyopagwa, sababau hakuna...

 

1 year ago

Malunde

MAGUFULI AWAPONDA UVCCM....APIGILIA MSUMARI RUSHWA ILIYOMPELEKA MAHABUSU MWENYEKITI WA UVCCM


Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya wanachama wapya wa chama hicho.
****

RAIS John Magufuli amepigilia msumari kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Sadifa Juma Khamis akidaiwa kutoa rushwa akisema atashangaa kama atachaguliwa mwenyekiti anayewahonga fedha wamchague.
Sadifa ambaye pia ni mbunge wa Donge alikamatwa jana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru)...

 

2 years ago

Channelten

Maombi ya UVCCM Mtwara kwa Rais – Wapiga dili washughulikiwe

screen-shot-2016-12-12-at-3-31-50-pm

Umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi UVCCM mkoa wa Mtwara umemuomba mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli kuwashughulikia wanasiasa waliojaribu kujinufaisha na kutaka kukwamisha jitihada za mwekezaji Aliko Dangote kuwekeza nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Mtwara Nestory Chilumba amesema kitendo cha dangote kushusha magari 651 kwa awamu ya kwanza ajiri ya kiwanda chake kinadhihirisha kuwa mwekezaji huyo hana mpango wa...

 

4 years ago

Mwananchi

Warioba apigilia msumari escrow

Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema pamoja na kutoa maazimio manane kuhusu uchotwaji wa Sh306 bilioni katika Akaunti ya Tegeta Escrow, Bunge limefanya makosa ya kutozijumuisha Wizara ya Fedha na ile ya Viwanda na Biashara katika uchunguzi huo kwa kuwa nazo zinahusika.

 

3 years ago

Habarileo

Apigilia msumari watumishi hewa

MADUDU mengi zaidi kuhusu watumishi hewa nchini yamebainika katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa ambako mishahara kwa watumishi waliofariki na waliotoroka ya jumla ya Sh bilioni 2.7 imelipwa katika mwaka wa fedha 2014/15.

 

2 years ago

Michuzi

Makamba apigilia msumari pombe za viroba

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii

Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira , January Makamba amesema kuwa Tanzania ni nchi ambayo pombe inapatikana kirahisi.

Kauli hiyo inatokana na agizo la waziri mkuu juu ya kuzuia matumizi ya  pombe  za mifuko ya Plastiki kutokana na adhari za pombe katika jamii.Makamba ameyasema hayo leo wakati akitangaza juu ya uzuiaji wa viroba katika mifuko ya plastiki, amesema kuwa kuanzia Machi moja ni marufuku kwa  pombe za mifuko ya plastiki ni mwisho...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani