Rais Magufuli ateua mabalozi sita kuwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli, Alhamisi hii ameteua mabalozi sita kuwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali.

Katibu Mkuu kiongozi, Balozi John Kijazi amewataja Mabalozi walioteuliwa pamoja na vituo vyao vya kazi.

Hii taarifa yake:

BY: Emmy Mwaipopo

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Dewji Blog

Rais Magufuli ateua mabalozi watano kuiwakilisha Tanzania nchi mbalimbali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 19 Januari, 2017 amewateua Mabalozi watano kuiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali.

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imewataja Mabalozi walioteuliwa na vituo vyao vya kazi kama ifuatavyo;

Balozi Mbelwa Brighton Kairuki ameteuliwa kuiwakilisha Tanzania Beijing – China. Balozi George Kahema Madafa ameteuliwa kuiwakilisha Tanzania Rome – Italy. Balozi Emmanuel John Nchimbi...

 

2 years ago

Channelten

Rais Magufuli,leo amekutana na Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali duniani

mgfl

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo amekutana na Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali duniani ambapo pamoja na mambo mengine ametaka utekelezaji wa diplomasia ya uchumi utiliwe mkazo katika uwekezaji kwenye sekta ya viwanda.

Katika Mkutano huo uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Rais Magufuli aliyehutubia na kuongoza majadiliano juu ya masuala...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI SITA WA NCHI MBALIMBALI IKULU DAR ES SALAAM LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa Mhe. Laszlo Eduard Mathe Balozi wa Hungary nchini mwenye makazi yake jijini Nairobi Kenya leo Machi 23, 2017 Ikulu jijini Dar es salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa Mhe. Sidibe Fatoumata Kama, Balozi wa Guinea  nchini mwenye makazi yake jijini Addis Ababa, Ethiopia, leo Machi 23, 2017 Ikulu jijini Dar es salaam.Rais...

 

2 years ago

Dewji Blog

Rais Magufuli awaapisha Mabalozi 6 kuiwakilisha Tanzania nchi mbalimbali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 20 Januari, 2017 amewaapisha Mabalozi sita aliowateua jana kuiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali.

Hafla ya kuapishwa kwa Mabalozi hao imefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Mabalozi walioapishwa ni Mhe. Dkt. Emmanuel John Nchimbi – Balozi wa Tanzania nchini Brazil, Mhe. Dkt. James Alex Msekela – Balozi wa Tanzania Geneva – Umoja wa Mataifa, Mhe....

 

2 years ago

Habarileo

Rais Magufuli ateua mabalozi sita, mmoja kupangiwa kituo baadaye

Rais John Magufuli amewateua Mabalozi watano kuiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali.

 

2 years ago

Global Publishers

Rais Magufuli Apokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi wa Nchi Sita

Rais Magufuli apokea hati za utambulisho ya Balozi wa Saudi Arabia Mohamed Mansour Al Malek. Rais Magufuli apokea hati za utambulisho ya Balozi wa Morocco, Abdellah Benryane. Rais Magufuli apokea hati za utambulisho za Balozi wa Zambia, Benson Keith Chali. Rais Magufuli apokea hati za utambulisho wa  Balozi wa Cuba Lucas Dominingo Hermandes Polledo. Rais Dkt. Magufuli apokea hati za utambulisho za Balozi wa Iran, Mousa Farhang. Rais Dkt. Magufuli apokea hati za utambulisho wa Balozi wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani