RAIS MAGUFULI ATEUA MAJAJI 10 WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA

Rais Magufuli leo amefanya uteuzi wa Majaji 10 wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Naibu Mkuu wa Serikali, Naibu Mkurugenzi wa Mashitaka, Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali


Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: Rais Kikwete ateua Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania wapya 20

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, baada ya kushauriana na Tume ya Utumishi wa Mahakama, amewateua wafuatao kuwa Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzaniakuanzia tarehe 13 Agosti, 2014.


WATUMISHI WA MAHAKAMA


(i)                 Bw. Penterine Muliisa KENTE, ambaye kabla ya uteuzi alikuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani, Dar es Salaam.


(ii)               Bw. Benedict Bartholomew MWINGWA,ambaye kabla ya uteuzi alikuwa Msajili wa Mahakama Kuu, Dar es...

 

4 years ago

Habarileo

Rais ateua Majaji Mahakama Kuu

RAIS Jakaya Kikwete ameteua Majaji 20 wa Mahakama Kuu ya Tanzania kutoka miongoni mwa mawakili wa kujitegemea, watumishi wa vyuo vikuu, Mawakili wa Serikali na taasisi na watumishi wa Mahakama.

 

4 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE ATEUA MAJAJI WAWILI WA MAHAKAMA YA RUFAA TANZANIARais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateua Majaji wawili wa Mahakama Kuu ya Tanzania kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani kuanzia Jumamosi iliyopita, Aprili 24, 2015, taarifa iliyotolewa Dar es Salaam, jana Alhamisi, Aprili 30, 2015 na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) imesema.


Taarifa hiyo imewataja wajaji hao kuwa ni Jaji  Augustine Gherabast Mwarija na Jaji Stella Ester Augustine Mugasha, ambao wote wamekuwa Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania tokea...

 

2 years ago

Michuzi

Rais Magufuli ateua Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na pia ateua Majaji


 Katibu Mkuu kiongozi Balozi John Kijazi akitangaza uteuzi wa viongozi ya Tume ya Uchaguzi, Tume ya Maadili na Majaji wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 22, 2016

PICHA NA IKULU

 

4 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete ateua Majaji wawili wa Mahakama ya Rufaa

Ikulu-tz

Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateua Majaji wawili wa Mahakama Kuu ya Tanzania kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani kuanzia Jumamosi iliyopita, Aprili 24, 2015, taarifa iliyotolewa Dar es Salaam, jana, Alhamisi, Aprili 30, 2025 na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) imesema.

Taarifa hiyo imewataja wajaji hao kuwa ni Jaji  Augustine Gherabast Mwarija na Jaji Stella Ester Augustine Mugasha, ambao wote wamekuwa Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania tokea...

 

4 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete awaapisha Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania wapya 20 Ikulu Jijini Dar

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Panterine Muliis Kente kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 15, 2014

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Benedict Bartholomew Mwingwa  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 15, 2014.

Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Dkt Eliezer Mbuki  Feleshi kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika...

 

4 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AWAAPISHA MAJAJI WAPYA 20 WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA IKULU JIJINI DAR

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu pamoja na Majaji wa Mahakama ya Rufaa Tanzania na Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania wapya. Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Waziri Mkuu…

 

8 months ago

Malunde

RAIS MAGUFULI ATEUA MAJAJI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Jaji Ferdinand Leons Katipwa Wambali na Jaji Mwanaisha Athuman Kwariko kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani.
Kabla ya uteuzi huo Jaji Ferdinand Leons Katipwa Wambali alikuwa Jaji Kiongozi na Jaji Mwanaisha Athuman Kwariko alikuwa Jaji wa Mahakama Kuu. Uteuzi huu umeanza jana Juni mosi, 2018.
Aidha, Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu imesema tarehe ya kuapishwa kwa Majaji hao itatangazwa hapo baadaye.

 

4 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: JK ATEUA MAJAJI WAWILI WA MAHAKAMA YA RUFAA TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateua Majaji wawili wa Mahakama Kuu ya Tanzania kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani kuanzia Jumamosi iliyopita, Aprili 24, 2015, taarifa iliyotolewa Dar es Salaam, leo, Alhamisi, Aprili 30, 2025 na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) imesema.


Taarifa hiyo imewataja wajaji hao kuwa ni Jaji  Augustine Gherabast Mwarija na Jaji Stella Ester Augustine Mugasha, ambao wote wamekuwa Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania tokea...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani