Rais Magufuli ateua Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na pia ateua Majaji


 Katibu Mkuu kiongozi Balozi John Kijazi akitangaza uteuzi wa viongozi ya Tume ya Uchaguzi, Tume ya Maadili na Majaji wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 22, 2016

PICHA NA IKULU

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Rais Magufuli ateua wenyeviti wa tume ya taifa ya uchaguzi na majaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ameteua wenyeviti wa tume ya taifa ya uchaguzi na majaji.

Hii taarifa yake:


BY: EMMY MWAIPOPO

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

 

2 years ago

Zanzibar 24

Rais Magufuli ateua mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi (NEC)

Rais Magufuli leo amemteua Jaji Semistocles Kaijage kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuchukua nafasi ya Jaji Lubuva ambaye amestaafu na Hamid Mahamoud Hamid kuwa Makamu Mwenyekiti.

Jaji Semistocles atahudumu katika nafasi ya Uenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) kwa muda wa miaka mitano.

Mwenyekiti mpya wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Jaji Semistocles Kaijage.

Aidha Rais Magufuli amewateua Majaji wengine wanne kuwa Majaji wapya wa Mahakama ya Rufani.

 

The post Rais...

 

2 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI ATEUA MWENYEKITI MPYA BODI YA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA

Rais  Dk. MagufuliDar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli, leo tarehe 02 Oktoba, 2016 amemteua Laston Thomas Msongole kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Bima la Taifa (NIC).

Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu jijini Dar es Salaam, imesema  Laston Thomas Msongole anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Dk. Edmund Mndolwa ambaye amemaliza muda wake.

"Uteuzi wa Laston Thomas Msongole umeanza leo tarehe 02 Oktoba, 2016", imesema...

 

8 months ago

Malunde

RAIS MAGUFULI ATEUA MAJAJI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Jaji Ferdinand Leons Katipwa Wambali na Jaji Mwanaisha Athuman Kwariko kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani.
Kabla ya uteuzi huo Jaji Ferdinand Leons Katipwa Wambali alikuwa Jaji Kiongozi na Jaji Mwanaisha Athuman Kwariko alikuwa Jaji wa Mahakama Kuu. Uteuzi huu umeanza jana Juni mosi, 2018.
Aidha, Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu imesema tarehe ya kuapishwa kwa Majaji hao itatangazwa hapo baadaye.

 

2 years ago

MillardAyo

PICHA 9: Rais Magufuli alivyowaapisha Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Kamishna wa Maadili na Majaji wa Mahakama ya Rufani

unnamed-7

Leo December 23, 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amewaapisha viongozi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma na Majaji wa Mahakama ya Rufani. Walioapishwa ni Jaji Semistocles Simon Kaijage anayekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Hamid Mahmoud Hamid […]

The post PICHA 9: Rais Magufuli alivyowaapisha Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Kamishna wa Maadili na Majaji wa Mahakama ya Rufani...

 

9 months ago

Malunde

RAIS MAGUFULI ATEUA MAJAJI 10 WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA

Rais Magufuli leo amefanya uteuzi wa Majaji 10 wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Naibu Mkuu wa Serikali, Naibu Mkurugenzi wa Mashitaka, Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali


 

3 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI ATEUA JAJI WA RUFANI, MWENYEKITI WA NHIF NA MWENYEKITI WA DIT


Rais Magufuli Ateua Jaji Wa Rufani, Mwenyekiti NHIF Na Mwenyekiti DIT

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani