Rais Magufuli atuma salam za pole kufuatia kifo cha Dkt. Joel Bendera

The post Rais Magufuli atuma salam za pole kufuatia kifo cha Dkt. Joel Bendera appeared first on Zanzibar24.

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA DKT. TONIA KANDIERO

Dkt. Tonia Kandiero 
“Kwa mshituko na masikitiko makubwa nimepokea taarifa za kifo cha Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) katika Kanda ya Afrika Kusini Dkt. Tonia Kandiero aliyefariki dunia ghafla jana usiku tarehe 28 Juni, 2017 akiwa ofisini kwake huko Pretoria Afrika Kusini”
Hii ni kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli aliyoitoa leo tarehe 29 Juni, 2017 Ikulu Jijini Dar es Salaam muda mfupi baada ya kupokea taarifa za kifo cha Dkt....

 

3 years ago

Michuzi

RAIS TFF ATUMA SALAM ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA MAKAIDI

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Jamal Malinzi (Anayehojiwa na waandishi wa habari pichani)ametuma salamu za rambirambi kwa Rais wa klabu ya Simba, Evans Aveva kufuatia kifo cha aliyewahi kuwa kiongozi wa klabu hiyo Emmaneul Makaidi aliyefariki Dunia jana mkoani Lindi.Katika salam zake, Malinzi amewapa pole wafiwa, ndugu, jamaa, marafiki, wapenzi wa klabu ya Simba pamoja na wadau wa mpira wa miguu nchini, kufuatia kifo hicho cha kiongozi huyo.Marehemu Emmanuel Makaidi...

 

2 years ago

Ippmedia

Rais Dkt. Magufuli ametoa salaam za pole kufuatia kifo cha Mh. Samwel John Sitta.

Aliyewahi kuwa spika wa bunge Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samwel John Sitta amefariki dunia nchini Ujerumani alipokuwa akitibiwa baada ya kusumbuliwa na maradhi ya saratani ya tezi dume.

Day n Time: Jumatatu Saa 2:00 Usiku Station: ITV

 

11 months ago

Michuzi

TANZIA: ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MANYARA JOEL BENDERA AFARIKI DUNIA, RAIS DKT MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI

Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamiii hivi punde inaeleza kuwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Joel Bendera amefariki dunia leo katika hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amepelekwa kwa matibabu. 

 

4 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atuma salam za rambirambi kufuatia kifo cha Mwanahabari Maximilian Ngube

Marehemu Maximilian John Ngube enzi za uhai wake
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Waziri wa Habari Mheshimiwa Dkt.Fenella Mukangara kufuatia kifo cha Mpiga picha wa kituo cha television cha Mlimani, Ndugu Maximilian John kilichotokea alfajiri ya kuamkia leo tarehe 24 Mei,2014.
“Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Bwana Maximilian kilichotokana na maradhi ya Moyo, Sukari na Shinikizo la...

 

2 years ago

CCM Blog

RAIS DK MAGUFULI AOMBOLEZA KIFO CHA DK. MASABURI, ATUMA SALAM ZA RAMBIRAMBI

Dar es Salaam
Rais Dk. John Pombe Magufuli ameitumia salamu za rambirambi familia ya Meya wa zamani wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi, aliyefariki dunia jana, Oktoba 12, 2016, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Jijini Dar es Salaam.

Taarifa iliyotolewa  leo na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam, imesema, Katika salamu hizo Rais Dk. Magufuli amesema amepokea taarifa ya kifo cha Dk. Didas Masaburi kwa mshituko na masikitiko makubwa na kwamba anaungana na...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani