Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi kufuatia vifo vya watu 10 ajali ya basi na treni Kigoma


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 months ago

Malunde

RAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI VIFO VYA WATU 10 BASI KUGONGA TRENI KIGOMA


Rais Magufuli ametuma salamu za rambirambi kufuatia vifo vya watu 10 waliofariki baada ya basi la Kampuni ya Hamida kugonga treni ya mizigo mkoani Kigoma.

 

2 years ago

Michuzi

Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi kufuatia vifo vya ajali ya basi la BarcelonaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bw. Godfrey Zambi kufuatia vifo vya watu 11 vilivyosababishwa na ajali ya basi la kampuni ya Barcelona iliyotokea jana tarehe 17 Oktoba, 2016 katika eneo la Miteja Wilaya ya Kilwa Mkoani Lindi.
Basi hilo lenye namba T 101 CUU lililokuwa likisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Kijiji cha Mahuta katika Wilaya ya Newala Mkoani Lindi, lilipinduka baada ya gurudumu lake la kushoto...

 

5 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu,kufuatia vifo vya watu 11 katika ajali ya basi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mheshimiwa Paschal Mabiti,kuomboleza vifo vya watu 11 ambao wamepoteza maisha yao katika ajali ya basi iliyotokea mkoani humo Jumatatu, Aprili 21, 2014.
Katika salamu hizo, Rais Kikwete amesema kuwa ni jambo la kusikitisha  kuwa ajali zabarabarani zinaendelea kuchukua maisha ya watu wasiokuwa na hatia.
“Nimepokea kwa huzuni nyingi taarifa ya ajali hiyo ambayo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani