Rais Magufuli awapandisha vyeo Maafisa Wakuu wawili wa JWTZ kuwa Meja Jenerali

Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli amewapandisha vyeo Maafisa Wakuu wawili wa JWTZ kuwa Meja Jenerali kuanzia tarehe 03 Disemba 2016.

Maafisa Wakuu hao ni: Brigedia Jenerali George William Ingram ambaye ni Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Anga, na Brigedia Jenerali Michael Wambura Isamuhyo ambaye ni Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa.

Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Uhusiano Makao Makuu ya Jeshi, Upanga

S.L.P 9203, Dar es Salaam,...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI awapandisha vyeo Maafisa Wakuu wawili wa JWTZ kuwa Meja Jenerali

 Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli amewapandisha vyeo Maafisa Wakuu wawili wa JWTZ kuwa Meja Jenerali kuanzia tarehe 03 Disemba 2016. Maafisa Wakuu hao ni;Brigedia Jenerali George William Ingram ambaye ni Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Anga, na  Brigedia Jenerali Michael Wambura Isamuhyo ambaye ni Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa.

                                          Brigedia Jenerali George William Ingram
Mkuu wa Kamandi ya...

 

10 months ago

CCM Blog

AMIRIJESHI MKUU RAIS DK. MAGUFULI ATEUA MNADHIMU MKUU MPYA WA JWTZ, AWAPANDISHA VYEO MABRIGEDIA JENERALI KUMI, LEO

IKULU, DAR ES SALAAM
Amirijeshi Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Dk John Magufuli leo amemteua Meja Jenerali Yakub Hassan Mohammed kuwa Mnadhimu Mkuu mpya wa Jeshi la Ulinzi la wananchi wa Tanzania (JWTZ).

Taarifa iliyotolewa na Ikulu jijini Dar es Salaam, imesema, pamoja na uteuzi huo amempandisha cheo kutoka Meja Jenerali na Luteni Jenerali  na mteule huyo anachukua nafasi aliyokuwa nayo Luteni Jenerali Aloyce Mwakibolwa ambaye amestaafu.

Aidha, Rais Magufuli amewapandisha vyeo...

 

6 months ago

Malunde

RAIS MAGUFULI AWAPANDISHA VYEO MAAFISA WA JESHI LA MAGEREZA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli amewapandisha vyeo maafisa nne wa Jeshi la Magereza kutoka Naibu Kamishna wa Magereza (Deputy Commissioner of Prisons - DCP) hadi kuwa Kamishna wa Magereza (Commissioner of Prisons - CP).
Pia Dkt. Magufuli amewapandisha vyeo maafisa wengine watano katika Jeshi hilo kutoka Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza (Senior Assistant Commissioner of Prisons - SACP) hadi kuwa Naibu Kamishna wa Magereza (Deputy...

 

6 months ago

Zanzibar 24

Rais Magufuli awapandisha vyeo Maafisa wa nne wa Jeshi la Magereza

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. John Pombe Magufuli amewapandisha vyeo Maafisa wa nne wa Jeshi la Magereza kutoka Naibu Kamishna wa Magereza (Deputy Commissioner of Prisons – DCP) hadi kuwa Kamishna wa Magereza (Commissioner of Prisons – CP).

Soma taarifa kamili:

The post Rais Magufuli awapandisha vyeo Maafisa wa nne wa Jeshi la Magereza appeared first on Zanzibar24.

 

5 years ago

Tanzania Daima

JK awapandisha vyeo maofisa wa JWTZ

RAIS  Jakaya Kikwete amewapandisha cheo maofisa wakuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kutoka Kanali  na kuwa Brigedia Jenerali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani