Rais Magufuli awataka wapinzani kuondoa tofauti zao

 

Rais wa awamu ya Tano Dokta John Pombe Magufuli amevitaka vyama vya upinzani nchini kuondoa tofauti zao na badala yake washirikiane pamoja katika kuwatumikia watanzania ili kufanikisha azma ya kuwaletea wananchi maendeleo.

Kauli hiyo ameitoa mara baada ya kuapishwa rasmi na kuwa rais wa Jamhri ya muungano wa Tanzania awamu ya tano Katika Sherehe zilizofanyika JIjini Dar es Salaam.

Kushushwa kwa  Bendela ya Rais inaonesha kufikia ukomo kwa uongozi wa Serikali ya awamu ya nne na sasa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

StarTV

URAIS 2015: Dokta Magufuli awataka wanaCCM kuacha tofauti zao

Mgombea urais kupitia chama cha mapinduzi CCM Dokta John Magufuli amesema wanachama wa chama hicho hawana haja tena ya kutofautiana kauli baada ya hatua za kuwapata wagombe wa kupeperusha bendera za chama hicho kukamilika.

Dokta Magufuli amesema hatua iliyo mbele ya chama hicho kwa sasa ni kufanya kampeni zenye tija katika harakati za kuhakikisha CCM inaendelea kuwa chama tawala nchini.

 Kukutana na wazee na wanachama wa chama cha mapinduzi mkoa wa Dar es salaam ni tamaduni iliyojengeka...

 

2 years ago

Dewji Blog

Rais Magufuli awataka wakurugenzi wa halmashauri nchini kuondoa kero za wananchi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewataka Wakurugenzi Watendaji wa Halmshauri zote nchini kuondoa kero za wananchi na si kuwaongezea kero.

Hayo ameyasema leo kwenye hafla ya Kiapo cha Uadilifu wa Utumishi wa umma iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

“Anzisheni miradi inayotatua kero za wananchi na si kuwaongezea kero, kila eneo lina kero zake hivyo jitahidini kuziondoa,”alisema Rais Magufuli.

Amewataka Wakurugenzi hao kufanya kazi kwa bidii kwa...

 

1 year ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AWATAKA WAKUU WA WILAYA NA MIKOA KUONDOA UTITIRI WA KODI KATIKA MAZAO

Na Daudi Manongi - MAELEZO
Rais Dk. John amewataka Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri kuondoa utitiri wa kodi uliopo kwenye mazao ili wakulima waweze kunufaika kutokana na kujiongezea kipato.

Rais Magufuli ametoa agizo hilo leo wakati akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uiofanyika Wilaya ya Bukoba, akiwa katika ziara yake ya kikazi ya siku mbili aliyoainza jana mkoani Kagera.

“Nawaagiza Wakuu wa Mikoa, Wilaya pamoja na Wakurugenzi wa Halmashauri kupitia upya kodi...

 

5 months ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AWATAKA VIONGOZI WA HALIMASHAURI YA WILAYA YA NYASA KUMALIZA TOFAUTI ZAO

Waziri mkuu wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania KASSIM MAJALIWA, amewaagiza viongozi wa halimashauri ya NYASA akiwemo mbunge wa jimbo hilo, mkuu wa wilaya na mkurugenzi, kumaliza tofauti zao na madala yake wawaletee wananchi maendeleo. Rai hiyo ameitoa wakati akizungumza na watumishi na wakuu wa idara mbalimbali wa halimashauri ya wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma.

 

3 years ago

Michuzi

KINGUNGE AWATAKA WANACCM KUSHIKAMANA NA KUZIKA TOFAUTI ZAO ILI KUPATA USHINDI WA KISHINDO UCHAGUZI MKUU 2015

Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kingunge Ngombale,Mwilu (kushoto) akizungumza katika mkutano  na waandishi wa habari Dar es Salaam leo ,Kuhusu mkutano mkuu wa  chama hicho uliofayika Dodoma hivi karibuni na mchakato wa kumpata mgombea Urais na  changamoto zilizojitokeza. Mwanasiasa Mkongwe nchini,Kingunge Ngombale Mwilu akisisitiza jambo mbele ya Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali (hawapo pichani) mapema leo,nyumbani kwake makumbusho,jijini Dar.PICHA NA MICHUZI JR.. Na...

 

11 months ago

Mwananchi

UCHAMBUZI: Uwekezaji unahitajika kuondoa tofauti na maskini

Takwimu zinaonyesha kuwa watoto wanaokua katika umaskini, wana uwezekano wa kufariki kabla ya kufikisha miakmia tano mara mbili zaidi, wakilinganishwa na walio katika mazingira bora zaidi yao.

 

11 months ago

Mwananchi

Rais Magufuli amtofautisha Zitto na wapinzani wengine

Rais Magufuli amewasili kwenye chanzo cha mradi mkubwa wa maji na amezindua mradi utakaozalisha  lita 42 milioni kwa siku utakaomalizika   Novemba 30, mwaka huu.

 

2 years ago

Mwananchi

MAONI YA MHARIRI: Tutumie Ramadhan kuondoa tofauti za kisiasa

Waumini wa dini ya Kiislamu hivi sasa wanaendelea na mfungo wa mwezi Mutukufu wa Ramadhan ambao huwachukua takriban siku 30 kutegemeana na kuandama kwa mwezi.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Rais Dk. Ali Mohamed Shein awataka viongozi wa Wizara kuweka uwiano wa majukumu ya ofisi zao Unguja na Pemba

VIKAO vya kujadili mipango ya Utelekezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015- 2020 viliendelea tena jana Ikulu mjini Zanzibar chini ya Uenyekiti wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein.

Katika vikao hivyo vya jana Rais alikutana, kwa nyakati tofauti, na viongozi wa Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto, Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi pamoja na Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji.

Akivifunga vikao...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani