Rais Magufuli azindua Daraja la Kigamboni

Screen Shot 2016-04-19 at 5.08.07 PM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta JOHN POMBE MAGUFULI, amezindua daraja  refu la kisasa la Kigamboni, lenye urefu wa mita 680 na barabara unganishi zenye urefu wa kilometa mbili na nusu, daraja linalotajwa kuwa la kipekee katika ukanda wa Afrika Mashariki na kati, ambalolimegharimu shilingi bilioni 254.

Katika tukio hilo Rais amewataka wakazi wa jiji la Dar es Salaam hususani wa Kigamboni kulitunza kwa hali na mali daraja hilo ili liweze kuchochea  uchumi wa mwananchi mmoja...

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA RASMI DARAJA LA KIGAMBONI, ALIBATIZA JINA LA DARAJA LA NYERERE. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akikata utepe huku viongozi wengine wakiushikilia kuashiria uzinduzi rasmi wa Daraja la Kigamboni katika wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam leo Aprili 19, 2016.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipata picha ya kumbukumbu viongozi wengine baada ya  uzinduzi rasmi wa Daraja la Kigamboni katika wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam leo Aprili 19, 2016. Rais wa...

 

2 years ago

Global Publishers

Rais Magufuli Azindua Rasmi Daraja la Kigamboni

k2Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Joseph Magufuli akikata utepe huku viongozi wengine wakiushikilia kuashiria uzinduzi rasmi wa Daraja la Kigamboni katika wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam leo Aprili 19, 2016. 

k6Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Joseph Magufuli na viongozi wengine wakitembea juu ya Daraja la Kigamboni baada ya kulizindua katika wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam leo Aprili 19, 2016.

  k3Rais wa Jamhuri ya...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA RASMI DARAJA LA KIGAMBONI LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniam Dkt. John Pombe Magufuli, akitembea kwenye Daraja la Kigamboni mara baada ya kulizindua mapema leo, Jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniam Dkt. John Pombe Magufuli, akiangalia mandhari ya daraja la Kigamboni mara ya kulizindua mapema leo, Jijini Dar es Salaam.Umati wa wananchi wa Mji wa Kigamboni uliofika kushuhudia uzinduzi wa Daraja la Kigamboni.

 

2 years ago

Bongo5

Picha: Magufuli azindua daraja la Kigamboni, alibatiza jina la ‘Daraja la Nyerere’

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Jumanne hii amezindua daraja Kigamboni na kulibatiza jina la Daraja la Nyerere.
_K0A5734
Magufuli akipongezana na baadhi ya viongozi baada ya uzinduzi

Akizungumza na wananchi waliyojitokeza katika uzinduzi huo, Magufuli amewata wananchi kulitumia kwa makini daraja hilo, ili kukuza uchumi wao.

“Hili daraja itawanufaisha watu wengi sana, huu ni wakati wa mji wa Kigamboni kujitanua kibiashara zaidi, wafanyabiashara wadogo wadogo, Mama...

 

2 years ago

CCM Blog

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA DARAJA LA KIGAMBONI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 19 Aprili, 2016 amefungua rasmi Daraja la Kigamboni linalounganisha usafiri wa barabara kati Kigamboni na Kurasini Jiji la Dar es salaam na amependekeza Daraja hilo liitwe Daraja la Nyerere (Nyerere Bridge). RAIS MAGUFULI AFUNGUA DARAJA LA KIGAMBONI

 Rais John Magufuli akizungumza na wananchi  na viongozi  wakati wa uzinduzi wa Daraja la Kigamboni Jijini Dar es Salaam leo. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
 Wanahabari...

 

2 years ago

Global Publishers

Rais Magufuli awasili Daraja la Kigamboni kwa uzinduzi

Tanzania's President elect John Pombe Magufuli addresses members of the ruling Chama Cha Mapinduzi Party (CCM) at the party's sub-head office on Lumumba road in Dar es Salaam, October 30, 2015. Tanzania's ruling party candidate, John Magufuli, was declared winner on Thursday of a presidential election, after the national electoral body dismissed opposition complaints about the process and a demand for a recount. The election has been the most hotly contested race in the more than half a century of rule by the Chama Cha Mapinduzi Party, which fielded Magufuli, 56, a minister for public works. REUTERS/Sadi Said

Rais Dk. Magufuli.

RAIS Dk. John Pombe Magufuli amewasili katika daraja la kisasa la Kigamboni tayari kwa uzinduzi wa daraja hilo lenye urefu wa mita 680.

Daraja hilo lililogharimu shilingi bilioni 214.6 linaunganisha eneo la Kigamboni na Kurasini wilayani Temeke jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa taarifa za wakandarasi wa mradi huo, Daraja hilo litakuwa na barabara sita, tatu kila upande, na pia njia za waenda kwa miguu (Pedestrians).

2

Hali pametengwa milango kwa ajili ya matumizi ya...

 

2 years ago

Dewji Blog

Rais Magufuli amelipendekeza Daraja la Kigamboni lipewe jina la Nyerere

Rais wa Tanzania John Magufuli amependekeza daraja mpya la Kigamboni lipewe jina la mwanzilishi wa taifa hilo Mwalimu Julius Nyerere. Akiongea muda mfupi kabla ya kuzindua rasmi daraja linafaa kupewa jina la Mwalimu Julius Nyerere kutokana na mchango wake kwa nchi hiyo. Daraja la Kigamboni lilianza kutumika tarehe 16 Aprili, 2016 kwa kuanza na majaribio ambapo wananchai walianza kupita bure huku likiwa lina urefu wa mita 680 na barabara unganishi upande wa Kurasini na Kigamboni zenye urefu...

 

2 years ago

MillardAyo

AUDIO: Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa uzinduzi wa daraja la Kigamboni

3X6A4034

April 19 2016 ni siku ya uzinduzi wa Daraja la Kigamboni ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amelizindua rasmi  daraja la Kigamboni na amependekeza liitwe jina la Mwalimu Nyerere na si jina lake kama wengine walivyopendekeza. Hii ni hotuba ya Rais Magufuli wakati wa uzinduzi wa daraja la Kigamboni. Unataka kutumiwa […]

The post AUDIO: Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa uzinduzi wa daraja la Kigamboni appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

Michuzi

Rais Magufuli afungua daraja la Kigamboni na amsimamisha kazi Wilson Kabwe.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akikata utepe huku viongozi wengine wakiushikilia kuashiria uzinduzi rasmi wa Daraja la Kigamboni katika wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam leo Aprili 19, 2016PICHA NA IKULU. Rais Dkt John Magufuli amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Jiji la Dar es salaam, Willison Kabwe wakati akizindua daraja la Kigamboni leo baada ya Mkuu wa Mkoa huo, Paul Makonda kufichua maovu yake juu ya kuongeza mikataba ya uzabuni kwa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani