Rais Magufuli kafanya Uteuzi Mwingine Leo

1 2016-07-07-PHOTO-00004534MS

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

Rais Magufuli kafanya uteuzi mwingine leo May 23 2016

magufuli 1

May 23 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi wawili wa serikali, taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi leo imeeleza kuwa Rais wa Magufuli amemteua Gerson J. Mdemu kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali.  Kabla ya Uteuzi huo,  Gerson J. Mdemu alikuwa Karani wa Baraza […]

The post Rais Magufuli kafanya uteuzi mwingine leo May 23 2016 appeared first on MillardAyo.Com.

 

3 years ago

MillardAyo

Rais Magufuli kafanya uteuzi mwingine leo May 25 2016..

magufuli-ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,. John Pombe Magufuli amemteua Waziri Mkuu Mstaafu Mh.Mizego Pinda kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT). Mheshimiwa Mizego Pinda anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Dkt.Asha-Rose Mtengeti Migiro ambaye ameteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza. Taarifa iliyotolewa leo Mei 25, 2016 na katibu mkuu […]

The post Rais Magufuli kafanya uteuzi mwingine leo May 25 2016.. appeared first on MillardAyo.Com.

 

3 years ago

MillardAyo

Rais Magufuli kafanya uteuzi mwingine leo April 25 2016

MAG

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli leo tarehe 25 April 2016 amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa 26 ya Tanzania Bara. Taarifa iliyotolewa leo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa kati ya Makatibu tawala hao 10 ni wapya, 2 wamebadilishiwa vituo vya kazi na 13 wamebakisha katika vituo […]

The post Rais Magufuli kafanya uteuzi mwingine leo April 25 2016 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

Rais Magufuli kafanya uteuzi mwingine leo july 17 2016

guuuu

July 17 2016 headline kutoka Ikulu Dar es salaam ni pamoja na hii Rais John Pombe Magufuli kumteua Profesa Longinus Rutasitara kuwa makamu mwenyekiti wa bodi ya mamlaka ya usafiri wa anga (TCAA), Rutasitara anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Dk. Nyamajeej Weggoro ambaye muda wake umemalizika. Pia Rais Magufuli amempandisha cheo kamishna msaidizi wa Polisi […]

The post Rais Magufuli kafanya uteuzi mwingine leo july 17 2016 appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

Rais Magufuli kafanya uteuzi mwingine leo September 23 2016

jpm

Kufuatia hatua ya Serikali kununua hisa zote za Bharti Airtel ambaye alikuwa mbia mwenza wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) na hivyo Serikali kumiliki hisa za Kampuni hiyo kwa asilimia 100, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amemteua Waziri Waziri Kindamba kuwa Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL. Waziri Waziri […]

The post Rais Magufuli kafanya uteuzi mwingine leo September 23 2016 appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

Waziri wa Rais Magufuli kafanya uteuzi mpya kwenye Wizara yake leo Feb 19 2016

mbaaaaaaaaaaa

#MillardAyoUPDATES Waziri Mbarawa amemteua Mhandisi Manase Lomayani Le-Kujan kuwa Kaimu Mtendaji Mkuu wa TEMESA kuanzia Feb 18 #UTEUZI — millard ayo (@millardayo) February 19, 2016 #MillardAyoUPDATES Kabla ya uteuzi wake Mhandisi Manase Lomayani Le-Kujan alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Ufundi na Ushauri #UTEUZI — millard ayo (@millardayo) February 19, 2016 #MillardAyoUPDATES Uteuzi huo […]

The post Waziri wa Rais Magufuli kafanya uteuzi mpya kwenye Wizara yake leo Feb 19 2016...

 

3 years ago

Channelten

3 years ago

Channelten

3 years ago

Channelten

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani