RAIS MAGUFULI KUFUNGUA NA KUZINDUA MIRADI TISA YA BARABARA NA UWANJA WA NDEGE

 

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 months ago

Malunde

RAIS MAGUFULI AMEANZA ZIARA MKOANI TABORA NA KUZINDUA MIRADI YA BARABARA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli jana tarehe 23 Julai, 2017 ameweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Nguruka uliopo katika Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma na kufungua miradi miwili ya barabara za Kaliua – Kazilambwa na barabara ya Tabora – Ndono – Urambo.
Mradi wa Maji wa Nguruka ambao utakamilika tarehe 31 Desemba, 2017 utagharimu Shilingi Bilioni 2.87 na ni miongoni mwa miradi 1,810 ya maji inayotekelezwa na Serikali kwa kutumia fedha za mfuko wa maji...

 

9 months ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AANZA ZIARA MKOANI TABORA NA KUZINDUA MIRADI YA BARABARA

  Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akikata utepe kuashiria Ufunguzi wa Barabara ya Kariua -Kazirambwa yenye urefu wa kilometa 56 iliyojengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Tabora Mhe Rais yupo mkoani humo kwa  ziara ya kiserikali Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Mke wake Mama Janeth Magufuli na Mkuu wa Mkoa wa Tabora  Agrey Mwanri wakiondoa kitambaa kuashiria Ufunguzi wa Barabara ya Tabora Ndono -...

 

1 year ago

BBCSwahili

Rais Magufuli kuzindua barabara Nairobi

Rais wa Tanzania John Magufuli anatarajiwa kuanza ziara yake ya kikazi katika nchi jirani ya Kenya leo ambapo kando na kufanya mazungumzo na Rais Kenyatta atazindua pia barabara.

 

6 months ago

Channelten

Ujio wa Rais Magufuli Mwanza, Atarajiwa kuzindua miradi ya maendeleo

RAIS MZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli, October 30 mwaka huu anatarajiwa kuwasili Jijini Mwanza kwa ajili ya ziara ya siku mbili, ambapo pamoja na mambo mengine atazindua miradi mbalimbali ya maendeleo.

Akitoa taarifa ya ujio wa Rais Dk. Magufuli, mkuu wa mkoa wa Mwanza Mwanza John Mongela, amesema baada ya Rais kuwasili atazindua daraja la kisasa la kisasa la watembea kwa miguu la Furahisha na kufungua kiwanda cha vinywaji baridi cha Sayona kilichopo...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI KUZINDUA NDEGE MPYA KESHO.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kesho anatarajiwa kuzindua ndege mbili mpya aina ya Bombardier Q 400 zilizonunuliwa na Serikali hivi karibuni.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi) Dkt. Leornard Chamuriho amesema maandalizi yote kwa ajili ya uzinduzi wa ndege hizo yamekamilika na uzinduzi huo utafanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Kesho kuanzia saa mbili asubuhi.
“Tunawaomba wanahabari na...

 

2 years ago

Mtanzania

Rais John Magufuli kuzindua ndege mpya kesho

Rais Dk. John Magufuli

Rais Dk. John Magufuli

Rais John Magufuli kesho atazindua ndege 2 zilizonunuliwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuhudumia wananchi katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Teminal1).

Ndege hizo aina ya Dash 8 Q400 zenye uwezo wa kubeba abiria 76, zimetengenezwa na kiwanda cha Bombadier nchini Canada.

Pamoja na mambo mengne, sifa za ndege hizi aina ya BOMBARDIER DASH8 Q400 ni  kuwa na Urefu: (Length) mita 32.6, Kimo: (Height) futi 6.40,  Upana: (Width) futi...

 

1 year ago

CCM Blog

RAIS DK MAGUFULI AENDA MKOANI SIMIYU KUZINDUA BARABARA YA BARIADI-LAMADI LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Kisesa mkoani Mwanza wakati akiwa njiani kuelekea mkoani Simiyu kwa ajili ya ufunguzi wa barabara ya Bariadi-Lamadi.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli mara baada ya kushuka kwenye kivuko cha Mv Misungwi wakati akitokea Chato mkoani Geita. PICHA NA IKULU

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani