Rais Magufuli kupeleka walimu wa Kiswahili Rwanda

Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amepokea barua yenye ujumbe kutoka kwa Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame, iliyowasilishwa kwake na Mjumbe Maalum ambaye ni Waziri wa Elimu wa Rwanda Dkt. Musafiri Papias Malimba.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Dkt. Musafiri Papias, Waziri wa Elimu wa Rwanda na Mjumbe maalumu wa Rais Paul Kagame alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam, Wengine ni Balozi wa Rwanda nchini Mhe. Eugene Kayihura na Afisa Mwandamizi wa Ubalozi Bw. Issa Mugabutsinze

Rais amepokea barua hiyo, Alhamisi Ikulu, kutoka kwa mjumbe maalum akiwa ni waziri wa Elimu Rwanda Dkt Malimba, aliiwasilisha kwa Rais Magufuli.

Taarifa ya Ikulu imeeleza kuwa pamoja na kupokea barua hiyo, Mheshimiwa Rais Magufuli na Dkt Malimba wamezungumzia masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na Rwanda ikiwemo katika sekta ya elimu hususan maendeleo ya sayansi na teknolojia.

Aidha, Mhe. Rais Magufuli ameipongeza Rwanda kwa kuamua lugha ya Kiswahili ianze kufundishwa katika shule zake na ameahidi kuwa Tanzania ipo tayari kutoa walimu wa kwenda kufundisha lugha hiyo.

Na Emmy Mwaipopo

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Malunde

TANZANIA YAKUBALI KUPELEKA WALIMU WA SOMO LA KISWAHILI RWANDA

Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli amepokea barua yenye ujumbe wa Rais wa Jamhuri wa Rwanda Mhe. Paul Kagame iliyowasilishwa kwake na Mjumbe Maalum ambaye ni Waziri wa Elimu wa Rwanda Dkt. Musafiri Papias Malimba.

Pamoja na kupokea barua hiyo, Mhe. Rais Magufuli na Dkt. Musafiri Papias Malimba wamezungumzia masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na Rwanda ikiwemo katika sekta ya elimu hususani maendeleo ya sayansi na teknolojia.

Aidha, Mhe. Rais Magufuli ameipongeza Rwanda kwa...

 

1 year ago

Zanzibar 24

JPM kupelekwa walimu wa Kiswahili Rwanda

Rais Dkt. John Magufuli amepokea barua yenye ujumbe kutoka kwa Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame, iliyowasilishwa kwake na Mjumbe Maalum ambaye ni Waziri wa Elimu wa Rwanda Dkt. Musafiri Papias Malimba.

Barua hiyo ambayo imepokelewa Alhamisi hii Ikulu, kutoka kwa mjumbe maalum akiwa ni waziri wa Elimu Rwanda Dkt Malimba, aliiwasilisha kwa Rais Magufuli.

Taarifa ya Ikulu imeeleza kuwa pamoja na kupokea barua hiyo, Mheshimiwa Rais Magufuli na Dkt Malimba wamezungumzia masuala mbalimbali ya...

 

1 year ago

Michuzi

TANESCO YAANZA MCHAKATO WA KUPELEKA UMEME KIWANDA CHA BAKHRESSA KAMA ILIVYOAGIZWA NA RAIS MAGUFULI.

Na: Frank Shija & Daud Manongi, MAELEZO.
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limeanza kutekeleza agizo la Rais Dkt. John Pombe Magufu la kufikisha umeme kwenye kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Product kilichopo Mwandege mkoani Pwani.
Akizungumza na mwandishi wa habari hizi Kaimu Meneja Uhusiano wa Tanesco Makao Makuu, Leila Muhaji amesema kuwa agizo hilo limeshaanza kutekelezwa katika hatua mbalimbali na kuahidi kuwa litakamilika kwa wakati.
Muhaji amaesema kuwa agizo...

 

2 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI ZA RAIS MAGUFULI NA RAIS KAGAME WAKIWA NCHINI RWANDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amewashika mikono Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB Bi Tonia Kandiero, pamoja na Balozi wa Japan Masaharu Yoshida pamoja na Rais wa Rwanda Paul Kagame wakipita kwenye Daraja la Rusumo mara baada ya ufunguzi.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Rwanda Paul Kagame wakiwasili kwenye ardhi ya nchi ya Rwanda na kulakiwa na kikundi cha ngoma.Rais wa Jamhuri ya...

 

2 years ago

Channelten

PICHA : Rais Magufuli na Rais wa Rwanda Paul Kagame wazindua daraja la Kimataifa

20160406052341 20160406052339

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli pamoja na Rais wa Rwanda Paul Kagame wamezindua daraja la Kimataifa la Rusumo nchini Rwanda.

2820c6bc-0186-4338-88b7-53bf1ea0daed 6eb9e665-98d9-483d-8a7f-87c16e94c544

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Rais Magufuli alivyotua Dar kwa ndege ya Rais akitokea Rwanda

Rais

President John Pombe Magufuli wa Tanzania alikwenda kwenye nchi ya Rwanda kwa ziara ya siku mbili kuanzia April 6 2016 ambapo alimaliza ziara yake na kurudi nyumbani Tanzania April 7 2016, kwenye hii video hapa chini inamuonyesha alivyotua kwenye uwanja wa ndege Dar es salaam kwa ndege ya Rais ambayo ilimfata Rwanda alikokwenda kwa gari […]

The post VIDEO: Rais Magufuli alivyotua Dar kwa ndege ya Rais akitokea Rwanda appeared first on TZA_MillardAyo.

 

8 months ago

Malunde

RAIS MAGUFULI AMPONGEZA PAUL KAGAME KUCHAGULIWA TENA KUWA RAIS WA RWANDA

Rais wa Rwanda Paul Kagame ametangazwa mshindi wa Urais wa nchi hiyo baada ya kushinda katika uchaguzi Mkuu uliofanyika August 4, 2017 na kumrudisha madarakani kwa muhula wa tatu.

Baada ya ushindi huo Rais wa Tanzania John Magufuli ametumia ukurasa wake twitter kumtumia salamu za pongeni Rais Kagame.
”Nakupongeza Mhe. Paul Kagame kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Rwanda kwa kipindi kingine. Kwa niaba ya Watanzania wote nakutakia mafanikio mema.
"Tutaendeleza na kukuza zaidi ushirikiano na uhusiano...

 

2 years ago

MillardAyo

Zawadi Rais Kagame aliyompa Rais Magufuli baada ya kufika kijijini kwake Rwanda

Kigali 2

Baada ya Rais Magufuli kufanya uzinduzi wa kituo cha pamoja cha maswala ya Uhamiaji kitachokua kina Maafisa wa uhamiaji wa Tanzania na Rwanda kwa pamoja (jengo la pamoja litalofanya kazi za uhamiaji kwa nchi hizi mbili), na kuzindua daraja la kimataifa vyote hivyo vikiwa mpakani mwa Tanzania na Rwanda, alielekea Rwanda kuendelea na ziara yake. […]

The post Zawadi Rais Kagame aliyompa Rais Magufuli baada ya kufika kijijini kwake Rwanda appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani