RAIS MAGUFULI NA MUSEVENI WALAANI MAHAKAMA YA KIMATAIFA YA MAKOSA YA JINAI (ICC) KUANZA KUICHUNGUZA BURUNDI


Rais John Magufuli na Rais wa Uganda Yoweri Museveni wamelaani uamuzi uliotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) wa kumuagiza Mwendesha Mashitaka wa Mahakama hiyo kuanzisha uchunguzi dhidi ya Burundi.
Marais hao walitoa kauli za kulaani uamuzi huo wakati wakiagana katika mji wa Masaka baada ya Rais Magufuli kukamilisha ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Uganda na kurejea nyumbani.
Baada ya kuagana Rais Magufuli alisindikizwa na Makamu wa Rais wa Uganda Edward Kiwanuka...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

CCM Blog

RAIS WA MAHAKAMA YA KIMATAIFA YA MAKOSA YA JINAI (ICC) AISHUKURU TANZANIA

Balozi Tuvako Manongi na Rais wa ICC  Jaji Gumendi baada ya kumaliza  mazungumzo yao
Na  Mwandishi Maalum, New  York
Rais wa  Mahakama ya   Kimataifa ya  Makosa ya Jinai ( ICC) Jaji Slivia Fernandez de  Gumendi ya Ijumaa wiki hii amekutana na kufanya  mazungumzo na  Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Matiafa,  Balozi Tuvako Manongi.

Katika  Mazungumzo  hayo baina ya   Jaji  Gumendi na  Balozi  Manongi  yaliyofanyika katika Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania,   Rais wa ICC...

 

2 years ago

Michuzi

Rais wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai ( ICC) Jaji Slivia Fernandez de Gumend aishukuru Tanzania

Na  Mwandishi Maalum, New  York

Rais wa  Mahakama ya   Kimataifa ya  Makosa ya Jinai ( ICC) Jaji Slivia Fernandez de  Gumendi,  jana  (Ijumaa),  amekutana na kufanya  mazungumzo na  Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Matiafa,  Balozi Tuvako Manongi

Katika  Mazungumzo  hayo baina ya   Jaji  Gumendi na  Balozi  Manongi  yaliyofanyika katika Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania,   Rais wa ICC aliishukuru Tanzania kwa hotuba yake   iliyotolewa na Balozi  siku ya Jumatatu wakati Baraza...

 

2 years ago

MillardAyo

Burundi imejiondoa Mahakama ya makosa ya jinai ICC, Bado wana kesi hiiā€¦.

THE HAGUE, NETHERLANDS - JULY 23: View of the International Criminal Court as Dutch prosecuters consider a war crimes investigation of the Malaysia Airlines crash July 23, 2014 in The Hague, The Netherlands. Malaysia Airlines flight MH17 was travelling from Amsterdam to Kuala Lumpur when it crashed killing all 298 on board including 80 children. The aircraft was allegedly shot down by a missile and investigations continue over the perpetrators of the attack. (Photo by Michel Porro/Getty Images)

Wiki hii nchi ya Burundi inazimiliki headlines za kutangaza kuwa bunge la nchi hiyo limepiga kura ya kujiondoa uanachama wake kwenye mahakama ya makosa ya jinai duniani ICC, Ripoti mpya kutoka mahakama hiyo zimesema kuwa Burundi imefanya haraka mno uamuzi huo, wakati tayari ina kesi ya kutumia majeshi yake kama chombo cha ukandamizaji. Ikumbukwe kuwa baraza la […]

The post Burundi imejiondoa Mahakama ya makosa ya jinai ICC, Bado wana kesi hii…. appeared first on...

 

4 years ago

Michuzi

TANZANIA YAISHAURI MAHAKAMA YA KIMATAIFA YA MAKOSA YA JINAI (ICC) KUBORESHA UHUSIANO WAKE NA BARA LA AFRIKA

 Na Mwandishi Maalum, New York Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imesema, mafanikio ya Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) yatategemea uimarishishwaji wa ushirikiano kati ya Makahama hiyo na Afrika. Na kwa sababu hiyo, Tanzania imeshauri kuwa Rais Mpya wa Mkutano wa Nchi wanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai hana budi kuhakikisha kuwa moja ya vipaumbele vyake vijielekeze katika kuimarisha uhusiano wa Makahama hiyo na Afrika.  Ushauri huo umetolewa...

 

2 years ago

VOASwahili

Umoja wa Mataifa yaiomba ICC kuchunguza makosa ya jinai Burundi

Baraza la Umoja wa Mataifa la haki za binadamu linaomba mahakama ya makosa ya jinai (ICC ) kuanzisha uchunguzi dhidi ya watuhumiwa wa makosa ya jinai yaliyofanyika nchini Burundi kufuatia mzozo wa kisiasa ulioibuka Aprili 2015.

 

2 years ago

MillardAyo

Ilichokisema Mahakama ya Makosa ya Jinai ICC kuhusu maamuzi ya Afrika Kusini

2013_0

Baada ya kupata taarifa kuhusu nchi ya Afrika Kusini kuwasilisha barua yake Umoja wa Mataifa juu ya kujiondoa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC, Mahakama hiyo imeziomba nchi za Afrika Kusini na Burundi kufikiria upya uamuzi wao wa kuondoka katika mahakama hiyo iliyoundwa kwa lengo la shughulikia kesi za uhalifu mkubwa zaidi […]

The post Ilichokisema Mahakama ya Makosa ya Jinai ICC kuhusu maamuzi ya Afrika Kusini appeared first on millardayo.com.

 

1 year ago

RFI

Rais wa Uganda alaani uamuzi wa ICC kuichunguza Burundi

Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni amelaani uamuzi uliotolewa na Mahakama ya Kimataifa uhalifu wa kivita ICC ambayo imemwagiza mwendesha mashtaka wa mahakama hiyo kuanzisha uchunguzi dhidi ya mgogoro wa Burundi.

 

4 years ago

BBCSwahili

ICC: IS imetenda makosa ya jinai

Kiongozi wa Mashtaka wa ICC amesema kuwa ISIS imetekeleza uhalifu wa hali na ukatili mkubwa nchini Syria na Iraq

 

1 year ago

RFI

ICC Kuichunguza Burundi licha ya kutokuwa mwanachama

Leo katika makala haya tunaangazia hatua ya mahakama ya ICC kumtaka mwendesha mashata wake mkuu Fatou Bensouda kuichunguza Burundi licha ya kwamba Burudndi si mwanachama tena wa ICC, Karibu

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani