Rais Magufuli na TUCTA wakubaliana haya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewahakikishia viongzoi wa shirikisho la vyama vya wafanyakazi (TUCTA) kuwa serikali ya awamu ya tano itaendelea kuimarisha zaidi ushirikiano kati yake na wafanyakazi kwa manufaa ya Taifa.

Rais Magufuli amefanya mazungumzo hayo, Alhamisi hii Ikulu jijini Dar es salaam, sambamba na hilo amesema kuwa pamoja na kuimarisha ushirikiano huo serikali iko tayari kupokea ushauri na maoni yatakayotolewa na vyama vya wafanyakazi wenye...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

Rais Magufuli na Rais Lungu wakubaliana kufufua TAZARA na TAZAMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu leo tarehe 28 Novemba, 2016 wamekubaliana kuchukua hatua za haraka na madhubuti kuboresha utendaji kazi wa reli ya TAZARA na bomba la mafuta la TAZAMA ili miradi hiyo miwili ilete manufaa yaliyokusudiwa kwa wananchi Tanzania na Zambia.
Marais hao wametangaza kuchukua hatua hizo Ikulu Jijini Dar es Salaam katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika muda mfupi baada...

 

1 year ago

Dewji Blog

Rais Magufuli na Rais Museveni wakubaliana kutosaini mkataba wa EPA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Jamhuri ya Uganda Yoweri Museveni kwa pamoja wamekubaliana kutosaini mkataba wa mahusiano ya kiuchumi na kibiashara kati ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki na Ulaya (EPA).

Makubaliano hayo yamefanyika leo Ikulu, Jijini Dar es Salaam ambapo  Rais Yoweri Museveni yuko nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku mbili kuanzia tarehe 25 – 26  Februari, 2017.

Akiongea na waandishi wa habari Rais Magufuli amesema kuwa...

 

4 months ago

Zanzibar 24

Rais Magufuli na Rais Kenyatta wakubaliana hili

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta wamewaagiza Mawaziri wa Tanzania na Kenya kutatua tofauti ndogondogo zinazojitokeza katika biashara kati ya nchi hizi mbili.

Marais hao wametoa maagizo hayo leo asubuhi tarehe 23 Februari, 2018 walipokutana na kufanya mazungumzo katika hoteli ya Munyonyo mjini Kampala muda mfupi kabla ya kuanza kwa vikao vya mkutano wa wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Mhe. Rais...

 

2 years ago

Habarileo

Magufuli, Rais Vietnam wakubaliana mazito

RAIS wa Vietnam, Truong Tan Sang, ameondoka nchini jana baada ya kumaliza ziara yake ya siku nne. Pamoja na mambo mengine akiwa katika ziara yake nchini, kiongozi huyo amekubaliana na Rais John Magufuli, kuongeza mauzo baina ya nchi hizo mbili, kutoka Dola milioni 300 (Sh bilioni 630) za sasa hadi kufikia Dola bilioni moja (Sh trilioni 2.1) ifikapo mwaka 2020.

 

3 years ago

Habarileo

TUCTA yavutiwa na Rais Magufuli

SHIRIKISHO la Vyama Huru vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limeunga mkono kazi inayofanywa na Rais John Magufuli na Waziri Mkuu wake, Kassim Majaliwa kwa kuwa kinachofanywa na viongozi hao, ndicho ambacho wafanyakazi wamekuwa miaka yote wakitaka Serikali zilizotangulia, zifanye ili maslahi yao yawe mazuri.

 

2 years ago

StarTV

Rais Magufuli na Kenyata wakubaliana kuimarisha mahusiano ya kiuchumi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Uhuru Kenyatta, kando ya Mkutano Mkuu wa 17 wa kawaida wa wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika Mkoani Arusha, ambapo viongozi hao wamekubaliana kuimarisha mahusiano hususani katika masuala ya kiuchumi.

Baadhi ya maeneo waliyokubaliana kutilia mkazo katika mahusiano hayo, ni pamoja na kutekeleza miradi ya maendeleo inayounganisha nchi mbili...

 

1 year ago

Michuzi

Rais Magufuli na Museveni Wakubaliana Kutosaini Mkataba wa EPA

Na: Lilian Lundo – MAELEZO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Jamhuri ya Uganda Yoweri Museveni kwa pamoja wamekubaliana kutosaini mkataba wa mahusiano ya kiuchumi na kibiashara kati ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki na Ulaya (EPA).
Makubaliano hayo yamefanyika jana Ikulu, Jijini Dar es Salaam ambapo  Rais Yoweri Museveni yuko nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku mbili kuanzia tarehe 25 – 26  Februari, 2017.
Akiongea na waandishi wa habari...

 

2 months ago

Malunde

TUCTA WAMUOMBA RAIS MAGUFULI KUONGEZA MSHAHARA KIMA CHA CHINI

Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limemuomba Rais John Magufuli kuangalia namna ya kuongeza mshahara wa kima cha chini angalau kisiwe chini ya Sh250, 000.

Hayo yamesemwa leo Mei Mosi na Katibu Mkuu wa Tucta, Dk Yahaya Msigwa wakati wa sherehe za wafanyakazi, zinazoadhimishwa kitaifa katika viwanja vya Samora mkoani Iringa, ambapo Mgeni Rasmi ni Rais John Magufuli.

Amesema maisha kwa walio wengi yanakuwa magumu kutokana na kupanda kwa bei za vitu muhimu ikiwemo vyakula na...

 

2 months ago

Zanzibar 24

TUCTA yazungumzia kauli ya Rais Magufuli kutoongeza mshahara kwa wafanyakazi

Katibu Mkuu wa chama cha Wafanyakazi nchini (TUCTA) Yahaya Msigwa, amezungumzia kauli ya Rais Magufuli juu ya kutoongeza mshahara kwa wafanyakazi, jambo ambalo limeonekana kuibua hisia hasi kwa watu wengi wakiwemo wanasiasa wenza na wafanyakazi wenyewe.

Akizungumza na Eatv Bwana Msigwa amesema wao kama wawakilishi wa wafanyakazi, wanakusudia kufanya kikao maalum kujadili suala hilo, na kisha kulijadili na seriali kuangalia njia mbadala na muafaka.

“Mambo ya mishahara ni...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani