RAIS MAGUFULI NA USHINDI WA KULINDA RASILIMALI ZA MADINI

Na Judith Mhina -Maelezo

Adhima ya Tanzania kuwa kinara uuzaji wa dhahabu Afrika Mashariki na kuzuia utoroshaji ya madini yake imetimia.

Hii imetokana na kutekelezwa kwa agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika kuratibu na kutambua madini yote, kuanzishwa kwa masoko ya ununuzi ya dhahabu ndani na uuzwaji wa madini nje ya nchi.

Kuzinduliwa kwa soko kuu la kimataifa la uuzaji wa madini ya dhahabu Mkoa wa Mwanza, lililopo katika jengo la Rock City Mall,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Channelten

Mapambano dhidi ya Rushwa, Rais Dk Magufuli asema ni kulinda Rasilimali za nchi

MAGUFULI

Askofu wa Jimbo Katoliki la Zanzibar Mhashamu Agustino Shao amewataka Watanzania kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa hatua anazochukua kurekebisha mambo muhimu kwa maendeleo ya taifa, licha ya kuwepo kwa changamoto katika kipindi cha mpito.

Baba Askofu Shao amesema hayo leo wakati akihubiri katika Misa Takatifu iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph, Parokia ya Minaramiwili ambapo Rais Magufuli ameungana na waumini wa Kanisa...

 

2 years ago

Michuzi

Watanzania watakiwa kumuunga mkono Rais Magufuli kwenye vita ya kulinda rasilimali za Taifa

Watanzania wametakiwa kumuunga mkono Rais John Magufuli kwenye vita ya kulinda rasilimali za nchi aliyoianzisha kwani kwa muda mrefu watu wachache walishiriki kufuja mali za nchi ambazo zingetumika kwa manufaa ya watu wengi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, Hudson Starnley Kamoga aliyasema hayo kwenye maadhimisho ya siku ya albino duniani, ambayo kimkoa ilifanyika kituo cha 4 Angle mji mdogo wa Haydom, alipokuwa mgeni rasmi kwa niaba ya Mkuu wa mkoa huo Dr...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI ATUNUKU VYETI VYA SHUKRANI NA PONGEZI KWA KAMATI MAALUMU ZA UCHUNGUZI NA MAJADILIANO KUHUSU RASILIMALI ZA MADINI NCHINI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtunuku Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi cheti cha pongezi na shukrani  katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam leo Oktoba 23, 2017. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtunuku Profesa Nehemiah Eliakim Osoro  cheti cha pongezi na shukrani katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam leo Oktoba 23, 2017. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt....

 

4 years ago

Mwananchi

Tunahitaji rais wa kujenga uchumi, kulinda rasilimali zetu

Ikiwa imebaki takriban miezi minne Rais Jakaya Kikwete amalize muda wake kikatiba, bado ni fumbo kubwa kwa Watanzania kuhusu nani atakuwa mrithi wa kiti chake mara baada ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Oktoba mwaka huu.

 

2 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI ATUNUKU VYETI VYA SHUKRANI NA PONGEZI KWA KAMATI MAALUMU ZA UCHUNGUZI NA MAJADILIANO KUHUSU RASILIMALI ZA MADINI NCHINI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtunuku Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi cheti cha pongezi na shukrani  katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam leo Oktoba 23, 2017. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtunuku Profesa Nehemiah Eliakim Osoro  cheti cha pongezi na shukrani katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam leo Oktoba 23, 2017. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt....

 

2 years ago

Malunde

KAULI YA MKURUGENZI MKUU WA KAMPUNI YA UCHIMBAJI MADINI YA ACACIA KUHUSU RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MCHANGA WA MADINI ALIYOPOKEA RAIS MAGUFULI


**************www.acaciamining.com Response to this morning’s Press Conference and presentation of the First Presidential Committee’s report on the export of metallic mineral concentrates to the President of Tanzania. 
Many of you would have seen this morning’s press conference held at State House at which the First Presidential Committee presented its findings on its investigation into the export of gold/copper concentrates.

 The Committee has stated that Acacia has not fully declared all of...

 

2 years ago

Malunde

SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI TANZANIA WAMPA TANO RAIS MAGUFULI UAMUZI KUHUSU MCHANGA WENYE MADINI


Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Wadogo wa Madini Tanzania (FEMATA) limempongeza mheshimiwa rais John Pombe Magufuli kwa hatua alizozochukua baada ya kupokea ripoti ya uchunguzi wa mchanga wenye madini ambapo miongoni mwa maamuzi yaliyochukuliwa na rais ni kusitisha usafirishaji wa mchanga huo nje ya nchi. 
Pongezi hizo zimetolewa leo na rais wa shirikisho hilo John Bena wakati akiongea na waandishi wa habari na viongozi mbalimbali wa wachimbaji wadogo wa madini.
Bena amesema uamuzi...

 

5 years ago

Tanzania Daima

LEAT yawajengea uwezo wananchi kulinda rasilimali

CHAMA cha Wanasheria Watetezi wa Mazingira (LEAT) kwa sasa kinaendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo wananchi, kamati za maliasili na mazingira na viongozi kutoka vijiji na kata mbalimbali za wilaya ya...

 

2 years ago

Michuzi

Rais Dkt Magufuli aapisha wajumbe wa Kamati Maalum ya kuchunguza kiwango cha aina ya madini yaliyomo kwenye mchanga wenye madini


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Abdulkarim Hamis Mruma Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya kuchunguza kiwango cha aina ya madini yaliyomo kwenye mchanga wenye madini ulio ndani ya makontena yaliyozuiliwa na Serikali sehemu mbalimbali hapa nchini  Ikulu jijini Dar es Salaam.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha mmoja wa wajumbe wa Kamati hiyo Profesa Justinian Rwezaura Ikungula Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani