RAIS mpya wa shirikisho la Soka Tanzania amepatikana jioni hii

Screen Shot 2017-08-12 at 8.15.52 PM

RAIS mpya wa shirikisho la Soka Tanzania hatimaye sasa amepatikana baada ya kukamilika kwa upigaji wa kura na sasa ametangazwa kuwa ni Wallace Karia akipata kura 95, huku makamu wake akiwa na Michael Wambura aliyepata kura 85, huku Ally Mayay ambaye alikuwa akigombea nafasi ya Urais akipata kura 9, wakati wagombea wengine Iman Madega 9, wakati Mwakalebela akipata kura tatu.

CHANZO : SAIDI MAKALA

Share on: WhatsApp

The post RAIS mpya wa shirikisho la Soka Tanzania amepatikana jioni hii...

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Shirikisho la soka nchini Kenya (FKF) lapata Rais mpya

160210154236_nicholas_mwendwa_fkf_512x288_bbc

Shirikisho la soka nchini Kenya (FKF) limefanya uchaguzi wake mkuu na kupata Rais mpya ambaye alikuwa mwenyekiti wa klabu ya Kariobangi Sharks inayocheza ligi ya daraja ya chini nchini Kenya Nicholas Mwendwa.

160210154236_nicholas_mwendwa_fkf_512x288_bbc

Mwendwa amechaguliwa kwenye uchaguzi wa taifa wa shirikisho hilo ambao ulifanyika Kasarani, Nairobi. Aliungwa mkono na wajumbe 50 kati ya wajumbe wote 77 na kuwashinda Bw Ambrose Rachier na Ssemi Aina.

Aliyekuwa rais kwa miaka minne, Sam Nyamweya, alijiondoa kutoka kwenye uchaguzi...

 

12 months ago

Mwanaspoti

Rais mpya Shirikisho la Soka Sudan Kusini aota Kombe la Dunia

Rais wa Chama cha Soka Sudan Kusini (FA), Francis Amin amesema licha ya taifa hilo kukabiliwa na hali ngumu ya kuchumi, anaamini ndoto yake itatimia kwa timu ya taifa kushiriki mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) na Kombe la Dunia.

 

3 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AMUAPISHA MKURUGENZI MPYA WA UCHAGUZI BW. KAILIMA RAMADHANI KOMBEY JIONI HII IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leo Julai 25, 2015. Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey akiweka sahihi kwenye hati baada ya kuapishwa kuwa kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leo Julai 25, 2015.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

3 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete Amuapisha Mkurugenzi Mpya wa Uchaguzi Bwa.Kailima Ramadhani Kombwey Jioni hii Ikulu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leo Julai 25, 2015.Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey akiweka sahihi kwenye hati baada ya kuapishwa kuwa kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leoRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi baada ya muapisha Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey kuwa...

 

2 years ago

Channelten

SHIRIKISHO LA SOKA TANZANIA Laridhishwa na kiwango cha Soka Tanzania

 

Kubwa-Malinzi

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limesema mwenendo wa soka la Tanzania kwa sasa linaleta matumaini makubwa kwa baadhi ya vilabu kufanya vizuri katika michuano mbalimbali,pamoja na timu za taifa..

TFF ambao ndio wasimamisizi wa soka la Tanzania wametoa shukrani hizo kwa klabu za Azam FC pamoja na Yanga ambazo hivi karibuni zilicheza michezo ya kimataifa na kufanya vyema katika michuano hiyo.

Azam FC waliocheza na Esperence ya Tunisia katika Uwanja wa Azam Complex, waliibuka na...

 

2 years ago

Bongo5

Hii ndio heshima aliyopewa Zlatan Ibrahimovic na Shirikisho la soka la Sweden

Shirikisho la soka la Sweden limepanga kumpatia heshima ya kumtengenezea sanamu mshambuliaji wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic kutokana na mchango wake aliowahi kuutoa kwenye timu ya taifa.

3aa2a1f000000578-3958812-image-m-4_1479766616240

Zlatan amefanikiwa kushinda tuzo ya mwanamichezo bora wa Sweden kwa miaka 10 mfululizo kabla ya kutangaza kustaafu kuichezea timu hiyo baada ya michuano ya kombe la Euro 2016. Sanamu lake hilo litawekwa nje ya uwanja wa Friends Arena uliopo katika jiji la Stockholm.

3aa2ae5f00000578-3958812-image-a-7_1479766736470

Zlatan mwenye umri wa miaka 36...

 

2 years ago

CCM Blog

MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA AWASILI MKOANI MOROGORO JIONI HII

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dk. Stephen Kebwe mara baada ya kuwasili mkoani hapo ambapo atahudhuria  sherehe ya siku wahitimu wa chuo cha Mzumbe ,juni 17, 20016 mjini hapo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Manisapaa ya Morogoro mjini Ndugu Fikiri Juma  mara baada ya kuwasili mkoani hapo ambapo atahudhuria  sherehe ya siku wahitimu...

 

2 years ago

Bongo5

Shirikisho la Soka barani Africa CAF limepata mdhamini mpya

Shirikisho la Soka barani Africa (CAF) limepata mdhamini mpya baada ya kumalizika kwa mkataba wake na kampuni ya mawasiliano ya Orange.

150905163405_caf_cup_of_nations__512x288_getty_nocredit

Orange imekuwa mdhamini mkuu wa mashindano makubwa ya CAF kwa miaka minane tangu 2009.

Kabla ya hapo, kampuni nyingine ya mawasiliano ya MTN ndiyo iliyokuwa mdhamini kwa miaka minne.

Sasa, mdhamini mpya atakuwa kampuni ya mafuta na gesi ya Total kutoka Ufaransa.

Kampuni hiyo itaanza kwa kudhamini michuano ya Kombe la Taifa Bingwa Afrika mwaka 2017 ambayo...

 

3 years ago

Bongo5

Hii orodha mpya ya viwango vya soka duniani FIFA, Tanzania yashika nafasi ya 136

Shirikisho la soka duniani Fifa limetangaza viwango vya ubora vya mchezo wa soka kwa mwezi Septemba ambapo Argentina wanaendelea kuongoza katika chati hiyo. Mabingwa wa dunia Ujerumani wanashika nafasi ya pili, huku Ubelgiji wakishika nafasi ya tatu katika viwango vya ubora. Algeria ndio taifa la Afrika linaloongoza likiwa nafasi ya 19 huku Ivory Coast wakiwa […]

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani