Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Heshima

Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Heshima ‘Chairperson Emeritus’ wa Bosi ya South Centre.

South Centre ni jumuiya iliyoundwa kwa makubaliano ya serikali za nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa kwa lengo la kuchochea maendeleo katika nchi hizo.

Jumuiya hii iliundwa kwa makubaliano na ilianza kazi Julai 31, 1995 huku makao yake makuu yakiwa  Geneva, Switzerland.

Kazi yake kubwa ni kusimamia maendeleo ya kiuchumi kwa nchi za kusini.

Hii hapa barua ya...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

8 months ago

Malunde

MKAPA ATEULIWA KUWA MWENYEKITI WA HESHIMA

Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Heshima ‘Chairperson Emeritus’ wa Bosi ya South Centre.
South Centre ni jumuiya iliyoundwa kwa makubaliano ya serikali za nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa kwa lengo la kuchochea maendeleo katika nchi hizo.
Jumuiya hii iliundwa kwa makubaliano na ilianza kazi Julai 31, 1995 huku makao yake makuu yakiwa Geneva, Switzerland.
Kazi yake kubwa ni kusimamia maendeleo ya kiuchumi kwa nchi za kusini.
Hii hapa barua ya uteuzi...

 

3 years ago

Channelten

Kongamano la Nane UDSM Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu BENJAMIN MKAPA amesimikwa kuwa mhadhiri

Screen Shot 2016-06-14 at 4.26.10 PM

CHUO KIKUU CHA DSM leo kimeanza kongamano la nane la  kitaaluma la mwalimu Nyerere ambapo Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu BENJAMIN MKAPA amesimikwa kuwa mhadhiri wa mhadhara wa mwalimu Nyerere kwa mwaka  2016 huku matamko mbalimbali yakitolewa juu ya muskabali wa Taifa

Akizungumza mara baada ya kusimikwa na wakati akijibu hoja mbalimbali za washiriki Rais Mstaafu Benjamin Mkapa amewataka watanzania kuacha serikali ifanye kazi yake ya kuwaletea maendeleo wananchi  badala ya kuiyumbisha kwa...

 

3 years ago

Dewji Blog

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete ateuliwa kuwa Balozi wa heshima wa chanjo Duniani

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepokea kwa furaha uteuzi uliofanywa na Shirika la Global Alliance for Vaccines and Immunizations (GAVI) kwa  kumteua Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais  Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Balozi wa Heshima wa Chanjo Duniani. Kwa niaba ya Serikali, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na kwa niaba yangu binafsi napenda kuchukua fursa hii kumpongeza kwa dhati Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AHUDHURIA MISA YA JUBILEI YA DHAHABU YA NDOA YA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA NA ANNA MKAPA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu wa zamani Mhe Edward Lowassa wakati wa Misa ya Jubilei ya Dhahabu ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016 Misa ya Jubilei ya Dhahabu ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016 LO2 LO3Paroko  akisimamia...

 

2 years ago

CCM Blog

RAIS DK MAGUFULI AHUDHURIA MISA YA JUBILEI YA DHAHABU (MIAKA 50) YA NDOA YA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA NA ANNA MKAPA

Rais Mstaafu Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa
wakionyesha cheti chao cha Jubilei ya dhahabu ya
miaka 50 ya ndoa yaoDar es Salaam
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin William Mkapa Agosti 27, 2016 ameadhimisha Jubilei ya Dhahabu ya Miaka 50 ya ndoa yake na Mama Anna Mkapa katika Kanisa la Mtakatifu Petro, lililopo Oysterbay Jijini Dar es Salaam.

Misa ya Jubilei hiyo imefanyika nyakati za mchana katika ukumbi wa Kardinali Rugambwa, kando ya kanisa la Mtakatifu Petro-Oysterbay ikitanguliwa na...

 

2 years ago

Dewji Blog

Rais Dkt Magufuli ahudhuria Misa ya Jubilei ya Dhahabu (Miaka 50) ya ndoa ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa na Anna Mkapa

 Rais Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Petro  Fr. Stephano Kaombwe wakati akiwasili kuhudhuria  Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam Jumamosi Agosti 27, 2016  “Maharusi”  Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakiingia kanisani  tayari kwa  Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa yao katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es...

 

2 years ago

Michuzi

TASWIRA ZA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU DKT. SALIM KATIKA MSIBA WA RAIS WA ZAMANI WA BOTSWANA SIR KETUMIRE MASIRE MJINI GABERONE

Rais Mstaafu Mhe Benjamin William Mkapa na Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim wakiwa na Rais Mstaafu wa Msumbiji Mhe. Armando Emilio Gwebuza wakiwa kwenye misa ya Kitaifa kuomboleza kifo cha Rais mstaafu wa Botswana Sir Ketumire Masire katika ukumbi wa Sports Centre wa Chuo Kikuu cha Botswana mjini Gaborone leo. Marehemu Masire anatarajiwa kuzikwa kesho kijijini kwake Kanye, kilomita 80 kutoka Gaborone. Mhe Mkapa amemuwakilisha Rais Dkt John Magufuli kwenye msiba huo.Waziri Mkuu...

 

3 years ago

CCM Blog

RAIS MSTAAFU, DR. JAKAYA KIKWETE ATEULIWA KUWA BALOZI WA HESHIMA WA MAENDELEO YA KILIMO KATIKA MABARA YA AFRIKA, KARIBIANI NA PASIFIKI

NA BASHIR NKOROMO
KITUO cha Ufundi cha Kilimo na Maendeleo Vijijini (Technical Centre for Agricultural and Rural Cooperation, CTA) chenye makao makuu mjini Wageningen, Uholanzi kimemteua Rais Mstaafu Dk. Jakaya  Kikwete kuwa Balozi wa Heshima (Goodwill Ambassador) wa Maendeleo ya Kilimo katika Mabara ya Afrika, Karibiani na Pasafiki.

Katika barua iliyokabidhiwa na mjumbe wa Bodi ya CTA, Prof. Faustin Kamuzora, CTA wameainisha kuwa Dk. Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM, Taifa, ameteuliwa...

 

3 years ago

Michuzi

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu Benjamin Wiliam Mkapa Ikulu jijini Dar es Salaam.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu Benjamin William Mkapa Ikulu jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba Ikulu jijini...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani