RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA KIKWETE AONGOZA MAHAFALI YA 10 YA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU (DUCE) CHA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM


NA K-VIS BLOG/Khalfan Said
MKUU wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete, (pichani juu), ameongoza mahafali ya kumi (10), ya Chuo kikuu kishiriki cha Elimu (DUCE)cha Chuo kikuu Dar es salaam kwenye viwanja vya chuo hicho, Chang’ombe jijini Dar es Salaam jana Novemba 15, 2017.
Katika mahafali hayo zaidi ya wanachuo 1,443 waliochukua mafunzo ya Shahada ya Elimu ya Jamii na Elimu, (BAED), Shahada ya Elimu ya Sayansi na Elimu, (Bsc) na Shahada ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Vijimambo

DATIUS JOVIT ALAMBA NONDOZ YA ELIMU YA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA DUCE

 Kijana Datius akiwa katika Picha ya Pamoja na Baba yake Mzazi (nyuma ya babu yake aliyevaa miwani) Babu zake na dada zake wakati alipotunukiwa nondo yake ya elimu kutoka Chuo Kikuu Kishiriki cha DUCE hapo jana Datius Akiwa katika picha ya pamoja na Baba yake Mzazi (Kushoto) pamoja na Babu yake mdogo (kulia) Akivishwa taji na Dada yake aitwaye NeemaAkiwa na Dada mara baada ya kulamba nondoz.Picha Zote na Josephat Lukaza wa http://www.josephatlukaza.com

 

3 years ago

Michuzi

JK AWATUNUKU DIGRII WAHITIMU 1,179 CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU DUCE

  Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udsm), Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete (wa pili kulia) akimkabidhi zawadi mwanafunzi bora wa Chuo Kikuu Kishiriki cha  Elimu Dar es Salaam (Duce), Haji Mohamed wakati wa Mahafali ya Tisa ya chuo hicho leo. Jumla ya wanafunzi 1,179 walihitimu na kutunukiwa digrii za awali.
Digrii walizotunukiwa ni Elimu ya Jamii na Ualimu (B.A.Ed.) wanafunzi 864, Elimu katika Elimu ya Jamii (B.E.D. Arts) wanafunzi 52, Elimu katika Sayansi (B.Ed....

 

3 years ago

Michuzi

JK AWATUNUKU NONDOZZZZZ WAHITIMU 1,179 CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU DUCE


 Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete  akimkabidhi zawadi mwanafunzi bora wa Chuo Kikuu Kishiriki cha  Elimu Dar es Salaam (Duce), Haji Mohamed wakati wa Mahafali ya Tisa ya chuo hicho leo. Jumla ya wanafunzi 1,179 walihitimu na kutunukiwa digrii za awali.Digrii walizotunukiwa ni Elimu ya Jamii na Ualimu (B.A.Ed.) wanafunzi 864, Elimu katika Elimu ya Jamii (B.E.D. Arts) wanafunzi 52, Elimu katika Sayansi (B.Ed. Science)...

 

4 years ago

Michuzi

MDAU DATIUS JOVIT ALAMBA NONDOZ YA ELIMU YA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA DUCE

 Kijana Datius akiwa katika Picha ya Pamoja na Baba yake Mzazi (nyuma ya babu yake aliyevaa miwani) Babu zake na dada zake wakati alipotunukiwa nondo yake ya elimu kutoka Chuo Kikuu Kishiriki cha DUCE hapo jana Datius Akiwa katika picha ya pamoja na Baba yake Mzazi (Kushoto) pamoja na Babu yake mdogo (kulia) Akivishwa taji na Dada yake aitwaye NeemaAkiwa na Dada mara baada ya kulamba nondoz.Picha Zote na Josephat Lukaza wa http://www.josephatlukaza.com

 

3 years ago

Michuzi

WAHITIMU 1,179 CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU (DUCE) WALAMBA NONDOZZZ ZAO

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udsm), Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete (kulia) akimkabidhi zawadi mwanafunzi bora wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (Duce), Haji Mohamed wakati wa Mahafali ya Tisa ya chuo hicho, jijini Dar es salaam. Jumla ya wanafunzi 1,179 walihitimu na kulamba nondozz zao za awali. 
Nondozz (Digrii) walizolamba ni  Elimu ya Jamii na Ualimu (B.A.Ed.) wanafunzi 864, Elimu katika Elimu ya Jamii (B.E.D. Arts) wanafunzi 52, Elimu katika...

 

2 years ago

Michuzi

SPIKA MSTAAFU WA ZANZIBAR, PANDU KIFICHO AONGOZA MAHAFALI YA NNE YA CHUO KIKUU CHA BAGAMOYO (UB), KAWE JIJINI DAR ES SALAAM

Na Dotto Mwaibale
CHUO Kikuu cha Bagamoyo (UB), kimefanikiwa kutoa   falsafa ya kwanza ya  Udaktari (PHD), licha ya  changamoto ya utoaji elimu katika majengo ya kupanga kwa gharama kubwa.
Kauli hiyo imetolewa na Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Dk. Costa Mahalu kwenye mahafali ya nne yaliyofanyika leo katika viwanja vya chuo hicho, Kawe jijini Dar es  Salaam.
Alisema  katika mahafali hayo jumla ya wahitimu 499  wamefanikiwa kumaliza masomo yao kwenye fani mbalimbali, wanafunzi 45 ngazi ya...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI AONGOZA MAHAFALI YA CHUO KIKUU CHA KAMPALA JIJINI DAR ES SALAM


RAIS mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amewataka wahitimu wa vyuo vikuu nchini kuacha tabia ya kuchagua kazi za kufanya mara baada ya kuhitimu elimu yao. Mwinyi alisema tabia hiyo imepitwa cha wakati hasa katika dunia ya sasa yenye changamoto kubwa ya ajira.
Rais Mwinyi alitoa kauli hiyo juzi wakati akizungumza na wahitimu wa kozi mbalimbali kwenye sherehe za mahafali ya nne ya Chuo Kikuu cha Kampala (KIU) cha jijini Dar es Salaam.


Alisema kitendo cha baadhi ya...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU ALHAJ ALI HASSAN MWINYI AONGOZA MAHAFALI YA CHUO KIKUU CHA KAMPALA JIJINI DAR ES SALAM

 Rais mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiwatunuku wahitimu wa kozi mbalimbali katika mahafali ya Chuo Kikuu cha Kampala (KIU) cha jijini Dar es Salaam kwenye sherehe za mahafali. Baadhi ya wahadhiri wa chuo hicho wakiwa kwenye mahafali hayo. Baadhi  ya wahitimu wa ngazi ya digrii  kozi ya afya wakila kiapo cha uadilifu baada ya kuhitimu fani hiyo. Sehemu ya wahitimu wakiwa katika mahafali hayo.Kwa picha na habari zaidi BOFYA HAPA

 

3 years ago

Ippmedia

Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimemsimika rasmi Dk. Jakaya Kikwete kuwa mkuu wa chuo

Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimemsimika rasmi rais wa serikali ya awamu ya nne Dk.Jakaya Kikwete kuwa mkuu mpya wa chuo hicho baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo na rais wa Dk.John Pombe Magufuli Januari mwaka huu.

Day n Time: Jumamosi saa 2:00 UsikuStation: ITV

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani