Rais mteule akanusha madai juu ya Russia

Trump aliandika kuwa ni “HABARI ZA UONGO NA HUJUMA YA KISIASA.”

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

6 months ago

VOASwahili

Russia: "madai ya kuvuruga uchaguzi wa Marekani hayana msingi"

Maamuzi yamefanywa kwa kukurupuka, hasira ambayo haiendi sambamba na weledi wa kazi unaolingana na huduma za kweli za upelelezi wa kiwango cha kimataifa.

 

3 months ago

VOASwahili

FBI yathibitisha Russia inachunguzwa, yakanusha madai ya Trump

Mkurugenzi wa Idara ya Makosa ya Jinai (FBI) James Comey amethibitisha kuwa wanachunguza iwapo wasaidizi wa kampeni ya Rais Donald Trump walifanya vitendo vya uhalifu kwa kushirikiana na Russia kwa maslahi ya nchi hiyo kumsaidia Trump kushinda uchaguzi wa mwaka 2016.

 

2 years ago

BBCSwahili

Lamorde akanusha madai ya ufisadi

Mkurugenzi mkuu wa shirika la kupambana na ufisadi nchini Nigeria akanusha madai kuwa zaidi ya $5bn zimetoweka kutoka shirika hilo

 

3 years ago

GPL

JOHARI AKANUSHA MADAI YA KUBATIZWA

MKONGWE wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amedaiwa kubatizwa juzikati katika Kanisa Katoliki Nyalikungu wilayani Maswa, Simiyu lakini mwenyewe amekanusha. Mkongwe wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’. Chanzo makini kilichodai kushuhudia ubatizo, kilieleza kuwa Johari alifika Jumapili kanisani hapo na watu kuhoji kwa nini achelewe kubatizwa? Alipotafutwa na mwanahabari wetu, Johari alitiririka: “Kweli...

 

2 years ago

BBCSwahili

Osama:Mwandishi akanusha madai ya Marekani

Mwaandishi mmoja amekanusha madai ya utawala wa Rais Obama kuhusiana na kuuawa Osama Bin Laden

 

5 months ago

Bongo5

Gigy Money akanusha madai ya kuwa anataka kuokoka

Mtangazaji wa kipindi cha Lavidavi cha Choice FM, Gigy Money amekanusha uvumi ambao ulizagaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa anataka kuokoka.

Taaifa hizo zilidai kuwa video queen huyo anataka kuokoka ili kufuta mabaya aliyoyafanya katika kipindi cha nyuma.

Akiongea katika kipindi cha Star News cha Star TV wiki hii, mrembo huyo amedai hana mpango huo huku adai labda abadili dini kumfuata mpenzi wake wa sasa Mo J.

“Kusema kweli Gigy kama Gigy Gigy hana mpango wa kuokoka, niokoke kwanini labda...

 

4 months ago

Bongo5

Batuli akanusha madai ya Wema Sepetu kuidai CCM

Muigizaji wa filamu nchini, Yobnesh Yussuf maarufu kama Batuli amekanusha taarifa iliyotolewa na Wema Sepetu kuwa CCM haijawalipa pesa za kampeni ya Mama Ongea na Mwanao kwenye uchaguzi wa mwaka 2015.

Akizungumza na wanahabari kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Protea, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ akiwa na Ndumbangwe Misayo ‘Thea’,amesema madai aliyoyatoa Wema Sepetu hayana ukweli wowote kwa sababu wasanii wote walilipwa.

“Nikiwa kama makamu mwenyekiti wa group hili la Mama Ongea na Mwanao kwa muda ni...

 

2 years ago

Habarileo

IGP akanusha kufuta askari kwa madai ya vyeti feki

MKUU wa Polisi nchini Inspekta Jenerali (IGP) Ernest Mangu amekanusha kufutwa kazi kwa askari kadhaa wanaodaiwa kuwa na vyeti feki kama iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii juzi na akasema Jeshi lake linamtafuta mtu ambaye amesambaza taarifa hizo alizoita za uzushi.

 

4 months ago

Bongo Movies

Batuli Akanusha Madai ya Wema Sepetu Kuidai CCM (+VIDEO)

Muigizaji wa filamu nchini, Yobnesh Yussuf maarufu kama Batuli amekanusha taarifa iliyotolewa na Wema Sepetu kuwa CCM haijawalipa pesa za kampeni ya Mama Ongea na Mwanao kwenye uchaguzi wa mwaka 2015.

Akizungumza na wanahabari kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Protea, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ akiwa na Ndumbangwe Misayo ‘Thea’,amesema madai aliyoyatoa Wema Sepetu hayana ukweli wowote kwa sababu wasanii wote walilipwa.

“Nikiwa kama makamu mwenyekiti wa group hili la Mama Ongea na Mwanao kwa muda ni...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani