RAIS MUSEVENI ATEULIWA KUWA MSIMAMIZI WA KUONGOZA JUHUDI ZA UPATANISHI MGOGORO WA BURUNDI

Taarifa ya makubaliano toka kwa Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki imetolewa leo Ikulu Dar es Salaam wakati wa kuhitimisha Mkutano wa siku mbili wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya hiyo ambapo baadhi ya maadhimio waliyokubaliana ni kwamba Rais Museveni wa Uganda awe msimamizi wa juhudi za upatanishi wa makundi nchini Humo.
Akizungumza wakati wa Mkutano huo, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Dkt. Richard Sezibera alisema kuwa Rais wa Uganda, Mhe. Yoweri Museveni apewe jukumu la...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Channelten

Mgogoro wa Burundi Ujumbe wa AU waendeleza juhudi za kupata ufumbuzi

2964597564

Siku moja tangu ujumbe wa ngazi ya juu kutoka Umoja wa Afrika ufanye mazungumzo na Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza imelezwa kuwa bado hakuna matumaini ya kiongozi huyo kukubali kwa dhati azma ya kumaliza mgogoro wa kisiasa ulioibuka nchini humo

Ujumbe huo unaoundwa na viongozi watano kutoka nchi za Afrika, unajaribu kufanya mashauriano na wadau mbalimbali kwa lengo la kushawishi kuwepo kwa mazungumzo yatakayowashirikisha wadau wote ili kuupatia ufumbuzi mgogoro huo

Ukiwa mjini Bujumbura...

 

3 years ago

Michuzi

Mkapa kuongoza timu ya usuluhishi wa mgogoro wa Burundi

Na. Immaculate Makilika- MAELEZO 19 Mei, 2016Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Benjamin Mkapa, ameteuliwa kuongoza mazungumzo kuhusu mgogoro wa Burundi ikiwa ni jitihada za viongozi wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki katika kuleta  amani ya kudumu nchini humo.Mheshimiwa Mkapa, aliyeteuliwa na Mkutano wa 17 wa wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki atakuwa kiongozi wa timu ya usuluhishi wa mgogoro wa Burundi katika kikao kitakachofanyika...

 

3 years ago

Channelten

Marekani yapongeza Juhudi za Upatanishi Zinazofanywa na Tanzania

27f5e8fc6dbcada5296afd2b3edadd3f9fcac972_original

Mwakilishi maalum wa Marekani katika nchi za maziwa makuu, anayeshughulikia mgogoro wa Burundi, THOMAS PARIELLO, amesema nchi yake inaunga mkono jitihada zinazofanywa na mpatanishi wa mgogoro huo Rais mstaafu Benjamin Mkapa ingawa ametahadharisha kuwa hali ya mambo bado sio shwari nchini Burundi.

Akizungumza jijini Dar es Salaam katika mahoajiano Maalum na Channel Ten kuhusu mgogoro wa Burundi pamoja na mtazamo wake kuhusiana na mkutano baina ya pande hasimu nchini humo, Bwana Parrielo...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU JK AENDELEA NA JUHUDI ZA USULUHISHI WA MGOGORO WA LIBYA

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Afrika katika Mgogoro wa Libya ameendelea na juhudi zake za usuluhishi wa mgogoro wa Libya kwa kushiriki katika Kikao cha 11 cha Mawaziri wa Nchi Jirani na Libya kilichofanyika jijini Algiers, Algeria tarehe 8 Mei, 2017.

Katika Kikao hicho, Rais Mstaafu amepongeza juhudi zinazoendelea za kupatanisha pande zinazogombana nchini Libya na mafanikio yanayopatikana ikiwemo kuimarika kwa hali ya usalama, kudhibitiwa kwa...

 

3 years ago

Global Publishers

Mkapa Kuwa Msuluhishi wa Mgogoro wa Burundi

mkapaRais wa Mstaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Rais wa Awamu ya Tatu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Benjamin Mkapa, ameteuliwa kuwa msuluhishi wa mgogoro unaoendelea kuikumba nchi ya Burundi kwa muda unaokaribia mwaka mmoja tangu April 2015.

Mkapa ameteuliwa kuwa msulıuhishi wa mgogoro wa huo na marais wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) katika mkutano uliofanyika jana Jumatano, mjini Arusha.

Rais wa sasa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye...

 

3 years ago

Mwananchi

Burundi wakacha mkutano wa upatanishi Arusha

Mazungumzo ya kutafuta suluhu ya mgogoro wa nchi ya Burundi yameanza jijini Arusha bila serikali ya nchi hiyo kutuma wawakilishi kwenye mkutano huo.

 

3 years ago

StarTV

Mgogoro Zanzibar Maalim Seif amtaka rais Magufuli kuongoza mazugumzo

 

Makamu wa kwanza wa rais  wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad amemtaka  Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania   Dk Jonh Pombe  magufuli kulisimamia suala la mgogoro wa kisiasa visiwani Zanzibar ili kupatiwa ufumbuzi mgogoro huo.

Zanzibar imeingia katika mgogoro wa kisiasa baada ya mwenyekiti wa tume ya uchaguzi bwana Jecha Salim Jecha kuufutilia mbali uchanguzi uliofanyiaka October 25 2015 visiwani huo kwa kile alichokieleza kugubikwa na udanganyifu .

Akizungumza na waaandishi wa...

 

4 years ago

Mwananchi

Rais Museveni hafai kupatanisha Burundi

Neno “PIERRE” kwa Kifaransa lina maana ya jiwe na “NKURUNZIZA” kwa Kihutu lina maana ya habari njema. Mwaka 2005 Pierre Nkurunziza alikuwa “jiwe” lililowapa Warundi “habari njema” alipochaguliwa kuwa rais wa Burundi baada ya miaka mingi ya mapigano ya wenyewe kwa wenyewe.

 

4 years ago

Michuzi

Balozi Rajabu Hassan Gamaha ateuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Burundi.

Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemteua Balozi Rajabu Hassan Gamaha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Burundi.


 Balozi Gamaha anachukua nafasi ya Balozi Dkt. Mwasi Nzagi ambaye amestaafu kwa mujibu wa sheria. Kabla ya uteuzi huo Balozi Gamaha alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Uteuzi huo unaanza mara moja.
Imetolewa na:

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,

Dar es Salaam


27 Aprili 2015

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani