Rais Museveni hafai kupatanisha Burundi

Neno “PIERRE” kwa Kifaransa lina maana ya jiwe na “NKURUNZIZA” kwa Kihutu lina maana ya habari njema. Mwaka 2005 Pierre Nkurunziza alikuwa “jiwe” lililowapa Warundi “habari njema” alipochaguliwa kuwa rais wa Burundi baada ya miaka mingi ya mapigano ya wenyewe kwa wenyewe.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

3 months ago

RFI

Museveni amtaka rais wa Burundi kuzungumza na wapinzani wake

Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametoa wito kwa mwenzake wa Burundi Pierre Nkurunziza kuheshimu Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), mpatanishi katika mgogoro unaondelea kuikabili nchi yake, na kuzungumza na upinzani ulio nje ya nchi.

 

2 years ago

RFI

Rais Museveni aitaka EU kuacha vitisho dhidi ya Burundi na EAC

Mkutano maalumu wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki umetamatika jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, huku viongozi hao wakiutaka umoja wa Ulaya kutoingilia masuala ya ndani ya kwenye nchi za ukanda.

 

4 years ago

Michuzi

RAIS MUSEVENI ATEULIWA KUWA MSIMAMIZI WA KUONGOZA JUHUDI ZA UPATANISHI MGOGORO WA BURUNDI

Taarifa ya makubaliano toka kwa Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki imetolewa leo Ikulu Dar es Salaam wakati wa kuhitimisha Mkutano wa siku mbili wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya hiyo ambapo baadhi ya maadhimio waliyokubaliana ni kwamba Rais Museveni wa Uganda awe msimamizi wa juhudi za upatanishi wa makundi nchini Humo.
Akizungumza wakati wa Mkutano huo, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Dkt. Richard Sezibera alisema kuwa Rais wa Uganda, Mhe. Yoweri Museveni apewe jukumu la...

 

1 year ago

Malunde

RAIS MAGUFULI NA MUSEVENI WALAANI MAHAKAMA YA KIMATAIFA YA MAKOSA YA JINAI (ICC) KUANZA KUICHUNGUZA BURUNDI


Rais John Magufuli na Rais wa Uganda Yoweri Museveni wamelaani uamuzi uliotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) wa kumuagiza Mwendesha Mashitaka wa Mahakama hiyo kuanzisha uchunguzi dhidi ya Burundi.
Marais hao walitoa kauli za kulaani uamuzi huo wakati wakiagana katika mji wa Masaka baada ya Rais Magufuli kukamilisha ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Uganda na kurejea nyumbani.
Baada ya kuagana Rais Magufuli alisindikizwa na Makamu wa Rais wa Uganda Edward Kiwanuka...

 

4 years ago

BBCSwahili

Rais wa Senegal kupatanisha Burkina Faso

Rais wa Senegal Macky Sall na mwenzake wa Benin Boni Yayi wanaelekea Burkina Faso kushauriana na viongozi waliopindua serikali.

 

4 years ago

BBCSwahili

Carson:Musilamu hafai kuwa rais wa Marekani

Mwaniaji kiti cha chama cha Republican nchini Marekani,Ben Carson ameonya kuwa uislamu unakiuka katika ya nchi hiyo

 

4 years ago

GPL

LOWASSA ANAFAA AU HAFAI KUWA RAIS 2015?

UKITAJA jina la Edward Ngoyayi Lowassa utakuwa unamzungumzia Mbunge wa Jimbo la Monduli mkoani Arusha tangu mwaka 1990 na Waziri Mkuu Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, aliyezaliwa  Agosti 26, 1953. Waziri Mkuu Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, aliyezaliwa  Agosti 26, 1953 Mheshimiwa Lowassa. Mheshimiwa Lowassa amesoma elimu yake ya msingi katika shule ya Monduli na baadaye Sekondari Arusha (Ilboru) na Milambo mkoani...

 

3 years ago

BBCSwahili

Trump asema Cruz hafai kuwa rais Marekani

Donald Trump amemshambulia mgombea mwenzake Ted Cruz kwenye mdahalo akisema hafai kuwa rais wa Marekani kwa sababu hakuzaliwa nchini humo.

 

4 years ago

BBCSwahili

Museveni kuituliza Burundi?

Rais wa Uganda Yoweri Museveni leo ameingia siku yake ya pili ya mazungumzo ya amani nchini Burundi.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani