Rais Obama atoa hotuba ya kuwaaga Wamarekani

Rais Barack Obama ametoa hotuba yake ya mwisho kwa taifa kwenye uwanja wa McCormick mjini Chicago siku ya Jumanne usiku mbele ya maelfu ya wafuasi wake. Alizungumzia mafanikio yake ya miaka minane na kuwahimiza wananchi kuendelea kujihusisha na siasa.

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Bongo5

Obama atoa hotuba ya kuwaaga Wamarekani iliyowaliza wengi (Picha/Video)

Rais Barack Obama, Jumanne hii huko jijini Chicago ametoa hotuba yake ya mwisho kuwaaga Wamarekani baada ya kuwatumikia kwa miaka minane.

Obama anaondoka na historia ya kuwa Mmarekani Mweusi wa kwanza kuwa Rais wa nchi hiyo. Ameshika nafasi hiyo kwa mihula miwili

Kwenye hotuba hiyo iliyokuwa imejaa hisia na simanzi, Rais Obama amewataka Wamarekani kulinda demokrasia yao.

Kuhusu masuala ya rangi kwenye hotuba yake Obama amesema: After my election, there was talk of a post-racial America. Such...

 

1 year ago

Mtanzania

OBAMA AWAAGA WAMAREKANI KWA HOTUBA NZITO

Rais wa Marekani, Barack Obama (kulia), mkewe Michelle, mtoto wao Malia, Makamu wa Rais Joel Biden na mkewe Jill wakiaga baada ya Obama kutoa hotuba ya mwisho kama Rais mjini Chicago juzi.

Rais wa Marekani, Barack Obama (kulia), mkewe Michelle, mtoto wao Malia, Makamu wa Rais Joel Biden na mkewe Jill wakiaga baada ya Obama kutoa hotuba ya mwisho kama Rais mjini Chicago juzi.

CHICAGO, MAREKANI

RAIS Barack Obama, amewaaga Wamarekani na ulimwengu mzima kwa hotuba iliyojaa hisia, aliyoitoa mjini hapa na kuwataka Wamarekani kuunganisha nguvu katika kuleta mabadiliko.

Mbele ya wafuasi wake 18,000, Rais huyo alitokwa na machozi wakati akimshukuru mke wake Michelle Obama kwa namna...

 

2 years ago

Channelten

Wamarekani wamepiga kura kumchagua rais wa 45 atakayemrithi Rais Barack Obama

azz2lknje6qwru8aifd7drtpkhmw2kgq-large

Wamarekani wamepiga kura kumchagua rais wa 45 atakayemrithi Rais Barack Obama mwakani.

Uchaguzi huo mkuu umefanyika leo ambapo wapiga kura wanachagua kati ya mgombea urais wa chama cha Democratic Hillary Clinton anayetarajiwa kuwa mwanamke wa kwanza kuiongoza Marekani au mgombea urais wa chama cha Republican Donald Trump, mfanyabiashara bilionea asiye na historia ya kisiasa lakini aliyepata uungwaji mkono mkubwa kutoka kwa wapiga kura.

Wagombea hao wawili walifanya kampeni zao za mwisho...

 

2 years ago

VOASwahili

Hotuba ya mwisho ya Rais Obama kuhusu usalama wa taifa

Wiki hii Rais Obama alihutubia taifa na kuongeleza zaidi usalama wa Marekani.

 

2 years ago

MillardAyo

Aliyecopy hotuba ya Obama na kumpa Rais Buhari…Kufukuzwa kazi

128729e7fae146c486259fc27963a62a_18

Wiki iliyopita Ikulu ya Nigeria kupitia kwa muandishi wa hotuba za Rais, iliingia kwenye skendo ya kunakili hotuba ya Rais Barack Obama na kumpa Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari ambaye aliisoma kama ilivyo bila kujua, mpaka wapinzani walipoanzisha mzozo juu ya suala hilo. Sehemu ya hotuba ya Rais Buhari iliyonakiliwa kutoka kwenye hotuba ya Rais Barack Obama aliyoitoa […]

The post Aliyecopy hotuba ya Obama na kumpa Rais Buhari…Kufukuzwa kazi appeared first on...

 

3 years ago

Vijimambo

HII NDIO HOTUBA YA ZITTO ALIYOTAKA KUITOA BUNGENI YA KUWAAGA WABUNGE WENZAKE

Mh. Zitto Zuberi Kabwe Mbunge wa Kigoma Kaskazini
Mheshimiwa Spika, nilijiunga na Bunge lako tukufu mwaka 2005 nikiwa kijana mdogo mwenye malengo ya kupaza sauti ya vijana kwenye masuala yanayohusu nchi yetu na pia kutetea maslahi ya wananchi wa Jimbo la Kigoma Kaskazini na Mkoa wa Kigoma.

Katika kudumu kwangu kama mbunge nililelewa na kukuzwa na chama cha siasa cha CHADEMA ambacho kupitia chama hiki niliingia Bungeni. Chama hiki kilinilea na kunikuza tangu nikiwa na umri wa miaka 16 na...

 

1 year ago

Mwananchi

Hotuba ya Trump yatoa matumaini kwa wahamiaji, Wamarekani

Rais Donald Trump amehutubia wabunge wa Marekani muda mfupi leo ambapo ameahidi kufufua nguvu na bidii ya Wamarekani.

 

1 year ago

VOASwahili

Trump Awapa Matumaini Wamarekani Katika Hotuba "Tofauti" Bungeni

Tofauti na hotuba yake ya kuapishwa aliyoitoa tarehe 20 Januari, rais Donald Trump Jumanne usiku alitoa hotuba mbele ya wajumbe wa Congress iliyokuwa na matumaini Zaidi. “Wakati wa fikra duni umekwisha,” alisema Trump alikiambia kikao cha pamoja cha bunge la marekani. “Nyakati za vita ndogo ndogo umekwisha,” aliongeza. Rais Trump hata hivyo alisema Marekani itaendelea na vita dhidi ya kile alichokiita ‘Ugaidi wa Kiislamu,’ na kusema kuwa utawala wake utashirikiana na mataifa ya Kiislamu...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani