Rais Shein afanya uteuzi wa Majaji, watendaji

RAIS wa Zanzibar, Ali Mohamed Shein amewateua Khamis Ramadhan Abdalla na Aziza Iddi Suweid kuwa majaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, anaandika Hamis Mguta. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwenye tovuti ya Ikulu ya Zanzibar uteuzi huo umeanza jana na umefanyika kwa mamlaka aliyopewa chini ya kifungu cha 94(2) cha Katiba ya Zanzibar ya 1984. ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Channelten

2 years ago

Zanzibar 24

Rais Dk. Shein afanya uteuzi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohammed Shein amemteua Luteni Kanali Jabir Haji Hamza kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Uwakala wa Ulinzi wa Jeshi la Kujenga Uchumi Zanzibar.
Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt Abdulhamid Yahya Mzee amesema kwamba uteuzi huo unaanzia Agosti 3 mwaka 2017.

Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee alisema kwamba Mhe Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi amefanya uteuzi huo kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya...

 

3 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZ......: RAIS DKT.MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI TATU ZA SERIKALI

  Dkt. Ayoub Rioba ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC).
Prof. Godius Kahyarara ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF).

 

2 years ago

Zanzibar 24

Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein afanya uteuzi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dkt. Ali Mohammed Shein amemteua Bwana Shaaban Seif Mohamed kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kamisheni ya Maafa ya Zanzibar.

Kabla ya Uteuzi huo Bwana Shaaban Seif Mohamed alikuwa Msaidizi Mrajis wa Bodi ya Hospitali Binafsi katika Wizara ya Afya.

Bwana Shaaban Seif Mohamed amechukua nafasi ya Bwana Ali Juma Hamad ambae atapangiwa kazi nyengine.

Uteuzi huo umeanza tarehe 20 Mei, 2017.

The post Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein afanya...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Rais shein afanya uteuzi mwengine katika taasisi mbalimbaili za serikali

Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi katika taasisi mbalimbali za serikali.

Kwa mujibu wa taarifa ya ikulu, rais dk shein amemteua Amour Hamad Saleh kuwa ofisa mdhamini  ofisi ya rais na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi-pemba.

 

Bibi Sabra Issa Machano ameteuliwa kuwa mkurugenzi mwendeshaji wa mfuko wa hifadhi ya jamii Zanzibar (ZSSF), Bibi Salama Ramadhan makame ameteuliwa kuwa kamishna  wa idara ya watendakazi katika tume ya mipango zanzibar.

 

Aidha Seif...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Uteuzi: Dkt. Shein afanya uteuzi wa viongozi 10 leo

Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi wapya na kufanya mabadiliko katika baadhi ya Taasisi mbalimbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:

Dkt. Idris Muslim Hija ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Bwana Joseph Abdulla Meza ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Bwana Juma Ali Juma ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara, Viwanda na...

 

3 years ago

Michuzi

Rais Dkt. Shein afanya uteuzi wa viongozi katika Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar .


IMETOLEWA NA HABARI MAELEZO ZANZIBAR

———————————

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi katika Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar .

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, katika Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Nd. Bakari Khamis Muhidin ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Uendeshaji na Utumishi.

Mkurugenzi wa Idara ya...

 

3 years ago

Michuzi

2 years ago

Michuzi

DKT SHEIN AFANYA UTEUZI.

Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya kifungu namba 17 cha sheria ya utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi asilia namba 6 ya mwaka 2016, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein, amemteua Bwana Omar Zubeir Ismail kuwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mamlaka ya Kudhibiti Utafutaji na Uchimbaji wa mafuta na gesi asilia, Zanzibar.
Kabla ya uteuzi huo, Bwana Omar Zubeir Ismail alikuwa Ofisa Mwandamizi katika Idara ya Nishati, Zanzibar.
Uteuzi huo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani