Rais Trump ayatusi mataifa ya Afrika, Haiti na El Salvador

Rais wa Marekani amewashutumu wahamiaji wanaoingia nchini humo kwa kuwatusi katika afisi yake ndani ya Ikulu ya Whitehouse

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 months ago

BBCSwahili

Mataifa ya Afrika yamtaka Trump kuomba msamaha

Umoja wa Afrika unasema matamshi ya yanayodaiwa kutolewa na rais wa Marekani Donald Trump kuhusu bara Afrika ni wazi kwamba ni ya ubaguzi wa rangi.

 

2 years ago

BBCSwahili

Umoja wa Mataifa chanzo cha Kipindu pindu Haiti

Umoja wa Mataifa ulisambaza Kipindu pindu Haiti

 

2 years ago

Zanzibar 24

Umoja wa mataifa umekiri kuwa ulichangia mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu Haiti

Umoja wa mataifa umekiri kuwa ulichangia mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu miaka sita iliyopita ulioua watu zaidi ya elfu kumi nchini Haiti.

Taarifa za kisayansi zinaonyesha Majeshi ya Umoja wa Mataifa kutoka Nepal ndio waliokuwa chanzo cha ugonjwa huo jambo ambalo limekuwa likipingwa na Umoja huo wa Mataifa.

Ripoti ya ndani iliyoonekana na gazeti la New York Times sasa imefanya Umoja huo ubadilike.

Taarifa hiyo imemalizia kuwa ugonjwa huo usingelipuka lakini kwa matendo ya Umoja wa mataifa...

 

1 year ago

VOASwahili

Rais Trump Anasema Taasisi ya Umoja Wa Mataifa Haifanyi Vizuri

Rais wa Marekani Donald Trump alifungua mzunguko wa majadiliano  ya pamoja Jumatatu mwanzoni mwa vikao vya  kidiplomasia vya siku nne huko New York nchini Marekani kwa ajili ya kikao cha mwaka cha baraza kuu la  Umoja wa Mataifa na mikutano mingine ya pembeni.   Akionekana kwa mara ya kwanza kwenye Umoja wa Mataifa hiyo Jumatatu siku moja kabla ya kufunguliwa rasmi kwa kikao cha baraza kuu Rais Trump aliongoza kikao kuhusu mageuzi katika taasisi hiyo ya dunia  na kutaka hatua za kijasiri...

 

1 year ago

Channelten

Rais Trump awataka wanachama wake kulipa asilimi 2 ya pato la mataifa yao

3F521BE1-98AE-49E5-BB22-FDC6F44FCD99_w1023_r1_s

Rais wa Marekani Donald Trump kwa mara nyingine amewatolea wito wanachama wa jumkuiya ya kujihami la NATO walipe asilimia 2 ya pato la mataifa yao ikiwa ndio kiwango cha wastani kwa wanachama wote wa jumuiya hiyo ya kijeshi.

Trump ameyasema hayo mjini Brussels katika mkutano wa kilele wa nchi wanachama wa NATO ambapo rais huyo pia aliionya Ujerumani kwamba atawaambia wananchi wake wasinunue magari ya Ujerumani iwapo Berlin haitaongeza matumizi yake ya kijeshi.

Ujerumani kwa sasa inatoa...

 

1 year ago

BBCSwahili

Rais wa Iran Hassan Rouhani aikosa hotuba ya Trump kwa Umoja wa Mataifa

Kwenye hotuba kwa Umoja wa Mataifa siku ya Jumanne, rais Trump aliijumuisha Iran kuwa kati ya mataifa maovu duniani

 

2 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA RAIS WA CUBA SALVADOR VALDES MESA, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Makamu wa Rais wa Cuba Salvador Valdes Mesa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuonesha Kinyago cha Twiga Makamu wa Rais wa Cuba Salvador Valdes Mesa kabla ya kumkabidhi kama zawadi Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuonesha picha ya wanyama Makamu wa Rais wa Cuba...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA RAIS WA CUBA SALVADOR VALDES MESA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO.


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuonesha picha ya wanyama Makamu wa Rais wa Cuba Salvador Valdes Mesa kabla ya kumkabidhi kama zawadi Ikulu jijini Dar es Salaam.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuonesha Kinyago cha Twiga Makamu wa Rais wa Cuba Salvador Valdes Mesa kabla ya kumkabidhi kama zawadi Ikulu jijini Dar es Salaam. Makamu wa Rais wa Cuba Salvador Valdes Mesa akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

2 years ago

VOASwahili

Rais Afrika ya kati ataka umoja wa mataifa kuwaondolea marufuku ya silaha.

Kumefanyika uchaguzi, serikali halali imeundwa na pia bunge -rais Faustine Archange Touadera

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani