Rais wa DRC atimiza Siku 100 Madarakani

Katika Makala haya Juma hili,Miongoni mwa tluyoyapa Uzito katika Matangazo yetu ni pamoja na Wananchi wa DRC watoa mitizano yao kuhusu Siku 100 za Rais Tshisekedi, Waandamanaji Sudan waendelea kutaka Utawala wa kiraia, Sudani Kusini mvutano waendelea kati ya Rais Kiir na Machar na Afrika kusini kumefanyika Uchaguzi Mkuu. Mwenyeji wako katika Makala ya juma hili ni Steven Mumbi karibu.

RFI

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

DAWASCO YAJIVUNIA SIKU 100 ZA RAIS MAGUFULI MADARAKANI

Na Joseph Mkonyi -DAWASCO

Shirika la Majisafi na Majitaka jijini Dar es Salaam (DAWASCO), imesema imeweza kutekeleza mipango na maagizo mbalimbali yaliyotolewa na Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Dkt John Magufuli, hivyo kuwezesha kupunguza kero na kuboresha huduma ya Majisafi na uboreshwaji wa Majitaka Jijini Dar es Salaam ndani ya siku 100 tangu Rais Dkt Magufuli aingie madarakani.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu mafanikio yaliyopatikana ndani ya...

 

3 years ago

Mtanzania

SIKU 100 MADARAKANI Rais: Rodrigo Duterte aua watu 3,700

rodrigo-duterte* Avunja uhusiano wa kijeshi na Marekani

VITA inayoendeshwa na Rais wa Philippines Rodrigo Duterte dhidi ya wauzaji na watumiaji wa mihadarati machoni mwa jumuiya ya kimataifa imefikia pabaya kutokana na idadi kubwa ya vifo ndani ya miezi mitatu tu akiwa madarakani, kwa mujibu wa ripoti ya uchunguzi ulioendeshwa na televisheni ya Kiarabu ya Al-Jazeera.

Aidha, kutokana na kile kinachoonekana kukerwa na shutuma za ukiukaji wa haki za binadamu zikiongozwa na mshirika mkubwa wa taifa hilo,...

 

3 years ago

MillardAyo

AUDIO: Vitu unahitaji kujua kuhusu siku 100 za Rais Magufuli Madarakani

100

Siku 100 zimeshapita tayari toka Rais Magufuli aingie madarakani kuanza kuiongoza Tanzania, serikali imefanya tathmini ya yote makubwa aliyofanya, yanaelezwa hapa na katibu mkuu kiongozi balozi Ombeni Sefue. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea […]

The post AUDIO: Vitu unahitaji kujua kuhusu siku 100 za Rais Magufuli Madarakani appeared first on...

 

3 years ago

BBCSwahili

Elimu ya bure siku 100 za Magufuli madarakani

Siku 100 za serikali ya awamu ya tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Magufuli, Unayaona matumaini katika upatikanaji wa huduma za afya na mpango wa elimu bure?

 

3 years ago

Mwananchi

Mwananchi lapongezwa utafiti siku 100 za Dk Magufuli madarakani

Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL) imemwagiwa sifa kemkem na wananchi wa kada mbalimbali, baada ya utafiti iliouendesha wa utendaji kazi wa Rais John Magufuli katika kipindi cha siku 100 tangu aapishwa kuongoza Tanzania.

 

3 years ago

BBCSwahili

Ahadi za Trump ndani ya siku 100 za kwanza madarakani

Ni kipi Donald Trump ameahidi kukifanya siku za kwanza 100 akiwa rais?

 

2 years ago

VOASwahili

Rais wa DRC kuondoka madarakani baada ya uchaguzi wa 2017

Mkataba uliofikiwa unamaliza miezi kadhaa wa vurugu, ambapo dazeni ya watu waliuawa na mamia kujeruhiwa.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani