RAIS WA SIMBA SPORTS CLUB EVANS AVEVA AZINDUA WIKI YA SIMBA NA SIMBA DAY 2016

Rais wa Simba Sport Club  Evans Aveva akizungumza na Vyombo vya Habari leo wakati wa Uzinduzi wa Simba Week Akiwa Sambamba Katibu Mkuu wa Simba Patrik Kahemela (Kulia) na Afisa Masoko na Mawasiliano Kutoka Eaggroup Richard Ryaganda( kushoto) .

Simba inasherehekea wiki maalum iliyo Batizwa Jina la Simba Week ambayoImezinduliwa Leo na Rais wa Simba Sport Club Ndugu Evans Aveva na  hufikia kilele chake Tarehe 8 Mwezi Agosti. Mwaka huu siku hii ya Simba week itakuwa na uzito wa kipekee kwani...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo5

Rais wa klabu ya Simba Evans Aveva akamatwa na Takukuru

Rais wa klabu ya Simba, Evans Aveva anashikiliwa na Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru).

aveva

Taarifa zinaelezwa kuwa Takukuru wanamshikilia Aveva kwa tuhuma za rushwa ingawa haijaelezwa ni tuhuma zipi.

Habari za uhakika zinaeleza, Aveva amekamatwa jana na amelala katika moja ya vituo vya polisi jijini Dar es Salaam.

Source: salehjembe.blogspot.com

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose...

 

3 years ago

MillardAyo

TAKUKURU wataja kosa lililomfanya Rais wa Simba Evans Aveva kukamatwa

pic+aveva

Asubuhi ya August 4 2016 taarifa zilianza kusambaa katika mitandao ya kijamii kuhusiana na Rais wa Simba Evans Aveva kutiwa mikononi mwa Polisi kutokana na Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) kuagizwa kukamatwa kwa kiongozi huyo. millardayo.com ilifuatilia kwa kina kuhusiana na taarifa hizo na kufanikiwa kumpata kaimu afisa msemaji wa TAKUKURU Tunu Mleli […]

The post TAKUKURU wataja kosa lililomfanya Rais wa Simba Evans Aveva kukamatwa appeared first on millardayo.com.

 

1 year ago

Michuzi

MAHAKAMA YAELEZWA HALI TETE RAIS WA KLABU YA SIMBA, EVANS AVEVA

Na Karama Kenyunko,blogu ya jamii.
Mahakama ya  Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa, hali ya Rais wa klabu ya Simba, Evans Aveva ni mbaya (very Serious), na amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
Kufuatia hali hiyo, mahakama imeshindwa kuwasomea maelezo ya awali (PH)  rais huyo Simba ambaye anashtakiwa pamoja na makamu wake, Godfrey Nyange maarufu kama Kaburu.
Kesi imeahirishwa baada ya Mwendesha Mashtaka kutoka Takukuru, Leonard Swai kueleza mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba...

 

2 years ago

Bongo Movies

Rais wa Simba Evans Aveva na Makamu wake Godfrey Nyange Wakabiliwa na Mashtaka Haya

Rais wa Simba Evans Aveva na Godfrey Nyange wamepelekwa Rumande baada ya kukabiliwa na mashitaka matano ikiwemo ya utakatishaji fedha ambayo hayana dhamana.

Washitakiwa wote kwa pamoja wanadaiwa kutakatisha fedha ambayo ni dola za Marekani 300,000 walizozipata kwa kughushi nyaraka kuonesha kwamba Club ya Simba imelipa deni la fedha hiyo kwa Aveva.
Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, alisema mashitaka hayana dhamana hivyo aliahirisha hadi Julai 13 mwaka huu kujua hatua ya...

 

2 years ago

Malunde

Picha: RAIS WA SIMBA SC, EVANS AVEVA NA MAKAMU WAKE, GEOFREY NYANGE WAKIWA MAHAKAMANI

Leo August 7, 2017 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kwa mara nyingine kesi ya kutakatisha fedha na kughushi inayowakabili Rais wa Simba SC, Evans Aveva na Makamu wake, Geofrey Nyange maarufu Kaburu hadi Agosti 16, 2017 baada ya upelelezi kutokamilika.
Kesi hiyo imeahirishwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Mwambapa baada ya Wakili wa TAKUKURU, Kishenyi Mutalemwa kueleza kuwa upelelezi haujakamilika na kuomba iahirishwe hadi tarehe nyingine.

 

2 years ago

Malunde

RAIS WA SIMBA SC, EVANS AVEVA NA MAKAMU WAKE GEOFREY NYANGE ‘KABURU’ WAPIGWA KALENDA NA KURUDI RUMANDE

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo July 31, 2017 imetoa siku saba kwa upande wa mashtaka ufanye jitihada za kukamilisha upelelezi wa kesi inayowakabili Rais wa Simba SC, Evans Aveva na Makamu wake Geofrey Nyange ‘Kaburu’.

Hatua hiyo imekuja baada ya Mwendesha Mashitaka wa TAKUKURU, Leonard Swai kudai mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Victoria Nongwa kuwa upelelezi wa shauri hilo haujakamilika.

Upande wa utetezi ukiongozwa na Wakili Mtakyamirwa Philemon ulidai mara ya nne sasa upande wa mashitaka...

 

1 year ago

Michuzi

KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI RAIS WA SIMBA EVANS AVEVA NA MAKAMU WAKE KUANZA KUSIKILIZWA APRILI 5

Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii
UPELELEZI katika kesi ya utakatishaji fedha, dola za Marekani 300,000 inayomkabili Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva na Makamu wake Godfrey Nyange, maarufu kama Kaburu, umekamilika na itaanza kusikilizwa Aprili 5 mwaka huu.
Wakili wa Serikali, Nassoro Katuga ameeleza hayo leo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba kesi hiyo ilipokuja kwa kutajwa.   Katuga aliiambia Mahakama kuwa mshtakiwa Aveva hayupo mahakamani hapo kwa kuwa ni mgonjwa amelazwa katika...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani