Rais wa Sudan Kusini anasema yupo tayari kufanya kazi na upinzani

Rais Salva Kiir alisema atatumia rasilimali zote zilizo kwenye mhimili wake kuleta amani na uthabiti na alitoa wito kwa vyama vyote kufanya kazi pamoja kurejesha amani na kuruhusu watu kutembea huru kwenye maeneo ya Sudan Kusini

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

VOASwahili

Bashir yupo tayari kuandaa mazungumzo ya Sudan Kusini

Wizara ya mambo ya nchi za nje ya Sudan ilitangaza kwamba Rais Omar Al- Bashir wa nchi hiyo yuko tayari kuandaa mazungumzo ya amani kati ya mahasimu wawili wakuu wa Sudan Kusini, Rais Salva kiir na Riek Machar. Maafisa wa wizara ya mambo ya nchi za nje mjini Khartoum walisema kwamba pendekezo la Rais Bashir liliwasilishwa kwa Rais Kiir  na ujumbe wa Sudan uliotembelea Juba siku ya Jumanne na umewasilishwa siku chache tu baada ya baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kuidhinisha azimio...

 

4 years ago

Bongo5

Z Anto asema yupo tayari kufanya kazi chini ya Tip Top Connection tena

Z Anto na Babu TaleBaada ya meneja wa Tip Top Connection, Babu Tale kutangaza kutamani kufanya kazi na Z Anto, msanii huyo naye amesema yupo tayari kurudi kundini. Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio, Z Anto amesema ana uwezo wa kufanya kazi na Tip Top Connection kama wataafikiana. “Mimi sina tatizo na Tale na hatujawahi kukoseana […]

 

3 years ago

Bongo Movies

Meneja wa Diamond Ataja Anapokosea Alikiba, Asema Yupo Tayari Kufanya Nae Kazi

Akiongea kwenye mahojiano na gazeti la Champion, Sallam alisema: Sina tatizo kabisa, akitaka tufanye kazi nitamweleza mahitaji yangu akikubali tutafanya kazi. Nilishawahi kukutana na Kiba, Nairobi, alinifuata akaomba tupige picha, sikuwa na kinyongo, tukapiga ikawa safi japokuwa ile picha aliitumia kunitukanisha baadaye.

saLLAM NA KIBA

Akifafanua kuhusu hilo, Sallam alisema: Hakuiweka yeye katika mtandao, aliitoa kwa mashabiki wake ambao wakasema nimeenda Nairobi kumfuata Ne-Yo halafu nikafukuzwa,...

 

3 years ago

VOASwahili

Upinzani Sudan Kusini unaapa kuangusha utawala wa Rais Kiir

Maafisa wa kundi la South Sudan Democratic Movement Cobra Faction ambalo zamani liliongozwa na David Yau Yau kwa mara nyingine wameapa kufanya vita dhidi ya serikali ya Rais Salva Kiir kwa sababu wanaishutumu haijatekeleza kwa upande wake matakwa ya mkataba wa amani uliotiwa saini mwaka 2014. Yau Yau alitia saini mkataba wa amani na Rais Kiir mwezi mei mwaka 2014 ambao ulitoa njia ya kutambua eneo la Greater Pibor kuwa na mamlaka yake yenyewe. Wakati huo huo Yau Yau aliteuliwa kuwa...

 

2 years ago

VOASwahili

Trump Anasema Utawala Wake Utatembelea DRC Na Sudan Kusini.

Rais wa Marekani Donald Trump amewaambia viongozi wa kiafrika atamtuma mwakilishi wa Marekani kwenye Umoja wa Mataifa, Nikki Hailey kwenda Sudan Kusini na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo-DRC. “Tunafuatilia kwa karibu na tunasikitishwa sana na ghasia zinazoendelea huko Sudan Kusini na Congo, Trump alisema katika mkutano wa chakula cha mchana siku ya Jumatano akiwa na  viongozi wa Afrika pembeni ya mkutano wa baraza kuu la Umoja wa Mataifa. Mamilioni ya watu wako katika hatari  na...

 

2 years ago

Channelten

Sudan na Sudan Kusini zajadili mpango wa ziara ya rais wa Sudan Kusini nchini Sudan

qw

Waziri wa mambo ya nje wa Sudan Bw. Ibrahim Ghandour na balozi wa Sudan Kusini nchini humo Bw. Mayan Dot, wamejadili mpango wa ziara atakayofanya rais Salva Kiir wa Sudan Kusini nchini Sudan.

Maofisa hao pia wamejadili ushirikiano kati ya nchi hizo mbili, na kuharakisha utekelezaji wa matokeo ya mikutano ya kamati ya pamoja ya siasa na usalama iliyofanyika hivi karibu na mpango wa mawasiliano kati ya wizara za mafuta za nchi hizo mbili.

Waziri huyo wa Sudan ameihimiza serikali ya Sudan...

 

2 years ago

Bongo5

Fid Q asema yupo tayari kufanya kolabo na Nay wa Mitego

Msanii wa muziki wa hip hop, Fareed Kubanda aka Fid Q amedai yupo tayari kufanya kolabo na rapper Nay wa Mitego kwa kuwa ni mmoja kati ya wasanii wa hip hip ambao wanafanya vizuri.

Alisema hayo baada ya hivi karibuni kupitia kipindi cha Planet Bongo ya EA Radio, Nay wa Mitego amemtaja Fid Q kuwa miongoni mwa rappers anaowakubali zaidi Bongo na kusema kuwa hastahili kufananishwa naye sababu yeye ni rapper mwepesi.

Ijumaa hii akiwa katika kipindi cha Enewz cha EATV, Fid Q amedai yeye...

 

2 years ago

Bongo5

Arosto ya Unga humfanya teja awe mwendawazimu, yupo tayari kufanya lolote – Fanani

Rapper wa zamani wa kundi la HBC, Terry Fanani ambaye ni mmoja wa mastaa waliowahi kuathirika na matumizi ya dawa za kulevya, amesema arosto anayopata mteja ni kitu chenye nguvu kinachompa uchizi teja.

Akiongea na Planet Bongo ya EA Radio, Fanani amesema teja akiwa katika hali hiyo, yuko tayari kwa lolote.

“Arosto inapokukamata unakuwa katika hali ya kama mwendawazimu,” amesema.

“Kwahiyo uko tayari kufanya lolote, uko tayari kumdanganya mtu ambaye anakusaidia ili ukapate pesa ukafanye, uko...

 

2 years ago

Channelten

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amemwachisha kazi mkuu wa Jeshi Paul Malong

2015_10largeimg219_Oct_2015_125451850-703x422

Taarifa kutoka mjini Jumba imeleza kwamba Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir ametangaza kumfuta kazi mkuu wake wa majeshi na mtu wake wa karibu Paul Malong,

Jenerali Paul Malong aliyekuwa akitajwa kama kinara wa ukabila kutoka kwenye kabila la rais Kiir la Dinka, sasa nafasi yake imechukuliwa na Jenerali James Ajongo Mawut.

Msemaji wa rais Kiir, Ateny Wek Ateny amesema kuwa hatua hii ni katika muendelezo wa mabadiliko ambayo yanafanywa na rais Kiiri na kwamba nafasi ya ukuu wa majeshi inaweza...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani